Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kampeni dhidi ya ugonjwa wa usonji yazinduliwa

????????Na Veronica Rwamwald, Dar es Salaam

KLINIKI ya Lotus kwa kushirikiana na Hospitali ya Taifa Muhimbili, imeanzisha kampeni mpya inayolenga kuelimisha umma kuhusu ugonjwa wa usonji (autism), ambao Watanzania wengi hawaufahamu.

 

Ugonjwa huu sasa unatishia familia nyingi kwani dalili zake huanza utotoni na zinaweza kuendelea hadi ukubwani.

Akizungumza wakati wa uzinduzi huo jijini Dar es Salaam, Mwenyekiti wa Chama cha Kuhudumia watu wenye usonji Tanzania, Dk. Stella Rwezaula,

aliishukuru...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Kampeni ya ugonjwa wa usonji yazinduliwa

KLINIKI ya Lotus kwa kushirikiana na Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) zimeanzisha kampeni mpya inayolenga kuelimisha umma kuhusu ugonjwa wa usonji (autism), ambao watanzania wengi hawaufahamu.

 

10 years ago

Michuzi

KAMPENI YA UELEWA KUHUSU TATIZO LA USONJI YAZINDULIWA JIJINI DAR

Kampenii dhidi ya ugonjwa wa usonji yazinduliwa • 
Familia nyingi Tanzania hazina ufahamu wa hali hii
Kliniki ya Lotus kwa kushirikiana na Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, zimeanzisha kampeni mpya inayolenga kuelimisha uma kuhusu ugonjwa wa usonji (autism), ambao watanzania wengi hawaufahamu.Ugomjwa huu sasa unatishia familia nyingi kwani dalili zake huanza utotoni na zinaweza kuendelea hadi ukubwani.Akizugumza wakati wa uzinduzi huo Jijini Dar es Salaam, Mwenyekiti wa Chama cha Kuhudumia...

 

10 years ago

Habarileo

Kampeni ya kuhamasisha daftari la kura yazinduliwa

KAMPENI maalumu ya kuwahamasisha vijana kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura na hatimaye kupiga kura, imezinduliwa jijini Dar es Salaam jana.

 

10 years ago

Michuzi

KAMPENI YA MWANAMKE NA UCHUMI YAZINDULIWA MKOA WA PWANI

Mkurugenzi wa Kampuni ya Angels Moment, Naima Malima akizungumza wakati wa ufunguzi wa Kampeni ya Mwanamke na Uchumi uliofanyika Mkuranga mkoani Pwani. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga,  Abdallah Kihato na Mkurugenzi wa Mwang'amba Communication, James Mwang'amba. (Picha na John Dande)Mkuu wa  Wilaya ya Mkuranga,  Abdallah Kihato akizungumza wakati wa ufunguzi wa Kampeni ya Mwanamke na Uchumi lililofanyika Mkuranga mkoani Pwani. Mkurugenzi wa Mwang'amba Communication, James Mwang'amba...

 

11 years ago

GPL

KAMPENI YA KUPAMBANA NA HOMA YA INI YAZINDULIWA JIJINI DAR

Mganga Mkuu Hospitali ya Amana, Dk. Meshack Shimwela, akielezea madhara ya ugonjwa wa Homa ya Ini. Shigongo akiwaomba wadau mbalimbali kupambana dhidi ya ugonjwa wa Homa ya Ini.…

 

10 years ago

Michuzi

KAMPENI YA MWANAMKE NA UCHUMI YAZINDULIWA RASIMI MJINI DODOMA

Waziri wa Maendeleo Jamii Jinsia na Watoto Mh Sophia Simba akihutubia wakati wa uzinduzi wa kampeni ya mwanamke na uchumi iliyo andaliwa na NGO ya Angels Moment Co. ltd kwa ajili ya kumkomboa mwanamke wa Kitanzania uzinduzi huo umefanyika katika Hotel ya Dodoma. Mkurugenzi wa Angels Moment co. ltd Naima Malima akisoma risala ya kuelezea madhumuni ya uzinduzi wa kampeni ya mwanamke na uchumi sherehe hiyo ilihudhuriwa na viongozi mbali mbali wabunge na pamoja na baadhi ya Mawaziri Burudani...

 

5 years ago

Michuzi

Kampeni ya Bukua na Ushinde’ya kampuni ya ZOLA yazinduliwa Dar Es Salaam

Kunufaisha wanafunzi wakaofanya vizuri katika mitihani yao ya taifa

Kampeni ya kampuni ya ZOLA Electric Tanzania, ambayo zamani ilijulikana kama Mpower, inayolenga kuhamasihisha wanafunzi wa sekondari kusoma kwa bidii ijulikanayo kama ‘Bukua na Ushinde’ imezinduliwa wilayani Ilala jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Kupitia kampeni hii ambayo pia imelengakusaidia jamii na kuunga mkono jitihada za serikali kuboresha sekta ya elimu, ambapo itazawadia vifaa vya nishati ya umeme wa jua...

 

5 years ago

Michuzi

MSIBWETEKE KATIKA MAPAMBANO DHIDI YA UGONJWA WA CORONA.


Na WAMJW- DSM

Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Dkt. Rashid Mfaume ametoa wito kwa wananchi, hususan Jijini Dar es Salaam kutobwete na kuwataka kuendelea kuchukua hatua za tahadhari ili kujikinga dhidi ya maambukizi ya virusi vya Corona katika kipindi hiki.

Dkt. Rashid Mfaume ametoa wito huo leo, wakati akipokea msaada wa barakoa 17,500 sawa na maboksi 350, na vipukusi (sanitizers) lita 700 ambayo ni sawa na madumu 140 yenye ujazo wa lita 5 kutoka kwa Shirika lisilo Lakiserikali la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani