Bomoabomoa kuendelea leo Dar
Na Grace Shitundu, Dar es Salaam
BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), limesema kazi ya ubomoaji nyumba zilizoko katika Bonde la Mto Msimbazi itaendelea leo katika maeneo ambayo hayako kwenye zuio lililotolewa na Mahakama Kuu Kitengo cha Ardhi.
Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Mkuu wa NEMC, Bonaventure Baya, alisema zuio lililopo mahakamani linahusu nyumba 681 tu, hivyo wataendelea na kazi katika maeneo yote...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
MillardAyo05 Jan
Maamuzi mawili kwa leo kutoka Mahakama Kuu Dar kuhusu ishu ya bomoabomoa.. (+Pichaz)
Maamuzi haya yalikuwa yakisubiriwa na wengi Dar es Salaam, na kwa sababu Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam iliahidi kwamba maamuzi yanatoka leo, macho na masikio ya wengi yalielekea huko kwa siku nzima. Zoezi la bomoabomoa lilianza mwishoni mwa 2015, likasimamishwa kwa muda alafu taarifa ikatoka kwamba zoezi litaendelea leo Januari 5 2015, lakini […]
The post Maamuzi mawili kwa leo kutoka Mahakama Kuu Dar kuhusu ishu ya bomoabomoa.. (+Pichaz) appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
Habarileo18 Nov
Kinondoni kuanza bomoabomoa leo
MANISPAA ya Kinondoni kwa kushirikiana na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi leo inaanza ubomoaji wa nyumba zilizojengwa bila kufuata taratibu za ujenzi.
11 years ago
Mwananchi30 Jun
Hukumu bomoabomoa ya Tabata Dampo leo
9 years ago
MillardAyo17 Dec
Picha 10 nilivyoikuta bomoabomoa Kinondoni leo December 17
Taarifa ikufikie kwamba awamu nyingine ya bomoabomoa tayari imeendelea Dar es Salaam na kuna maeneo tayari imepita kukamilisha zoezi hilo. Kuna watu wamejenga maeneo ya wazi, wako waliojenga kwenye maeneo hatarishi au maeneo yasiyoruhusiwa, agizo likatoka Serikalini kwamba wahame mapema kabla ya Serikali haijaingilia kati. Wapo waliohama na wapo waliobaki kwenye maeneo hayo, bomoabomoa imepita na […]
The post Picha 10 nilivyoikuta bomoabomoa Kinondoni leo December 17 appeared first on...
9 years ago
Mwananchi31 Dec
Mabomu yarindima bomoabomoa Dar
9 years ago
Mwananchi18 Nov
Bomoabomoa kubwa yaja Dar
9 years ago
BBCSwahili06 Jan
Bomoabomoa yaendelea kutikisa Dar
9 years ago
Habarileo19 Nov
Bomoabomoa Dar yashika kasi
WIZARA ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi wakishirikiana na Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, jana iliendesha bomoabomoa ya nyumba zilizojengwa bila kufuata taratibu za ujenzi katika Manispaa hiyo.
11 years ago
Habarileo15 Feb
Bomoabomoa kabambe Dar es Salaam
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka ametangaza kuanza kwa bomoabomoa mpya kwa waliojenga katika maeneo ya wazi. Alisema hayo jana wakati anafungua semina ya wahariri wa vyombo vya habari kuhusu sera na sheria ya ardhi na changamoto za wizara yake.