MTANANGE WA YANGA NA KOMOROZINE YA NCHINI COMORO UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR HIVI SASA,YANGA YAONGOZA KWA BAO 2-0
Mshambuliaji wa Pembeni wa Timu ya Yanga,Simon Msuva (27) akiwatoka mabeki wa timu ya Komorozine ya nchini Comoro wakati wa mchezo wao wa Klabu Bingwa Barani Afrika unaoendelea kuchezwa hivi sasa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Yanga inaongoza kwa Bao 2-0. Mshambuliaji wa Pembeni wa Timu ya Yanga,Simon Msuva (27) akichuana vikali na Beki wa Timu ya Komorozine ya nchini Comoro,Ahmad Houmadi (5) wakati wa mchezo wao wa Klabu Bingwa Barani Afrika unaoendelea kuchezwa hivi sasa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziMTANANGE WA YANGA NA MBEYA CITY UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR HIVI SASA,YANGA YAONGOZA KWA BAO 1-0
11 years ago
MichuziMTANANGE KATI YA YANGA NA AL AHLY UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR HIVI SASA
10 years ago
MichuziMECHI YA YANGA NA BDF XI FC YA BOTSWANA INAPIGWA HIVI SASA UWANJA WA TAIFA,YANGA INAONGOZA KWA BAO 2-0
10 years ago
MichuziMTANANGE WA SIMBA NA JKT RUVU UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR HIVI SASA
11 years ago
MichuziMtanange wa Simba na JKT Ruvu Uwanja wa Taifa hivi sasa: Simba washalala kwa bao 2 - 0
Wachezaji wa timu ya JKT Ruvu wakishangilia mara baada ya kuitandika Simba bao la pili.
10 years ago
MichuziYANGA YAICHAPA MBEYA CITY BAO 3 - 1 UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR LEO
11 years ago
MichuziYANGA YAINYOA RUVU SHOOTING BAO 7-0 UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR LEO
9 years ago
MichuziMECHI YA YANGA NA AZAM UWANJA WA TAIFA HIVI SASA
10 years ago
Michuziyanga na azam ni kivumbi uwanja wa taifa hivi sasa
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10