Wanazuoni wakutana kujadili suala la 'Msimamo Mkali katika Dini' Maana, Matukio, Sababu na Suluhisho
![](http://1.bp.blogspot.com/-TwJ7N0njOcE/VX3bvGNRceI/AAAAAAAHfX0/-EjfuASaM4g/s72-c/unnamed%2B%252850%2529.jpg)
Mwenyekiti wa Baraza la wadhamini la Umoja wa Wanazuoni wa Kiislamu Tanzania, Shehe Abdallah Ndanga (kushoto), akizungumza wakati wa kongamano kuhusu ‘Msimamo Mkali katika Dini, Maana, Matukio, Sababu na Suluhisho’ lililowashirikisha viongozi kutoka zaidi ya misikiti 100 , viongozi wa taasisi za kiislamu, wanazuoni, na vijana wanaoendesha harakati za kiislamu katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Wengine kushoto kwake ni baadhi wa viongozi wa umoja huo; Shehe...
Michuzi