Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali yatumia makanisa kupinga serikali tatu

SERIKALI imeendelea kuibeza rasimu ya pili ya katiba iliyowasilishwa bungeni na aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji mstaafu Joseph Warioba kwa madai kuwa imekuja na hoja ya...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

‘Nitawashangaa wajumbe Zanzibar kupinga Serikali tatu’

Kamishna wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Ali Saleh amesema atawashangaa wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar (BLW), iwapo watapinga mfumo wa Serikali tatu uliopendekezwa katika Rasimu ya Pili ya Katiba.

 

11 years ago

Habarileo

Serikali yatumia bilioni 4.7/-kuimarisha CHF

SERIKALI kupitia Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) imetumia zaidi ya Sh bilioni 4.7 kuimarisha huduma za afya kupitia mradi wake wa Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF). Fedha hizo ni kuanzia mwaka 2009 wakati NHIF ilipokabidhiwa jukumu la kulea CHF.

 

11 years ago

Habarileo

Serikali yakerwa uchomaji makanisa

SERIKALI imetoa tamko juu ya mfululizo wa vitendo vya uchomaji makanisa vilivyoibuka hivi karibuni na kusema imeagiza dola ikaze uzi kukabili wimbi hilo. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alisema jana bungeni wakati akihitimisha michango ya wabunge kuhusu bajeti ya mwaka wa fedha 2014/15 ya ofisi yake iliyopitishwa jana.

 

11 years ago

Habarileo

Serikali yatumia bil. 500/- miradi ya Matokeo Makubwa

SERIKALI imetumia zaidi ya Sh bilioni 500 katika utekelezaji wa miradi ya Matokeo Makubwa Sasa (BRN) katika kipindi cha miezi sita, kati ya Julai na Desemba mwaka jana.

 

5 years ago

Michuzi

BARAZA LA MAKANISA YA PENTEKOSTE WAUNGANA NA SERIKALI MOROGORO

Na Farida Saidy,Morogoro
Baraza la Makanisa ya Pentekoste Tanzania (CPCT) Mkoa wa Morogoro wameungana na jitihada za Serikali ya Mkoa huo kwa kutoa kiasi cha shilingi milioni moja za kitanzania ikiwa ni mchango wao katika kupambana na ugonjwa wa CORONA Mkoani humo.
Viongozi wa CPCT wametoa msaada huo wa fedha mwishoni mwa wiki hii walipofika ofisini kwa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro na kumkabidhi fedha hizo Mkuu wa Mkoa huo Loata Ole Sanare kama ishara ya kumuunga Mkono na Serikali ngazi ya...

 

5 years ago

Michuzi

Diwani ashangaa wanaosubiri serikali itangaze kufunga makanisa

Mwenyekiti wa halmashauri ya mji wa Njombe Edwin Mwanzinga

Na Amiri kilagalila,Njombe

Mwenyekiti wa halmashauri ya mji wa Njombe Edwin Mwanzinga ambaye pia ni diwani (CCM) kata ya Matola ameshangazwa na watu wanaosubiri serikali kutangaza kufunga makanisa wakati tahadhari dhidi ya maambukizi ya virusi vya Corona (COVID-19) zilikwishatolewa.

Mwanzinga amesema anaamini wananchi wanaelewa taratibu za kujikinga dhidi ya virusi hivyo ikiwemo kuepuka mikusanyiko lakini anashangazwa kuona watu...

 

10 years ago

Michuzi

Serikali yatumia shilingi bilioni 881 katika mradi wa REA Awamu ya Pili

Na Greyson Mwase, Maswa.Meneja Utaalamu Elekezi  kutoka  Wakala wa Nishati  Vijijini (REA) Gissima Nyamohanga amesema kuwa serikali imetumia shilingi bilioni 881 katika mradi wa kusambaza umeme  vijijini  unaotekelezwa na  Wakala wa Nishati Vijijini (REA) Awamu ya Pili.

Nyamohanga aliyasema hayo kwenye  sherehe za uzinduzi wa mradi wa umeme vijijini unaofadhiliwa na REA uliofanyika katika kata ya Shishiyu wilayani Maswa mkoani  Simiyu.

Alisema kuwa Mradi wa  REA  Awamu ya Pili  utaiwezesha ...

 

10 years ago

Dewji Blog

Serikali yatumia zaidi ya Bilioni 16 kujenga Taasisi ya mafunzo ya uanasheria kwa vitendo

1

Afisa Habari, Elimu na Mawasiliano wa Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo Tanzania (Law School) Bi. Scholastica Njozi akiwaeleza jambo waandishi wa habari(hawapo pichani) wakati wa ziara iliyofanywa kwenye Taasisi hiyo Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Afisa Habari wa Wizara ya Katiba na Sheria Bw. Omega Ngole.

Frank Mvungi-Maelezo

Serikali yatumia zaidi ya  Bilioni  16 kujenga Taasisi ya mafunzo ya uanasheria kwa vitendo (the law school of Tanzania).

Hayo yamesemwa  leo jijini Dar...

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali yashindwa kupinga rufaa

Kwa wiki ya pili mfululizo magazeti ya Mwananchi Jumamosi na Jumapili yamekuwa yakikuletea Ripoti Maalumu kuhusu baadhi ya watu wanaoendesha uhalifu wakiwa gerezani hasa ujangili. Endelea…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani