Diwani ashangaa wanaosubiri serikali itangaze kufunga makanisa
Mwenyekiti wa halmashauri ya mji wa Njombe Edwin Mwanzinga
Na Amiri kilagalila,Njombe
Mwenyekiti wa halmashauri ya mji wa Njombe Edwin Mwanzinga ambaye pia ni diwani (CCM) kata ya Matola ameshangazwa na watu wanaosubiri serikali kutangaza kufunga makanisa wakati tahadhari dhidi ya maambukizi ya virusi vya Corona (COVID-19) zilikwishatolewa.
Mwanzinga amesema anaamini wananchi wanaelewa taratibu za kujikinga dhidi ya virusi hivyo ikiwemo kuepuka mikusanyiko lakini anashangazwa kuona watu...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima14 Apr
Serikali yatumia makanisa kupinga serikali tatu
SERIKALI imeendelea kuibeza rasimu ya pili ya katiba iliyowasilishwa bungeni na aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji mstaafu Joseph Warioba kwa madai kuwa imekuja na hoja ya...
11 years ago
Mwananchi22 Jun
Lema ashangaa Serikali kujikosesha mapato
11 years ago
Habarileo11 May
Serikali yakerwa uchomaji makanisa
SERIKALI imetoa tamko juu ya mfululizo wa vitendo vya uchomaji makanisa vilivyoibuka hivi karibuni na kusema imeagiza dola ikaze uzi kukabili wimbi hilo. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alisema jana bungeni wakati akihitimisha michango ya wabunge kuhusu bajeti ya mwaka wa fedha 2014/15 ya ofisi yake iliyopitishwa jana.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-2e-ffmMOoUs/Xq0UForR6XI/AAAAAAALo0Q/DW4g_es2IyoFF6VqEbTqAEhjj33Ev3UKQCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200502-WA0003.jpg)
BARAZA LA MAKANISA YA PENTEKOSTE WAUNGANA NA SERIKALI MOROGORO
Baraza la Makanisa ya Pentekoste Tanzania (CPCT) Mkoa wa Morogoro wameungana na jitihada za Serikali ya Mkoa huo kwa kutoa kiasi cha shilingi milioni moja za kitanzania ikiwa ni mchango wao katika kupambana na ugonjwa wa CORONA Mkoani humo.
Viongozi wa CPCT wametoa msaada huo wa fedha mwishoni mwa wiki hii walipofika ofisini kwa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro na kumkabidhi fedha hizo Mkuu wa Mkoa huo Loata Ole Sanare kama ishara ya kumuunga Mkono na Serikali ngazi ya...
9 years ago
MichuziASKOFU CHARLES GADI AONGOZA UMOJA WA MAKANISA YA DODOMA KUMUOMBEA RAIS DK.JOHN MAGUFULI NA SERIKALI YA AWAMU YA TANO
10 years ago
Habarileo04 Nov
Diwani wa Chadema apongeza serikali
DIWANI wa Kata ya Kilagano Halmashauri ya Wilaya ya Songea Vijijini (Chadema), Batholomew Mkwera, amepongeza serikali kwa kumaliza kero mbalimbali katika kata yake.
11 years ago
Tanzania Daima03 Mar
Diwani ataka serikali iongeze walimu
BARAZA la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Muleba, Kagera, limeiomba serikali kujizatiti zaidi kuzalisha walimu wengi hapa nchini ili kukuza sekta hiyo muhimu. Kauli hiyo imetolewa hivi karibuni na...
9 years ago
Habarileo04 Nov
Diwani wa Chadema atangaza kushirikiana na serikali
DIWANI wa kata ya Dodoma Makuru Mjini hapa, Pascal Matula (Chadema) amesema yupo tayari kushirikiana na Serikali inayoingia madarakani ili kuwaletea wananchi maendeleo. Akizungumza na waandishi wa habari jana, Matula alisema kutotoa ushirikiano ni kuikataa serikali wakati nao wamechaguliwa na wananchi kwa kupigiwa kura.
10 years ago
Habarileo12 Apr
Tanesco kufunga Luku taasisi za serikali
WAZIRI wa Nishati na Madini, George Simbachawene amesema kuwa Shirika la Umeme Nchini (Tanesco) lina mpango wa kufunga mita za LUKU katika ofisi za taasisi zote za serikali kama moja ya mikakati yake katika ukusanyaji wa mapato.