Diwani ataka serikali iongeze walimu
BARAZA la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Muleba, Kagera, limeiomba serikali kujizatiti zaidi kuzalisha walimu wengi hapa nchini ili kukuza sekta hiyo muhimu. Kauli hiyo imetolewa hivi karibuni na...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima12 Dec
Lugola ataka serikali ianzishe wizara maalumu ya walimu
MBUNGE wa Mwibara, Kangi Lugola (CCM), ameitaka serikali kuanzisha wizara maalumu kwa ajili ya kushughulikia masuala ya walimu. Akiuliza swali bungeni jana kwa niaba ya Mbunge wa Viti Maalumu, Esther...
11 years ago
Tanzania Daima14 Jun
TAS: Serikali iongeze huduma saratani ya ngozi
CHAMA cha watu wenye ulemavu wa ngozi (TAS) kimeitaka serikali kuongeza vituo vya afya vitakavyokuwa vinatoa huduma ya saratani ya ngozi. Ombi hilo lilitolewa jijini Dar es Salaam jana na...
10 years ago
Vijimambo19 Mar
Mbunge aitaka serikali iongeze kasi kuwasaka wauaji wa albino.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Al-19March2015.jpg)
Alitoa ahadi hiyo wakati wa maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Kazi za Jamii iliyofanyika katika Hospitali ya Kumbukumbu ya Profesa Hubert Hairuki (HKMU) jijini Dar es Salaam jana.
Alisema ipo haja ya kuweka sheria kali hata ikibidi wauaji wa...
11 years ago
Tanzania Daima17 Feb
Diwani Tarime ataka eneo la maziko
DIWANI wa Nyamisangura, Thobias Ghati (CHADEMA), ameitaka Halmashauri ya Mji wa Tarime, mkoani Mara kutatua kero ya ukosefu wa eneo la kuzikia na kusababisha maiti zaidi ya moja kuzikwa katika...
11 years ago
Habarileo12 Dec
Mbunge ataka Wizara Maalumu kwa walimu
MBUNGE wa Viti Maalumu, Ester Bulaya (CCM), ameiomba Serikali iangalie uwezekano wa kuunda Wizara Maalum itakayoshughulikia masuala ya walimu, kuliko ilivyo sasa ambapo walimu hawana wizara yao maalum. Katika swali lake la nyongeza Bulaya alitaka kujua ni kwanini hadi sasa Serikali haijaona umuhimu wa kufanya hivyo.
11 years ago
Habarileo17 May
Kawambwa ataka tatizo la walimu litatuliwe nchini
WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa amesema ili kuboresha elimu nchini lazima tatizo la upungufu wa walimu litatuliwe.
10 years ago
Habarileo13 Sep
Oluoch ataka Tume ya Utumishi wa Walimu katiba mpya
MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Ezekiah Oluoch ameshawishi wajumbe wenzake kuhakikisha Tume ya Utumishi wa Walimu, inaundwa na inatambuliwa na Katiba mpya.
10 years ago
Habarileo04 Nov
Diwani wa Chadema apongeza serikali
DIWANI wa Kata ya Kilagano Halmashauri ya Wilaya ya Songea Vijijini (Chadema), Batholomew Mkwera, amepongeza serikali kwa kumaliza kero mbalimbali katika kata yake.
9 years ago
Habarileo04 Nov
Diwani wa Chadema atangaza kushirikiana na serikali
DIWANI wa kata ya Dodoma Makuru Mjini hapa, Pascal Matula (Chadema) amesema yupo tayari kushirikiana na Serikali inayoingia madarakani ili kuwaletea wananchi maendeleo. Akizungumza na waandishi wa habari jana, Matula alisema kutotoa ushirikiano ni kuikataa serikali wakati nao wamechaguliwa na wananchi kwa kupigiwa kura.