Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kawambwa ataka tatizo la walimu litatuliwe nchini

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru KawambwaWAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa amesema ili kuboresha elimu nchini lazima tatizo la upungufu wa walimu litatuliwe.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Waziri Kawambwa ataka pongezi

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa (wa pili kushoto) akijiandaa kumzawadia mtunzi na mghani mashairi kutoka Wizara hiyo, Moshi Kisiga (kulia) baada ya kughani shairi la mafanikio na changamoto kwenye sekta hiyo, wakati Waziri alipofungua kikao cha kazi cha maofisa elimu mikoa na wa halmashauri za wilaya nchini, mjini Morogoro jana. Wa kwanza kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera. (Picha na John Nditi).WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa, ametaka wanaobeza kazi ya wizara yake kujitokeza kupongeza kwa ufaulu wa mitihani ya wanafunzi wa darasa la saba.

 

5 years ago

Michuzi

JAFO AITAKA TUME YA UTUMISHI WA WALIMU KUTATUA CHANGAMOTO ZA WALIMU NCHINI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais- TAMISEMI, Selemani Jafo ameutaka uongozi mpya wa Tume ya Utumishi wa Walimu kutatua changamoto za walimu ili kuwatia moyo katika kutimiza majukumu yao.

Kauli hiyo ameitoa jijini Dodoma wakati wa kuapishwa wajumbe wa Tume ya Utumishi wa Walimu .

Jafo amesema kuwa Tume hiyo ndani ya wiki moja ikafanyie kazi mashauri ya rufaa 110 ili walimu waweze kutekeleza majukumu yao katika ubora unaohitajika.

Akizungumza amesema kuwa Tume inatakiwa kufanya kazi kwa weledi wa hali...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Upungufu wa walimu tatizo Bunda

IDARA ya Elimu katika Wilaya ya Bunda mkoani Mara, inakabiliwa na changamoto  mbalimbali ikiwamo upungufu wa walimu, migogoro ya mipaka ya maeneo ya shule, utoro wa wanafunzi na kitengo cha...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mhagama: Tehama itaondoa tatizo la walimu, vitabu

WADAU wa elimu wamekubali kutumia teknolojia ya habari na mwasiliano kufundisha na kujifunza ili kukabili tatizo la uhaba wa walimu na vitabu linalokwaza maendeleo ya elimu nchini. Hayo ni baadhi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Diwani ataka serikali iongeze walimu

BARAZA la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Muleba, Kagera, limeiomba serikali kujizatiti zaidi kuzalisha walimu wengi hapa nchini ili kukuza sekta hiyo muhimu. Kauli hiyo imetolewa hivi karibuni na...

 

10 years ago

Dewji Blog

NHC yakabiliana na tatizo la moyo nchini kwa kusaidia matibabu ya watoto 53 nchini India

unnamed

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza wakati wa hafla fupi iliyofanyika leo Desemba 26, 2014 kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam ya kuwaaga jumla ya watoto 55 wenye matatizo ya ugonjwa wa Moyo kati ya 104, waliofadhiliwa na Lions Club ya jijini, kwa ajili ya kwenda kutibiwa nchini India. Watoto hao 55 wa awamu ya kwanza walionza kuondoka nchini jana.

Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) limechangia kiasi cha takribani shilingi...

 

11 years ago

Habarileo

Mbunge ataka Wizara Maalumu kwa walimu

MBUNGE wa Viti Maalumu, Ester Bulaya (CCM), ameiomba Serikali iangalie uwezekano wa kuunda Wizara Maalum itakayoshughulikia masuala ya walimu, kuliko ilivyo sasa ambapo walimu hawana wizara yao maalum. Katika swali lake la nyongeza Bulaya alitaka kujua ni kwanini hadi sasa Serikali haijaona umuhimu wa kufanya hivyo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Lugola ataka serikali ianzishe wizara maalumu ya walimu

MBUNGE wa Mwibara, Kangi Lugola (CCM), ameitaka serikali kuanzisha wizara maalumu kwa ajili ya kushughulikia masuala ya walimu. Akiuliza swali bungeni jana kwa niaba ya Mbunge wa Viti Maalumu, Esther...

 

10 years ago

Habarileo

Oluoch ataka Tume ya Utumishi wa Walimu katiba mpya

MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Ezekiah Oluoch ameshawishi wajumbe wenzake kuhakikisha Tume ya Utumishi wa Walimu, inaundwa na inatambuliwa na Katiba mpya.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani