Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbunge ataka Wizara Maalumu kwa walimu

MBUNGE wa Viti Maalumu, Ester Bulaya (CCM), ameiomba Serikali iangalie uwezekano wa kuunda Wizara Maalum itakayoshughulikia masuala ya walimu, kuliko ilivyo sasa ambapo walimu hawana wizara yao maalum. Katika swali lake la nyongeza Bulaya alitaka kujua ni kwanini hadi sasa Serikali haijaona umuhimu wa kufanya hivyo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Lugola ataka serikali ianzishe wizara maalumu ya walimu

MBUNGE wa Mwibara, Kangi Lugola (CCM), ameitaka serikali kuanzisha wizara maalumu kwa ajili ya kushughulikia masuala ya walimu. Akiuliza swali bungeni jana kwa niaba ya Mbunge wa Viti Maalumu, Esther...

 

11 years ago

Habarileo

Mbunge ataka ahadi za Rais kutengewa mfuko maalumu

MBUNGE wa Viti Maalumu, Martha Mlata (CCM) ametaka ahadi za Rais zitengewe mfuko maalumu ili ziweze kutekelezeka kwa wakati.

 

11 years ago

Mwananchi

Mbunge Mnyika ataka kusitishwa kwa uwindaji

>Mbunge wa Ubungo, Dar es Salaam, John Mnyika amependekeza kusitishwa kwa muda kwa uwindaji wa tembo nchini kama njia muhimu ya kupambana na vitendo vya ujangili.

 

10 years ago

Habarileo

Mbunge ataka pensheni kuongezwa kwa wastaafu

Mbunge wa Mbeya Vijijini, Mchungaji Luckson MwanjaleMBUNGE wa Mbeya Vijijini, Mchungaji Luckson Mwanjale (CCM), ameitaka Serikali kuongeza kiwango cha pensheni kwa wastaafu kwani kiwango wanacholipwa hivi sasa ni kidogo na hakikidhi mahitaji yao.

 

10 years ago

Vijimambo

Mbunge wa Viti maalumu CUF, Mama Clara Diana Mwatuka afariki Dunia kwa ajali!


Aliyekuwa Mbunge wa Viti maalumu CUF mama Mwatuka amefariki dunia baada ya gari lake kupinduka lilipokuwa linashuka Makonde Plateu kuja Ndanda.Gari ilikuwa inaendeshwa na dereva wake,ambaye inasemekana ni mwanae.Maiti ipo chumba cha maiti Hospitali ya Rufaa, Ndanda Regional Referral hospital.

 

5 years ago

Michuzi

Benki ya I & M yachangia Matenki maalumu kwa Wizara ya afya yenye thamani ya Sh10 milioni

Afisa Mtendaji Mkuu wa benki ya I&M, Bw. Baseer Mohammed (wa pili kulia) akizungumza mbele ya Mganga Mkuu wa Serikali, Profesa Abel Makubi wakati akikabidhi msaada wa matanki maalum ya kuoshea mikono (handwashing tanks) pampja na sabuni zake kwa Wizara ya Afya vyenye thamani ya Sh10 milioni. Wakisikiliza kulia ni Mkuu wa Idara ya Wateja wa rejareja wa Benki ya I&M, Bi Lilian Mtali na kushoto Bi Angelina Ngalula Mwenyekiti TPSF.Mkuu wa Idara ya wateja wa rejareja wa benki ya I&M, Lilian Mtali...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wizara ya Ardhi inaongoza kwa uzembe — Mbunge

MBUNGE wa Gando, Khalifa Suleiman Khalifa (CUF), amesema kuwa kati ya Wizara ambazo zinalalamikiwa kwa uzembe ni Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi. Khalifa, aliyasema hayo bungeni jana...

 

10 years ago

Vijimambo

Polisi wachana bango la walimu linalohoji posho Bunge Maalumu

Wafanyakazi wakiwa na bango wakiingia kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam palipofanyia maadhimisho ya kitaifa ya Siku ya Wafanyakazi Duniani, jana. Picha na Silvan Kiwale
Bukoba. Maandamano ya walimu kuingia katika Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba kuadhimisha Siku ya Walimu Duniani, jana yalipata mtafaruku baada ya polisi kuyaingilia na kuchana bango mojawapo lililohoji posho za wajumbe wa Bunge la Katiba.Bango hilo la kitambaa cheupe lilikuwa na maandishi yanayohoji posho ya Sh300,000...

 

10 years ago

Mwananchi

Polisi wachana bango la walimu linalohoji posho Bunge Maalumu

Maandamano ya walimu kuingia katika Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba kuadhimisha Siku ya Walimu Duniani, jana yalipata mtafaruku baada ya polisi kuyaingilia na kuchana bango mojawapo lililohoji posho za wajumbe wa Bunge la Katiba.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani