Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbunge Mnyika ataka kusitishwa kwa uwindaji

>Mbunge wa Ubungo, Dar es Salaam, John Mnyika amependekeza kusitishwa kwa muda kwa uwindaji wa tembo nchini kama njia muhimu ya kupambana na vitendo vya ujangili.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mnyika asisitiza Bunge la Katiba kusitishwa

>Wakati hatima ya Bunge Maalumu la Katiba ikisubiri mkutano wa  Rais Jakaya Kikwete na viongozi wa Kituo Cha Demokrasia Tanzania (TDC) kesho, Mbunge wa Ubungo John Mnyika amesema sala ambazo Watanzania wanatakiwa kuomba ili kikao hicho kiweze kuwa  na mafaniko zigeuzwa, badala yake waombe kusitishwa Bunge hilo .

 

5 years ago

Michuzi

MBUNGE WA KISHAPU SULEIMAN NCHAMBI AKAMATWA KWA TUHUMA ZA KUKUTWA NA SILAHA 10, RISASI 536 NA NYAMA 'UWINDAJI HARAMU'




Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Shinyanga ACP Debora Magiligimba akionesha kwa waandishi wa habari silaha alizokamatwa nazo mbunge wa Jimbo la Kishapu Suleiman Masoud Suleiman 'Suleiman Nchambi'.


Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Jeshi la polisi Mkoa wa Shinyanga linamshikilia Mbunge wa Jimbo la Kishapu mkoani Shinyanga Mhe. Suleiman Masoud Suleiman maarufu Suleiman Nchambi (CCM) kwa tuhuma za kupatikana na silaha 10, risasi 536 na nyama zinazodhaniwa kuwa ni za wanyawapori kinyume...

 

10 years ago

Mwananchi

MASWALI 10 KWA MBUNGE WANGU: John Mnyika

>Ulituahidi kuondoa kero ya machinga kabla ya kupata kura yangu, leo hii tunaishi kama popo mitaani umefanya jitihada gani mpaka sasa?

 

11 years ago

Mwananchi

Msigwa ataka serikali ichunguze kampuni kubwa halali za uwindaji

Mbunge wa Iringa Mjini (Chadema), Mchungaji Peter Msigwa ameitaka Serikali kufanya uchunguzi hata kwa kampuni kubwa za uwindaji zenye leseni halali kwani yapo yanayokiuka sheria.

 

10 years ago

Habarileo

Mbunge ataka pensheni kuongezwa kwa wastaafu

Mbunge wa Mbeya Vijijini, Mchungaji Luckson MwanjaleMBUNGE wa Mbeya Vijijini, Mchungaji Luckson Mwanjale (CCM), ameitaka Serikali kuongeza kiwango cha pensheni kwa wastaafu kwani kiwango wanacholipwa hivi sasa ni kidogo na hakikidhi mahitaji yao.

 

11 years ago

Habarileo

Mbunge ataka Wizara Maalumu kwa walimu

MBUNGE wa Viti Maalumu, Ester Bulaya (CCM), ameiomba Serikali iangalie uwezekano wa kuunda Wizara Maalum itakayoshughulikia masuala ya walimu, kuliko ilivyo sasa ambapo walimu hawana wizara yao maalum. Katika swali lake la nyongeza Bulaya alitaka kujua ni kwanini hadi sasa Serikali haijaona umuhimu wa kufanya hivyo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mnyika ataka majibu kero ya barabara

MBUNGE wa Ubungo, John Mnyika (CHADEMA), amesema amemtumia ujumbe Waziri wa Ujenzi, John Magufuli, ili atoe kauli ya serikali juu ya ujenzi wa Barabara ya Morogoro, ambao umegeuka kuwa kero...

 

11 years ago

Habarileo

Mnyika ataka bajeti ya Maji isisomwe leo

John Mnyika MBUNGE wa Ubungo, John Mnyika ameshauri bajeti ya Wizara ya Maji isisomwe leo bungeni, badala yake irudishwe kwenye kamati ya bajeti waifumue kwa kuiongezea fedha.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mnyika ataka matokeo ya uchunguzi Ruvu Juu

MBUNGE wa Ubungo, John Mnyika, ameitaka Wizara ya Maji kuueleza umma juu ya matokeo ya uchunguzi wa kubaini kama tatizo linalojirudia kwenye mtambo wa maji wa Ruvu Juu ni masuala...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani