Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mnyika ataka bajeti ya Maji isisomwe leo

John Mnyika MBUNGE wa Ubungo, John Mnyika ameshauri bajeti ya Wizara ya Maji isisomwe leo bungeni, badala yake irudishwe kwenye kamati ya bajeti waifumue kwa kuiongezea fedha.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Mnyika ataka majibu kero ya barabara

MBUNGE wa Ubungo, John Mnyika (CHADEMA), amesema amemtumia ujumbe Waziri wa Ujenzi, John Magufuli, ili atoe kauli ya serikali juu ya ujenzi wa Barabara ya Morogoro, ambao umegeuka kuwa kero...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mnyika ataka matokeo ya uchunguzi Ruvu Juu

MBUNGE wa Ubungo, John Mnyika, ameitaka Wizara ya Maji kuueleza umma juu ya matokeo ya uchunguzi wa kubaini kama tatizo linalojirudia kwenye mtambo wa maji wa Ruvu Juu ni masuala...

 

11 years ago

Mwananchi

Mbunge Mnyika ataka kusitishwa kwa uwindaji

>Mbunge wa Ubungo, Dar es Salaam, John Mnyika amependekeza kusitishwa kwa muda kwa uwindaji wa tembo nchini kama njia muhimu ya kupambana na vitendo vya ujangili.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Maji yazidi kumliza Mnyika

MBUNGE wa Ubungo, John Mnyika (CHADEMA), amesema ufumbuzi wa tatizo la maji katika Jiji la Dar es Salaam hautapatikana kwa kuchimba visima bali kuboresha miundombinu. Mbali na hilo, mbunge huyo...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mnyika azindua mradi wa maji

Mkurugenzi wa Habari na Uenezi wa Chadema, John Mnyika akisisitiza jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana. Kuhusu masuala mbali mbali yanayohutu tume ya Katiba. Picha na Emmanuel Herman

Mbunge wa jimbo la Ubungo, John Mnyika (Chadema).

Na Mwandishi wetu

MBUNGE Ubungo, John Mnyika (Chadema) amezindua mradi wa maji ya kisima katika kata ya Mbezi Luis jijini Dar es salaam.

Mradi huo wa maji unatokana na mchango na nguvu ya wananchi wa kikundi cha maendeleo cha ‘great 12 development group’ kinachotarajia kuchimba visima ambavyo vitasambaza maji kwa wananchi wanaowazunguka.

Akizunguma jana jijini Dar es Salaam, katika uzinduzi huo Mnyika alisema mradi huo umegharimu milioni 40...

 

10 years ago

Mwananchi

Mnyika ataka vuguvugu la mageuzi lijikite Moshi Mjini

Naibu Katibu Mkuu wa Chadema (Tanzania Bara), John Mnyika ametaka vuguvugu la mageuzi lililojikita katika mji wa Moshi, lihamie majimbo mengine sita katika Uchaguzi Mkuu ujao.

 

9 years ago

Dewji Blog

Mradi wa maji wa sh Milioni 343 wazinduliwa kijiji cha Mabogini, RC Makalla ataka vyanzo vya maji vitunzwe

Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro Amos Makalla mwenye miwani akizindua huduma ya maji katika kijiji cha Mabogini, mkoani Kilimanjaro wenye thamani ya Sh Milioni 343.

Na Mwandishi Wetu, Kilimanjaro

ZAIDI ya wananchi 3000 wa kijiji cha Mabogini, kitongoji cha Shabaha, mkoani Kilimanjaro, watanufaika na huduma ya maji safi na salama, baada ya kupelekewa mradi wenye thamani ya Sh Milioni 343. Mradi huo uliozinduliwa jana na Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro, Amos Makalla, umesimamiwa na Mamlaka ya Maji Safi...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mnyika ataka haki ugawaji nafasi kituo cha simu 2000

MBUNGE wa Ubungo, John Mnyika (CHADEMA), ameitaka Manispaa ya Kinondoni kugawa nafasi za kufanyia biashara katika kituo kipya cha Daladala Simu 2000 kwa kuzingatia haki ili kuepuka misuguano. Mnyika, aliyasema...

 

10 years ago

Mwananchi

Mnyika ‘amvaa’ Kikwete kilio cha maji Ubungo

Mbunge wa Jimbo la Ubungo, John Mnyika amemtaka Rais Jakaya Kikwete kutekeleza ahadi ya kuwapatia wananchi wake huduma ya maji aliyoitoa mwaka mmoja uliopita.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani