Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali yakerwa uchomaji makanisa

SERIKALI imetoa tamko juu ya mfululizo wa vitendo vya uchomaji makanisa vilivyoibuka hivi karibuni na kusema imeagiza dola ikaze uzi kukabili wimbi hilo. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alisema jana bungeni wakati akihitimisha michango ya wabunge kuhusu bajeti ya mwaka wa fedha 2014/15 ya ofisi yake iliyopitishwa jana.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mzalendo Zanzibar

Mtanzania Zinduka: UCHOMAJI WA MAKANISA BUKOBA NI HUJUMA ZA CCM

Assaalamu Alaikhum Ndugu Watanzania mulioko Ndani na Nje ya Tanganyika na Zanzibar, Nimetumia neno Assalamu Alaikhum kwasababu Maamkizi haya ni Kumuombea Mtu Amani ya Mungu iwe juu yetu Sote.. Na sina haja yakutumia neno “Bwana Yesu […]

The post Mtanzania Zinduka: UCHOMAJI WA MAKANISA BUKOBA NI HUJUMA ZA CCM appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

Mwananchi

Watuhumiwa uchomaji makanisa Bukoba wafikia 37, wapo makada wa CUF

Idadi ya watuhumiwa wa uchomaji makanisa sasa wamefikia 37, akiwamo Mwenyekiti wa Cuf Wilaya ya Bukoba Vijijini na mgombea udiwani wa chama hicho Kata ya Katoro.

 

11 years ago

Habarileo

Serikali yakerwa uzushi wa gazeti

Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu SERIKALI imekanusha taarifa zilizochapishwa kwenye baadhi ya vyombo vya habari nchini kuhusu hali halisi ya vita dhidi ya ujangili ambazo chanzo chake ni gazeti la Daily Mail on Sunday la Uingereza na kuziita za uzushi, uongo na upotoshaji wa hali ya juu.

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali yakerwa sakata la Okwi

Serikali haikupendezwa na sakata la mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi huku ikitoa rai kwa wachezaji wa kigeni kuheshimu sheria, taratibu na kanuni za Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) pamoja na lile la kimataifa, Fifa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Serikali yatumia makanisa kupinga serikali tatu

SERIKALI imeendelea kuibeza rasimu ya pili ya katiba iliyowasilishwa bungeni na aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji mstaafu Joseph Warioba kwa madai kuwa imekuja na hoja ya...

 

5 years ago

Michuzi

BARAZA LA MAKANISA YA PENTEKOSTE WAUNGANA NA SERIKALI MOROGORO

Na Farida Saidy,Morogoro
Baraza la Makanisa ya Pentekoste Tanzania (CPCT) Mkoa wa Morogoro wameungana na jitihada za Serikali ya Mkoa huo kwa kutoa kiasi cha shilingi milioni moja za kitanzania ikiwa ni mchango wao katika kupambana na ugonjwa wa CORONA Mkoani humo.
Viongozi wa CPCT wametoa msaada huo wa fedha mwishoni mwa wiki hii walipofika ofisini kwa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro na kumkabidhi fedha hizo Mkuu wa Mkoa huo Loata Ole Sanare kama ishara ya kumuunga Mkono na Serikali ngazi ya...

 

5 years ago

Michuzi

Diwani ashangaa wanaosubiri serikali itangaze kufunga makanisa

Mwenyekiti wa halmashauri ya mji wa Njombe Edwin Mwanzinga

Na Amiri kilagalila,Njombe

Mwenyekiti wa halmashauri ya mji wa Njombe Edwin Mwanzinga ambaye pia ni diwani (CCM) kata ya Matola ameshangazwa na watu wanaosubiri serikali kutangaza kufunga makanisa wakati tahadhari dhidi ya maambukizi ya virusi vya Corona (COVID-19) zilikwishatolewa.

Mwanzinga amesema anaamini wananchi wanaelewa taratibu za kujikinga dhidi ya virusi hivyo ikiwemo kuepuka mikusanyiko lakini anashangazwa kuona watu...

 

9 years ago

Michuzi

ASKOFU CHARLES GADI AONGOZA UMOJA WA MAKANISA YA DODOMA KUMUOMBEA RAIS DK.JOHN MAGUFULI NA SERIKALI YA AWAMU YA TANO

 Viongozi wa Makanisa mbalimbali ya mkoani Dodoma wakiwa wameshika picha za Rais Dk.John Magufuli, Waziri Mkuu, Majaliwa Kasimu Majaliwa na Makamu wa Rais Samia Hassan Suluhu wakati wa kufanya maombi ya kuwaombea yaliyofanyika mjini Dodoma juzi. Maombi hayo yaliongozwa na Askofu wa Kanisa la Good News for All Ministry International la jijini Dar es Salaam. Viongozi hao na waumini wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa maombi hayo.Picha ya pamoja ndani ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mwenyekiti mbaroni kwa uchomaji nyumba

JESHI la Polisi wilayani Chato linamshikilia Mwenyekiti wa Kitongoji cha Elimu, Paschal Antony kwa mahojiano kwa tuhuma za kuchoma kaya saba na kuziteketeza kwa moto kwa imani za kishirikina. Baadhi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani