Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwenyekiti mbaroni kwa uchomaji nyumba

JESHI la Polisi wilayani Chato linamshikilia Mwenyekiti wa Kitongoji cha Elimu, Paschal Antony kwa mahojiano kwa tuhuma za kuchoma kaya saba na kuziteketeza kwa moto kwa imani za kishirikina. Baadhi...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Mwenyekiti wa CUF Bukoba na wengine 15 mbaroni kwa tuhuma za kuchoma makanisa

Jeshi la Polisi limewakamata watu 16 akiwamo Mwenyekiti wa CUF Wilaya ya Bukoba kwa madai ya kuhusika na vitendo vya uchomaji wa makanisa katika maeneo mbalimbali ya Wilaya ya Bukoba.

 

10 years ago

Michuzi

Mwenyekiti wa Shirika la Nyumba la Serikali ya Dubai atembelea mradi wa nyumba za gharama nafuu Kigamboni

Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba ncini Tanzania Mhe. Nehemia Mchechu (wakwanza kushoto), watatu kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa Shirika la Nyumba la Serikali ya Dubai Mhe. Ali Rashid Ahmed Lootah, wapili kutoka kulia ni Bwa. Issack Peter, na wakwanza kutoka kulia ni Balozi Mdogo Mhe. Omar Mjenga, watembelea mradi wa nyumba za gharama nafuu za Kigamboni zilizojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) mapema leo asubuhi jijini Dar es salaam. Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa Mhe....

 

11 years ago

Mwananchi

Mwenyekiti mbaroni kumtisha Naibu Waziri

Mwenyekiti wa CCM wilayani Misungwi, Mkoa wa Mwanza, Judith Mulolwa juzi alikamatwa na polisi kwa tuhuma za kumtishia Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Charles Kitwanga.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mwenyekiti wa kijiji Rorya mbaroni wizi wa ng’ombe

JESHI la Polisi Rorya linamshikilia Mwenyekiti wa Kijiji cha Marasibora, Kata ya Kisumwa, Sproza Charles, kwa tuhuma za wizi wa ng’ombe watatu wa ofisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)...

 

11 years ago

Michuzi

SAFARI LAGER YATANGAZA RASMI BAA 10 ZILIZOINGIA FAINALI KATIKA SHINDANO LA UCHOMAJI NYAMA MKOA WA MBEYA KWA MWAKA 2014

Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kupitia bia yake ya Safari Lager leo imetangaza rasmi majina ya Bar 10 yaliyofanikiwa kuingia fainali katika  shindano la uchomaji nyama kwa mwaka 2014 lijulikanalo kama “Safari Lager Nyama Choma Competition 2014”.
Shindano hili linalofanyika kila mwaka, linafanyika mwaka huu kwa mara ya saba mfululizo na litashirikisha mikoa ya Mbeya, Mwanza, Arusha, Kilimanjaro na Dar Es Salaam. Tangu lilipoanzishwa mwaka 2008, shindano hili limekuwa na mvuto wa kipekee kwa...

 

10 years ago

Michuzi

SAFARI LAGER YAZINDUA SHINDANO LA UCHOMAJI NYAMA KWA BAR MBALI MBALI NCHINI

Meneja wa bia ya Safari Lager, Edidh Bebwa(kulia) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa masindano ya Safari Nyama Choma kwa mwaka 2015 uliofanyika Dar es Salaam leo.Kushoto ni Jaji Mkuu wa mashindano hayo, Manase Mwasha. Jaji Mkuu wa mashindano Safari Nyama Choma, Manase Mwasha(kushoto) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa masindano ya Safari Nyama Choma kwa mwaka 2015 uliofanyika Dar es Salaam leo.Kulia ni Meneja wa bia ya Safari Lager, ...

 

10 years ago

Michuzi

Mwenyekiti wa Shirika la Nyumba la Serikali ya Dubai akutana na Mkuu wa Majeshi

Mkuu wa Majeshi Nchini Tanzania Davids Mwamunyange akisalimiana na Mwenyekiti wa Shirika la Nyumba la Serikali ya Dubai (NAKHEEL) Mhe. Ali Rashid Ahmed Lootah alipo mtembelea Ofisini kwake jijini Dar es salaam.Mh. Davis Mwamunyange akifanya mazungumzo na Mhe. Lootah mara tu baada ya kuwasili ofisini kwake, Mhe. Lootah katika ziara yake anaangalia fursa za uwekezaji katika uchumi, ujenzi wa nyumba na makaaziAfisa Mambo ya Nje Bw. Hangi Mgaka akifuatilia kwa makini mzungumzo kati ya Mhe. Davis...

 

10 years ago

Michuzi

Mwenyekiti wa Shirika la Nyumba Serikali ya Dubai afanya ziara nchini

Mkurugenzi wa Idara ya Mashariki ya Kati katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Simba Yahya akisalimiana na Mkurugenzi wa Nyumba kutoka Dubai Mhe. Ali Rashid Ahmed Lootah walipokutana kwa chakula cha jioni kilichoandaliwa na Kampuni inayojishughulisha na masuala ya Nyumba ya OYO. Bw. Lootah yupo nchini kwa ziara ya siku mbili ya kuangalia fursa za uwekezaji katika Sekta ya Nyumba na Makazi.Balozi Mdogo wa Tanzania, Dubai Bw. Omar Mjenga (katikati) akimtambulisha...

 

9 years ago

Mtanzania

Facts Production kuuza filamu zake nyumba kwa nyumba

NiliyemchaguaNA HERIETH FAUSTINE

KAMPUNI ya Facts Production inatarajia kuanza kusambaza filamu yake mpya ya ‘Niliyemchagua’ kwa mfumo wa nyumba kwa nyumba.

Mkurugenzi wa Kampuni hiyo, Mohammed Kazi ‘Mudy Kazi’ alisema ameamua kufanya hivyo ili kutoa nafasi ya wasiopata muda wa kwenda kununua CD za filamu hiyo katika maduka makubwa waweze kununua wakiwa nyumbani kwao.

“Lakini pia tumeona ni vizuri kwa kuwa itasaidia kuwatambulisha wasanii wetu chipukizi ambao wana uwezo mkubwa kuliko wasanii wenye majina...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani