Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali yakerwa uzushi wa gazeti

Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu SERIKALI imekanusha taarifa zilizochapishwa kwenye baadhi ya vyombo vya habari nchini kuhusu hali halisi ya vita dhidi ya ujangili ambazo chanzo chake ni gazeti la Daily Mail on Sunday la Uingereza na kuziita za uzushi, uongo na upotoshaji wa hali ya juu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Serikali yakerwa sakata la Okwi

Serikali haikupendezwa na sakata la mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi huku ikitoa rai kwa wachezaji wa kigeni kuheshimu sheria, taratibu na kanuni za Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) pamoja na lile la kimataifa, Fifa.

 

11 years ago

Habarileo

Serikali yakerwa uchomaji makanisa

SERIKALI imetoa tamko juu ya mfululizo wa vitendo vya uchomaji makanisa vilivyoibuka hivi karibuni na kusema imeagiza dola ikaze uzi kukabili wimbi hilo. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alisema jana bungeni wakati akihitimisha michango ya wabunge kuhusu bajeti ya mwaka wa fedha 2014/15 ya ofisi yake iliyopitishwa jana.

 

9 years ago

Habarileo

Serikali yapigwa butwaa uzushi siku ya uchaguzi

SERIKALI imeeleza kushangazwa na uzushi kwamba siku ya uchaguzi mkuu, data za mawasiliano pamoja na umeme vitazimwa, jambo ambalo imetaka wananchi kupuuza taarifa hizo potofu.

 

9 years ago

Michuzi

Serikali yatoa Ufafanuzi juu ya uzushi wa kifo cha Rais wa Awamu ya Tatu

Na Georgina Misama-MAELEZO Mkurugenzi wa Idara ya Habari Bw. Assah Mwambene amekanusha taarifa za uzushi zinazosambazwa kwenye baadhi ya vyombo vya habari pamoja na mitandao ya kijamii kuhusu kifo cha Rais mstaafu wa Awamu ya Tatu, Mhe. Benjamin William Mkapa. Akiongea katika mkutano na waandishi wa habari leo Jijini Dar es Salaam Bw. Mwambene amesema kuwa Mhe. Rais Mkapa ni mzima na mwenye afya nzuri   anaendelea na shughuli zake kila siku kama kawaida. “Mhe. Rais Benjamin William Mkapa ni...

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali yafungia gazeti la The EastAfrican

Gazeti la The EastAfrican limepigwa marufuku kusambazwa Tanzania, ikiwa ni miaka 20 baada ya kuanzishwa kwake kwa ajili ya kuandika habari za ukanda wa Afrika Mashariki.

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ALIELEZA BUNGE HATUA ZILIZOCHUKULIWA NA SERIKALI KUKABILIANA NA VIRUSI VYA CORONA...AGUSIA UZUSHI MTANDAONI

Na Said Mwishehe, Michuzi TV
WAZIRI Mkuu Kasim Majaliwa amelieleza Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hatua mbalimbali ambazo Serikali ya Awamu ya Tano chini ya Rais Dkt.John Magufuli ambazo inazichukua katika kukabiliana na virusi vya Corona ambavyo vinasababisha ugonjwa wa COVID-19.
Akizungumza mchana huu Bungeni Mjini Dodoma katika mkutano wa kumi na tisa, kikao cha pili cha bajeti ya mwaka 2019/2020 Waziri Mkuu Kasim Majaliwa ametaja hatua kadhaa ambazo zimechukuliwa hadi sasa kama...

 

10 years ago

Zitto Kabwe, MB

11 years ago

Mwananchi

Tucta yakerwa na Bajeti 2014/15

>Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi nchini (TUCTA), limekosoa Bajeti ya Serikali ya mwaka 2014/15, kutokana na kuongeza kodi ya bidhaa na kupunguza kwa asilimia moja tu kodi ya mishahara ya wafanyakazi (PAYE).

 

10 years ago

Habarileo

Tahliso yakerwa kuingiliwa kisiasa

Mwenyekiti mpya wa TAHLISO,, Francisco John UONGOZI mpya wa Umoja wa Wanafunzi wa Vyuo vya Elimu ya Juu (Tahliso), umekerwa na mgogoro uliopo katika taasisi hiyo ambao umesababishwa na uongozi uliopita kuingiza itikadi za kisiasa ndani ya umoja huo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani