Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Gazeti la RAI- Zitto:Ripoti ya IPTL kuiangusha Serikali

View this document on Scribd

Zitto Kabwe, MB

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Wanaolichafua gazeti la RAI kukiona

kibandaNA MWANDISHI WETU

KAMPUNI ya New Habari (2006) Ltd inayochapisha magazeti ya MTANZANIA, RAI, Bingwa, Dimba na The African, imelaani vikali, uzushi, uongo na upotoshaji wa hali ya juu unaofanywa na watu wasio na nia njema na kampuni hiyo.

Watu hao juzi walitengeneza mfano wa gazeti la RAI lenye ujumbe hasi na kulisambaza katika mitandao ya kijamii, likiwa na taarifa mbalimbali za uongo na uzushi ambazo haziuhusu uongozi wa kampuni hiyo na magazeti yake kwa ujumla wake.

Akizungumzia hali hiyo...

 

10 years ago

Zitto Kabwe, MB

10 years ago

Tanzania Daima

Ripoti IPTL yavuja

RIPOTI ya uchunguzi wa kashfa ya kuchota fedha zaidi ya sh bilioni 200, zilizohifadhiwa kwenye Akaunti Maalum ya Escrow katika  Benki Kuu ya Tanzania (BoT), inadaiwa kuvuja, Tanzania Daima Jumapili, limedokezwa....

 

10 years ago

Tanzania Daima

Kamati yataka ripoti ya IPTL

KAMATI ya Uchumi, Viwanda na Biashara, imeitaka Serikali kuwasilisha taarifa ya uchunguzi wa sh. milioni 200 za IPTL katika vikao vya Bunge vinavyotarajiwa kuanza wiki hii, mkoani Dodoma. Akizungumza na...

 

10 years ago

Habarileo

Spika kukabidhiwa ripoti ya IPTL leo

BAADA ya vuta nikuvute, hatimaye Waziri Mkuu, Mizengo Pinda atakabidhi ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), kuhusu fedha za Akaunti ya Escrow kwa Spika wa Bunge, Anne Makinda, Dodoma leo.

 

10 years ago

Mtanzania

IPTL yamshtaki Zitto

Zitto Kabwe

Zitto Kabwe

NA MWANDISHI WETU

KAMPUNI ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) na wadai wengine wawili, wamefungua kesi ya madai katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam dhidi ya Mbunge wa Kigoma Kaskazini,  Zitto Kabwe (Chadema).

Pia IPTL imewafungulia kesi watu wengine wawili, huku wakitaka kulipwa fidia ya Sh. bilioni 500.

Mbali na IPTL, wengine waliofungua kesi hiyo  Septemba 4, mwaka huu kupitia wakili Melchisedeck Lutema wa Asyla Attorneys na  Kay Felician Mwesiga...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mauzo ya IPTL yamwibua Zitto

MWENYEKITI wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Zitto Kabwe, ameeleza kushtushwa na taarifa za mauzo ya kampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) kwa Kampuni...

 

10 years ago

TheCitizen

We’re facing threats over IPTL, says Zitto

Members of Parliament’s Public Accounts Committee (PAC) claim they are being intimidated by powerful politicians with vested interest in the Tegeta escrow account saga.

 

10 years ago

Dewji Blog

IPTL yamburuza Zitto kortini

iptl_1

 

Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe.

Na Mwandishi wetu

KAMPUNI ya ufuaji umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) na wadai wengine wawili wamefungua kesi ya madai katika Mahakama Kuu dhidi ya Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe na wengine wawili wakitaka kulipwa fidia ya shi bilioni 500 kwa kashfa alizotoa kimaandishi dhidi yao.

 Mbali na IPTL,  wengine waliofungua kesi hiyo Septemba 4, kupitia wakili Melchisedeck Lutema wa Asyla Attorneys na  Kay Felician Mwesiga wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani