Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ripoti IPTL yavuja

RIPOTI ya uchunguzi wa kashfa ya kuchota fedha zaidi ya sh bilioni 200, zilizohifadhiwa kwenye Akaunti Maalum ya Escrow katika  Benki Kuu ya Tanzania (BoT), inadaiwa kuvuja, Tanzania Daima Jumapili, limedokezwa....

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Ripoti iliyomng’oa Dk. Slaa Chadema yavuja....Ipo Hapa

Ripoti ya utafiti iliyokabidhiwa kwa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) inayomtaja Dk. Willibrod Slaa, kama mwanasiasa mwenye mvuto miongoni mwa wapinzani anayestahili kuwania urais kupitia Ukawa, hatimaye imepatikana; JAMHURI linathibitisha.
Kutupwa kwa ripoti hiyo kunatajwa kuwa ndiyo chachu iliyomfanya Dk. Slaa aachane na shughuli zote za kisiasa ndani ya Chadema. RIPOTI YOTE IMECHAPISHWA UK. 15-20 katika toleo hili la JAMHURI.Utafiti huo uliofanywa na taasisi ya Tanzania...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Kamati yataka ripoti ya IPTL

KAMATI ya Uchumi, Viwanda na Biashara, imeitaka Serikali kuwasilisha taarifa ya uchunguzi wa sh. milioni 200 za IPTL katika vikao vya Bunge vinavyotarajiwa kuanza wiki hii, mkoani Dodoma. Akizungumza na...

 

10 years ago

Habarileo

Spika kukabidhiwa ripoti ya IPTL leo

BAADA ya vuta nikuvute, hatimaye Waziri Mkuu, Mizengo Pinda atakabidhi ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), kuhusu fedha za Akaunti ya Escrow kwa Spika wa Bunge, Anne Makinda, Dodoma leo.

 

10 years ago

Zitto Kabwe, MB

10 years ago

GPL

SIRI YA DIAMOND KUHAMIA KWAKE YAVUJA

Na Mussa Mateja HATIMAYE siri ya nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ kuhamia kwenye mjengo wake wa kisasa uliyopo Tegeta -Madale jijini Dar imevuja huku ikitajwa kuwepo na vionjo vya ushirikina. Nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’. Chanzo makini kimeliambia Amani kuwa, licha ya kumalizika kwa mjengo huo, lakini Diamond alikuwa akikataa kuhamia kutokana na umbali kutoka huko hadi mitaa...

 

10 years ago

GPL

SIRI NDOA YA THEA, MIKE KUYUMBA YAVUJA

Na Waandishi Wetu
IMEFICHUKA! Ile ndoa ya wasanii wa filamu za Kibongo, Salome Urassa ‘Thea’ na Michael Sangu ‘Mike’ ambayo imekuwa ikiyumba mara kwa mara chanzo kimedaiwa kilianzia kwenye ufungaji wake.Sosi wetu makini aliyeomba hifadhi ya jina lake alitutonya kuwa, ndoa ya mastaa hao ni ya mseto kwani hakuna aliyekuwa tayari kufuata imani ya mwenzake jambo lililowashangaza wengi. Salome Urassa...

 

11 years ago

GPL

SIRI NZITO YAVUJA: RAIS HAVUNJI BALAZA LA MAWAZIRI

Stori: mwadishi wetu
SIRI nzito imevuja! Ni dhahiri kwamba, Rais Jakaya Kikwete ‘JK’ hatavunja baraza la mawaziri kufuatia kusitisha kwake uteuzi wa mawaziri wanne na kifo cha aliyekuwa Waziri wa Fedha, Mipango na Uchumi,  Dk. William Augustao Mgimwa kama wengi wanavyoamini bali atabadilisha tu, Risasi Jumamosi lina cha kushika mkononi. Waziri Mkuu, Mh. Mizengo Pinda. Mawaziri ambao uteuzi wao ulitenguliwa ni...

 

9 years ago

Bongo5

Album ya Adele, 25 yavuja siku moja kabla ya kuachiwa rasmi

Adele-Vogue--e1445253839377

“Hello,” good news! album ya Adele iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu imevuja yote mtandaoni Jumatano hii ikiwa imebaki siku moja tu itoke rasmi, Ijumaa hii.

Adele-Vogue--e1445253839377

Mashabiki wengi wa muimbaji huyo mwenye miaka 27 wameoneshwa kufurahishwa kuipata albamu hiyo mapema. Hata hivyo wapo wanaodai wataisubiri wapate nakala halisi kwa kununua.

Wimbo wa kwanza kutoka kwenye album hiyo ni Hello uliopata mafanikio makubwa.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani