Album ya Adele, 25 yavuja siku moja kabla ya kuachiwa rasmi
“Hello,” good news! album ya Adele iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu imevuja yote mtandaoni Jumatano hii ikiwa imebaki siku moja tu itoke rasmi, Ijumaa hii.
Mashabiki wengi wa muimbaji huyo mwenye miaka 27 wameoneshwa kufurahishwa kuipata albamu hiyo mapema. Hata hivyo wapo wanaodai wataisubiri wapate nakala halisi kwa kununua.
Wimbo wa kwanza kutoka kwenye album hiyo ni Hello uliopata mafanikio makubwa.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram...
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo512 Dec
Nyimbo 2 za Nicki Minaj zavuja siku chache kabla ya album yake kutoka, moja ni collabo yake na Beyonce (zisikilize)
9 years ago
Bongo502 Nov
Video: Davido aeleza sababu iliyomfanya kuahirisha kuachia album mpya siku 2 kabla ya tarehe iliyokuwa imepangwa
![davido A](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/davido-A-94x94.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jK7-NTyuxfAKZ51fEXXMh1y3IoC9Vcqo4WtVx9nvp*9D809QmTAKvPwf6eKnwd4IosDCyT8s4FKkA8rUVajJ3EeKwj-zQYW3/BACKIJUMAA.jpg)
SIKU MOJA KABLA YA NDOA BI HARUSI AGOMA KUOLEWA!
9 years ago
Bongo521 Nov
Why Adele isn’t streaming her new album ‘25’
![600](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/600-300x194.jpg)
By restricting her new album 25 from streaming services Apple Music and Spotify, Adele is playing to her greatest strength: wide appeal.
The British singer is the rare artist whose allure spans demographic groups, from teenagers on YouTube and Spotify to adults who visit record stores or frequent iTunes. Music executives liken her to a four-quadrant movie, the lingo for blockbusters like The Avengers and Jurassic World that draw in young and old, men and women.
Adele and Sony Corp’s music...
9 years ago
Bongo513 Oct
Izzo Bizness: Mangwair alikuwa ‘genius’, alikuwa na uwezo wa kuandika na kumaliza kurekodi album nzima siku moja
9 years ago
Bongo523 Oct
Video: Adele aachia single mpya ‘Hello’ na tracklist ya album yake ijayo ‘25’
9 years ago
Bongo511 Dec
Album ya Adele ‘25’ yauza zaidi ya nakala milioni 5 wiki ya tatu
![Adele-2015-press-Alasdair-McLellan-XL-billboard-650-2](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Adele-2015-press-Alasdair-McLellan-XL-billboard-650-2-300x194.jpg)
Album ya Adele ‘25’ inaendelea kununuliwa kwa kasi, mpaka sasa imeuza zaidi ya nakala milioni 5 Marekani kwenye wiki ya tatu.
Katika wiki mbili za kwanza ‘25’ iliuza nakala milioni 4.49, na inakadiriwa imeuza nakala 510,000 katika wiki ya tatu ya mauzo hivyo kufanya mauzo ya jumla kufikia zaidi ya milioni 5.
Wataalam wanabashiri kuwa hadi kumalizika kwa wiki ya tatu inaweza kuwa imeuza nakala 650,000 kwa wiki hii.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter...
9 years ago
MillardAyo22 Dec
Adele anafunga mwaka wa 2015 na haya mambo sita: Umaarufu, Album mpya na mengine!
Adele ndiye staa wa muziki anayefunga mwaka wa 2015 kwenye headlines za burudani Marekani na dunia nzima akiwa ameuza zaidi ya nakala milion 5 za single yake mpya ‘Hello’ huku video yake ikiwa imegusa watazamaji milion 700 kwenye mtandao wa YouTUBE! Ujio mpya wa Adele kwenye kurasa za burudani umepokelewa kwa muamko mkubwa sana duniani. […]
The post Adele anafunga mwaka wa 2015 na haya mambo sita: Umaarufu, Album mpya na mengine! appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
Bongo526 Nov
Album ya Adele ‘25’ kuuza nakala milioni 3 Marekani pekee kwenye wiki ya kwanza
![600](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/6001-300x194.jpg)
Album mpya ya Adele, 25 inatarajiwa kuuza nakala milioni 3 nchini Marekani katika wiki yake ya kwanza kwa mujibu wa kampuni ya Nielsen Music.
Hadi November 24 album hiyo ilikuwa imeuza kopi milioni 2.8. Miongoni mwa hizo, milioni 1.45 zimeuzwa mtandaoni kwenye iTunes.
25 imeshazidi hadi rekodi ya mauzo ya album kwa wiki mbili tangu kampuni ya Nielsen ilivyoanza kufuatilia mauzo ya album mwaka 1991.
Rekodi ya awali ilishikiliwa na album ya *NSYNC, No Strings Attached iliyouza kopi 2,416,000...