Video: Davido aeleza sababu iliyomfanya kuahirisha kuachia album mpya siku 2 kabla ya tarehe iliyokuwa imepangwa
Davido ameweka wazi sababu iliyomfanya yeye na uongozi wake kuahirisha kutoa album yake mpya ‘The Baddest’ hadi mwakani. Staa huyo wa Nigeria amesema kuwa album hiyo iko tayari, lakini siku mbili kabla ya terehe ya kuitoa walipigiwa simu kutoka kwenye kampuni moja kubwa ambayo inataka kuhusika kwenye maswala ya usambazaji. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo506 Jan
G-Nako aeleza sababu za kusogeza kuachia video yake mpya ‘Original’ iliyokuwa itoke mwaka jana
![Gnako](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2013/08/Gnako-150x200.jpg)
Weusi walipanga kuumaliza mwaka 2015 kwa kuachia nyimbo tatu, ambapo walifanikiwa kuachia ‘Don’t Bother’ ya Joh Makini aliyomshirikisha AKA na nyingine ya Nikki Wa Pili ‘Baba Swalehe’.
Single ya G-Nako ‘Original’ ambayo ndio ingekamilisha ahadi yao ya nyimbo tatu haikufanikiwa kutoka mwaka uliopita kutokana na msimu wa sikukuu za mwisho wa mwaka kuvuruga mipango iliyokuwepo.
Video ya wimbo huo iliyofanyika Afrika Kusini chini ya muongozaji Justin Campos wa Gorilla Films imekamilika toka...
9 years ago
Bongo505 Oct
Davido atangaza tarehe mpya ya kuachia album yake mpya ‘Baddest’
9 years ago
Bongo524 Nov
Chris Brown abadili tarehe ya kuachia album yake ‘Royalty’ iliyokuwa itoke Ijumaa hii
![Breezy2](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Breezy2-300x194.jpg)
Yale yaliyojitokeza kwenye album iliyopita ya Chris Brown, ‘X’ (kuahirisha tarehe ya kuachia) yameanza kujitokeza tena kwenye album yake mpya ‘Royalty’ ambayo hapo awali ilipagwa itoke Ijumaa hii November 27 lakini sasa imesogezwa mbele.
Chris Brown mwenyewe amethibitisha kuwa sasa album yake hiyo itatoka December 18 mwaka huu.
Hadi jana Nov 23. Breezy alikuwa akipromote tarehe 27 kuwa ndio angeachia ‘Royalty’, lakini taarifa za terehe mpya amezitoa kupitia mahojiano mapya aliyofanya na...
10 years ago
Bongo513 Nov
Tyga atangaza tarehe ya kuachia album yake mpya ‘The Gold Album’
9 years ago
Bongo527 Nov
Kala Jeremiah kuachia wimbo mpya mwezi ujao, pia aeleza sababu za kumtumia director Pablo kwenye video nyingi
![Kala](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Kala-300x194.jpg)
Baada ya kipindi cha kampeni kupita Kala Jeremiah pia yuko kwenye foleni ya wasanii wanaotaka kutoa kazi mpya za kufungua mwaka.
Kala ameiambia Bongo5 kuwa tayari video ya kazi mpya imekamilika na anatarajia kuitoa hivi karibuni.
“Video ya wimbo mpya na nimeshoot na PABLO ila nisingependa kwanza kutaja jina la wimbo, lakini mwezi wa 12 lazima itoke”.
Video nne zilizopita za Kala (Nchi ya Ahadi, Usikate Tamaa, Simu Ya Mwisho, Wale Wale) zote zimeongozwa na Pablo, kuhusu kwanini ameamua...
9 years ago
Bongo527 Oct
Davido abadili mawazo ya kuachia album yake ya mpya ‘Baddest’ hadi mwakani
9 years ago
Bongo515 Oct
Chris Brown atangaza tarehe ya kuachia album yake mpya ‘Royalty’
9 years ago
Bongo524 Oct
Agnes Masogange adai sababu iliyomfanya Tekno amkane ni ukaribu wake na Davido!
9 years ago
Bongo529 Sep
Ruby aeleza mpango wake wa kuachia album