Ruby aeleza mpango wake wa kuachia album
Hit-maker wa ‘Na Yule’ Ruby amesema anajipanga kuachia album yake mpya huku akiwa anajiamini kuwa atafanikiwa kuiuza licha ya kuwepo kwa changamoto ya masoko. Ruby ameambia E-newz ya EATV kuwa anaamini kuuzika ama kutokuuzika kwa album kunatokana na uzuri wa kazi na jinsi msanii anavyoitengeneza. “Album yangu inakuja soon,” alisema. Mimi naamini album inauza kutokana […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo502 Nov
Video: Davido aeleza sababu iliyomfanya kuahirisha kuachia album mpya siku 2 kabla ya tarehe iliyokuwa imepangwa
![davido A](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/davido-A-94x94.jpg)
10 years ago
Bongo513 Nov
Tyga atangaza tarehe ya kuachia album yake mpya ‘The Gold Album’
9 years ago
Bongo509 Nov
Kamikaze atangaza kuachia album ya Rap
![kamikaze](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/kamikaze-300x194.jpg)
Msanii anayeiwakilisha Singida, Cyrill Kamikaze ametangaza kurudi kwenye aina ya muziki aliyokuwa akifanya awali (Rap) baada ya kutoa nyimbo za kuimba mfululizo kwa kipindi kirefu.
Akizungumza katika Kipindi cha Bongo Fleva cha Cloudsfm Jumamosi iliyopita, Kamikaze amesema kuwa kutokana na maoni mengi aliyopata kutoka kwa mashabiki wake, ameamua kuja na album ya Rap itakayokuwa na nyimbo 13.
Alisema kuwa album hiyo itatoka hivi karibuni.
Kamikaze ambaye ameshafanya nyimbo za kuimba kama...
9 years ago
Bongo509 Nov
One The Incredible kuachia album yake mpya
![One Incredible](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2014/11/One-Incredible-300x194.jpg)
Rapper One The Incredible amesema yupo kwenye maandalizi ya kuachia album yake mpya ambayo bado hajaipa jina.
One ameiambia Bongo5 kuwa album hiyo ataifanya iwe bora ili kuhakikisha kuwa mashabiki wake wanapata kitu chenye ubora wa hali ya juu.
“Sasa nina nyimba 18 tayari nimesharekodi na bado ninaendelea kurekodi ndio nianze kupanga ipi itoke na ipi ibaki. Lakini najua na ninajipanga vizuri album iwe kali kila mwenye bahati ya kuwa nayo anufaike na kile nilichokifannya. Na mpaka sasa hivi...
10 years ago
CloudsFM07 Nov
CHIDI BENZ KUACHIA ALBUM YA PAMOJA NA FID Q
Tasnia ya muziki wa kizazi kipya sasa hivi inasubiria kwa hamu album ya pamoja ya wasanii wakubwa wa hip hop ndani ya Afrika Mashariki, album kati ya Chidi Benz na Fid Q.
Sasa hivi Chidi Benz ana zaidi ya wiki uraiani baada ya kukaa zaidi ya siku nne nyuma ya nondo, alisema kuwa bado hawajaanza kurekodi lakini muda si mrefu wataanza kurekodi na anaamini itakuwa ni bonge la albam mashabiki wakae tayari.
10 years ago
Bongo529 Nov
Ne-Yo kuachia album yake mpya ‘Non Fiction’ January, 2015
9 years ago
Bongo519 Oct
Ommy Dimpoz kutimiza ahadi ya kuachia album mwezi December
10 years ago
Bongo530 Dec
Vanessa Mdee kuachia album mwakani, itaitwa ‘Money Mondays’
10 years ago
Bongo510 Sep
Wizkid kuachia album mpya aliyowashirikisha Tyga, Akon na Wale