Kamikaze atangaza kuachia album ya Rap
Msanii anayeiwakilisha Singida, Cyrill Kamikaze ametangaza kurudi kwenye aina ya muziki aliyokuwa akifanya awali (Rap) baada ya kutoa nyimbo za kuimba mfululizo kwa kipindi kirefu.
Akizungumza katika Kipindi cha Bongo Fleva cha Cloudsfm Jumamosi iliyopita, Kamikaze amesema kuwa kutokana na maoni mengi aliyopata kutoka kwa mashabiki wake, ameamua kuja na album ya Rap itakayokuwa na nyimbo 13.
Alisema kuwa album hiyo itatoka hivi karibuni.
Kamikaze ambaye ameshafanya nyimbo za kuimba kama...
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo513 Nov
Tyga atangaza tarehe ya kuachia album yake mpya ‘The Gold Album’
9 years ago
Bongo515 Oct
Chris Brown atangaza tarehe ya kuachia album yake mpya ‘Royalty’
9 years ago
Bongo505 Oct
Davido atangaza tarehe mpya ya kuachia album yake mpya ‘Baddest’
9 years ago
Bongo509 Nov
One The Incredible kuachia album yake mpya
![One Incredible](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2014/11/One-Incredible-300x194.jpg)
Rapper One The Incredible amesema yupo kwenye maandalizi ya kuachia album yake mpya ambayo bado hajaipa jina.
One ameiambia Bongo5 kuwa album hiyo ataifanya iwe bora ili kuhakikisha kuwa mashabiki wake wanapata kitu chenye ubora wa hali ya juu.
“Sasa nina nyimba 18 tayari nimesharekodi na bado ninaendelea kurekodi ndio nianze kupanga ipi itoke na ipi ibaki. Lakini najua na ninajipanga vizuri album iwe kali kila mwenye bahati ya kuwa nayo anufaike na kile nilichokifannya. Na mpaka sasa hivi...
10 years ago
CloudsFM07 Nov
CHIDI BENZ KUACHIA ALBUM YA PAMOJA NA FID Q
Tasnia ya muziki wa kizazi kipya sasa hivi inasubiria kwa hamu album ya pamoja ya wasanii wakubwa wa hip hop ndani ya Afrika Mashariki, album kati ya Chidi Benz na Fid Q.
Sasa hivi Chidi Benz ana zaidi ya wiki uraiani baada ya kukaa zaidi ya siku nne nyuma ya nondo, alisema kuwa bado hawajaanza kurekodi lakini muda si mrefu wataanza kurekodi na anaamini itakuwa ni bonge la albam mashabiki wakae tayari.
9 years ago
Bongo529 Sep
Ruby aeleza mpango wake wa kuachia album
10 years ago
Bongo529 Nov
Ne-Yo kuachia album yake mpya ‘Non Fiction’ January, 2015
10 years ago
Bongo530 Dec
Vanessa Mdee kuachia album mwakani, itaitwa ‘Money Mondays’
10 years ago
Bongo510 Sep
Wizkid kuachia album mpya aliyowashirikisha Tyga, Akon na Wale