Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vanessa Mdee kuachia album mwakani, itaitwa ‘Money Mondays’

Mshindi wa tuzo za AFRIMA 2014, kwenye kipengele cha Msanii bora wa kike Afrika Mashariki, Vanessa Mdee ataachia album yake ya kwanza mwakani. Muimbaji huyo wa ‘Hawajui’ amedai kuwa album hiyo itaitwa ‘Money Mondays’. “Ni kwasababu Jumatatu kila mtu huamka na lengo la kutengeneza pesa,” alisema Vanessa kuhusu sababu za kuipa album yake jina hilo. […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Vanessa Mdee ataja sababu za kuchelewa kuitoa album yake ‘Money Mondays’

12276907_984236138289678_255207204_n

Album ya Vanessa Mdee, ‘Money Mondays’ ni kama imekamilika tayari lakini muimbaji huyo amesema ameichelewesha kuitoa kwasababu anaitengenezea mkakati mzuri wa kuichia.

12276907_984236138289678_255207204_n

Vanessa ameiambia Bongo5 kuwa anaangalia njia sahihi ya kuitoa.

“Naichelewesha kuitoa sababu natafuta proper distribution plan,” amesema.

“Sitaki tu itoke halafu watu wakasikiliza halafu ikabakia hamna faida yoyote tuliyotengeneza. Nataka kutumia fursa kutengeneza album ambayo italeta utofauti kwenye utoaji wa album....

 

9 years ago

Bongo5

Wizkid aahirisha tena kuachia album mpya mpaka mwakani (2016)!

Mashabiki wa Wizkid waliokuwa wakisubiri kwa hamu album mpya ya staa huyo ambayo ilipangwa kutoka Septemba, watalazimika kuvuta tena subira hadi mwakani 2016. Wizkid ametangaza kuahirisha kutoa album yake ya 3 mwezi huu (Septemba), baada ya kuhudhuria sherehe ya siku ya kuzaliwa ya 2Face Idibia aliyefikisha miaka 40. Amesema amegundua bado ana kazi kubwa anayotakiwa […]

 

9 years ago

Bongo5

Davido abadili mawazo ya kuachia album yake ya mpya ‘Baddest’ hadi mwakani

Staa wa muziki kutoka Nigeria, Davido amebadili mawazo ya kuachia album yake mpya dakika za mwisho. Davido na Wizkid ni kama wanategeana kuachia album zao! Kwasababu kila mmoja amekua akisogeza tarehe mbele kila inapokaribia tarehe ambayo alitangaza. Davido aliahidi kuwa album yake mpya ‘Baddest’ ingetoka mwezi wa 10 baada ya kuahirisha mara kadhaa, na Wizkid […]

 

9 years ago

Bongo5

Hemedy PHD aahidi kuachia album yake ya kwanza ‘VIRGO’ February mwakani

Hemedy PHD amesema kuwa anatarajia kuachia album yake ya kwanza ifikapo mwezi February mwakani 2016. Muimbaji huyo ambaye pia ni muigizaji wa filamu, amesema album yake hiyo ya muziki itaitwa ‘Virgo’ na itakuwa na jumla ya nyimbo 18. Hiki ndicho ameandika kupitia Instagram; “INSHALLAH FEBRUARY 2016 MY VERY FIRST MUSIC ALBUM WILL BE OUT!THE ALBUM […]

 

10 years ago

Africanjam.Com

10 years ago

Africanjam.Com

VANESSA MDEE "VEE MONEY" PROFILE


Vanessa Hau Mdee (born 7 June 1988 in Arusha, Tanzania), also referred to as Vee Money, is a Tanzanian recording artist, songwriter, youth activist, TV and radio host. Mdee is popularly known for being the first ever Tanzanian MTV VJ. She later rose to prominence
as a radio and TV host, hosting Epic Bongo Star Search and Dume CHallenge for ITV Tanzania before signing to B'Hits Music Group in late 2012. After joining B'Hits Music Group, Mdee collaborated with Tanzanian rapper A.Y. on a record...

 

9 years ago

Africanjam.Com

NEW MUSIC: VANESSA MDEE "Vee Money" - NEVER EVER (Download)




Africanjam is website that came into service December 2013(with another domain) and on April 2014 the new domain Africanjam(dot)com came into use. It was found by John Kapela who is currently in Dar es Salaam Tanzania. This site provides news from Africa and all over the world in Politics, Sports, Entertainment as well as Technology tips and some Amazing Facts. We also provide Football updates from all over the world. Visit this site everyday for being in touch with everything happening in...

 

10 years ago

Africanjam.Com

VIDEO: GAME - NAVY KENZO ft. VANESSA MDEE "VEE MONEY"





Africanjam is website that came into service December 2013(with another domain) and on April 2014 the new domain Africanjam(dot)com came into use. It was found by John Kapela who is currently in Dar es Salaam Tanzania. This site provides news from Africa and all over the world in Politics, Sports, Entertainment as well as Technology tips and some Amazing Facts. We also provide Football updates from all over the world. Visit this site everyday for being in touch with everything happening in...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani