CHIDI BENZ KUACHIA ALBUM YA PAMOJA NA FID Q
Tasnia ya muziki wa kizazi kipya sasa hivi inasubiria kwa hamu album ya pamoja ya wasanii wakubwa wa hip hop ndani ya Afrika Mashariki, album kati ya Chidi Benz na Fid Q.
Sasa hivi Chidi Benz ana zaidi ya wiki uraiani baada ya kukaa zaidi ya siku nne nyuma ya nondo, alisema kuwa bado hawajaanza kurekodi lakini muda si mrefu wataanza kurekodi na anaamini itakuwa ni bonge la albam mashabiki wakae tayari.
CloudsFM
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo507 Nov
Chid Benz na Fid Q kufanya album ya pamoja, Chid aizungumzia project hiyo
Wakali wa Hip Hop Tanzania Rashid na Fareed a.k.a Chid Benz na Fid Q wana mpango wa kurekodi album ya pamoja. Chid ambaye ameachia ngoma mpya wiki hii ‘Kimbiza’, ameiambia 255 ya XXL ya Clouds Fm kuwa mpango wa kufanya album na Fid lilikuwa ni wazo lake. “Ni idea yangu nilikuwa nayo kabla sijatoa ngoma, […]
9 years ago
Bongo515 Aug
New Music: Stamina f/ Chidi Benz, Nikki Mbishi, Songa, Noorah & Fid Q – Like Father Like Son (Remix)
Stamina amewakutanisha miongoni mwa rappers hatari zaidi kwenye hip hop ya Tanzania kwenye remix ya ngoma yake Like Father Like Son. Waliomo kwenye ngoma ni Chidi Benz, Nikki Mbishi, Songa, Noorah & Fid Q. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na […]
10 years ago
Bongo513 Nov
Tyga atangaza tarehe ya kuachia album yake mpya ‘The Gold Album’
Baada ya rapper Tyga kuitupia lawama label yake ya Young Money (YMCMB) hivi karibuni kuwa inambania album yake kutoka, rapper huyo ametumia Twitter kutangaza tarehe ya kutoka album yake inayoitwa “The Gold Album” ambayo sasa itatoka mwezi ujao. Kupitia Twitter Tyga ameandika sasa album hiyo itatoka siku mbili kabla ya sikukuu ya Christmas Dec 23. […]
10 years ago
GPLCHIDI BENZ APANDISHWA KIZIMBANI KISUTU
Msanii wa Hip Hop, Rashid Makwiro 'Chid Benz' akiwa chini ya ulinzi akipelekwa kizimbani katika Mahakama ya Kisutu leo. ...Akielekea kwenye 'karandinga' tayari kwa safari ya Segerea.…
10 years ago
Bongo504 Dec
Chidi Benz kurudi tena mahakamani January 15
Hatma ya rapper Chidi Benz kuhusiana na kama ataachia huru au kufungwa jela kutokana na mashtaka matatu yanayomkabili kufuatia kukamatwa na madawa ya kulevya, haikuweza kujulikana Alhamis hii baada ya kupanda tena kizimbani kwenye mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam. Chidi amepangwa kurejea tena mahakamani hapo January 15, 2015. Juzi rapper huyo alikuwa na […]
10 years ago
Bongo524 Oct
Chidi Benz akamatwa na dawa za kulevya airport
Chidi Benz amekamatwa na dawa za kulevya katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam akiwa anaelekea jijini Mbeya kwenye show ya Instagram Party inayotarajiwa kufanyika kesho. Akizungumza Bongo5 leo msanii Shetta ambaye alikuwa naye pamoja katika safari hiyo ya kuelekea Mbaya, amethibitisha kukamatwa na kwa Chidi akiwa na vitu […]
10 years ago
Bongo511 Nov
‘Niombeeni’ — asema Chidi Benz, kupanda kizimbani leo
Rapper Rashid Makwiro aka Chid Benz anapanda kizimbani Jumanne hii, November 11 kwenye mahakama ya hakimu mkazi, Kisutu jijini Dar es Salaam. Rapper huyo ambaye yupo nje kwa dhamana kufuatia kukamatwa na madawa ya kulevya hivi karibuni, amewaomba mashabiki wamwombee. “Kesho napanda mahakamani asubuhi pale kwa hakimu mkazi kissutu..niombeeni kheri koz najua wapo wanaonihitaji bado.#vitu […]
10 years ago
Bongo529 Oct
Chidi Benz apata dhamana baada ya kutimiza masharti
Rapper Rashid Makwiro aka Chidi Benz amepata dhamana baada ya kutimiza masharti ya kesi yake ya kukamatwa na dawa za kulevya. Jana Chidi alipandishwa kizimbani kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam na kusomewa mashtaka matatu ya kukutwa na madawa ya kulevya ambapo alishindwa kutimiza masharti ya dhamana ya shilingi milioni 1 […]
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania