Chidi Benz apata dhamana baada ya kutimiza masharti
Rapper Rashid Makwiro aka Chidi Benz amepata dhamana baada ya kutimiza masharti ya kesi yake ya kukamatwa na dawa za kulevya. Jana Chidi alipandishwa kizimbani kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam na kusomewa mashtaka matatu ya kukutwa na madawa ya kulevya ambapo alishindwa kutimiza masharti ya dhamana ya shilingi milioni 1 […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziCHID BENZ APATA DHAMANA BAADA YA KULALA GEREZANI SIKU MOJA
Na Mwene Said wa Blogu ya Jamii
Hatimaye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imemwachia kwa dhamana Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya (bongo fleva), Rashidi Makwaro (29), maarufa kama Chid Benz, baada ya kutimiza masharti ya dhamana ya mahakaman hiyo.
Chid Benz, alifikishwa mahakamani hapo jana akikabiliwa na mashitaka matatu ikiwemo kukutwa na Dawa za kulevya aina ya Heroin yenye thamani ya Sh. 38,638, bangi ya Sh. 1,720 na vifaa ya kuvutia dawa hizo kijiko na kigae.
Hakimu...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
CHID BENZ APATA DHAMANA
10 years ago
CloudsFM29 Oct
HATIMAYE CHID BENZ APATA DHAMANA
Hatimaye msanii wa Bongo Fleva,Rashid Makwiro 'Chid Benz' leo asubuhi amepata dhamana baada ya kutimiza masharti ya kesi yake ya kukamatwa na dawa za kulevya.
Msanii huyo, jana alipandishwa kizimbani kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam na kusomewa mashitaka matatu ya kukutwa na madawa ya kulevya ambapo alishindwa kutimiza masharti ya dhamana ya shilingi milioni 1 pamoja na wadhamini wawili wasiokuwana hatia.
Kesi yake itasikilizwa tena Novemba 11 mwaka huu.
10 years ago
GPLHATIMAYE CHID BENZ APATA DHAMANA KATIKA KESI YA MADAWA YA KULEVYA
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-dY6WKX8SZH0/U_7VSVTiZhI/AAAAAAAAMeg/gSYzwuuCaQA/s72-c/1.jpg)
MBUNGE WA KAWE CHADEMA ALALA SEGEREA BAADA YA KUSHINDWA MASHARTI YA DHAMANA
![](http://4.bp.blogspot.com/-dY6WKX8SZH0/U_7VSVTiZhI/AAAAAAAAMeg/gSYzwuuCaQA/s1600/1.jpg)
Mdee na wenzake nane mapema leo walipandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar na kukana tuhuma zinazowakabili.Mdee na wenzake hao wanashitakiwa kwa makosa mawili kototii amri za maofisa wa polisi na kufanya maandamano kinyume na sheria Jumamosi iliyopita ya Oktoba...
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-_HmmvaBXKUA/Vd3PGd5TkUI/AAAAAAADXPY/Rqjx3WJlQok/s72-c/IMG-20150826-WA0014.jpg)
Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani nchini, Lawrence Masha alipoachiwa baada ya kukamilisha masharti ya dhamana.
![](http://4.bp.blogspot.com/-_HmmvaBXKUA/Vd3PGd5TkUI/AAAAAAADXPY/Rqjx3WJlQok/s640/IMG-20150826-WA0014.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-G30ZG8WdwaA/Vd3QIR9KQXI/AAAAAAADXPk/LdC5jkziSIU/s1600/mashaaa_.jpg)
Masha alifikishwa mahakamani hapo jana...
10 years ago
GPLCHIDI BENZ APANDISHWA KIZIMBANI KISUTU
10 years ago
Bongo524 Oct
Chidi Benz akamatwa na dawa za kulevya airport