Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CHIDI BENZ APANDISHWA KIZIMBANI KISUTU

Msanii wa Hip Hop, Rashid Makwiro 'Chid Benz' akiwa chini ya ulinzi akipelekwa kizimbani katika Mahakama ya Kisutu leo. ...Akielekea kwenye 'karandinga' tayari kwa safari ya Segerea.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

‘Niombeeni’ — asema Chidi Benz, kupanda kizimbani leo

Rapper Rashid Makwiro aka Chid Benz anapanda kizimbani Jumanne hii, November 11 kwenye mahakama ya hakimu mkazi, Kisutu jijini Dar es Salaam. Rapper huyo ambaye yupo nje kwa dhamana kufuatia kukamatwa na madawa ya kulevya hivi karibuni, amewaomba mashabiki wamwombee. “Kesho napanda mahakamani asubuhi pale kwa hakimu mkazi kissutu..niombeeni kheri koz najua wapo wanaonihitaji bado.#vitu […]

 

11 years ago

Bongo5

Chidi Benz apanda kizimbani, arejeshwa rumande hadi Nov 11

Rapper Chidi Benz Jumanne hii alipandishwa kizimbani kwenye mahakama ya mahakama ya hakimu mkazi ya Kisutu jijini Dar es Salaam ambapo alisomewa mashtaka matatu. Mashtaka aliyosomewa ni pamoja na Kukutwa na madawa na vifaa vya kutayarishaji uvutaji wa madawa, Kusafirisha madawa ya kulevya na Utumiaji wa madawa ya kulevya. Hata hivyo Chidi amerudishwa rumande hadi […]

 

10 years ago

Michuzi

mtuhumiwa wa mauaji nchini uingereza apandishwa kizimbani mahakama ya kisutu jijini Dar es salaam leo


Mtanzania mwenye asili ya Kiarabu, Sammy al Mahri, aishiye Uingereza akiwa chini ya ulinzi wa polisi, wakati akipelekwa kizimbani katika mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu jijini Dar es Salaam,leo, kusomewa mashitaka ya kumuua mpenzi wake nchini Uingereza. Mahri anadaiwa kukimbilia Tanzania baada ya kufanya mauaji hayo. Picha na Khamis Mussa

 

11 years ago

Michuzi

CHID BENZ APANDISHWA KIZIMBANI JIJINI DAR LEO KWA SHITAKA LA KUKUTWA NA DAWA ZA KULEVYA,AKOSA DHAMANA, KESI YAKE KUTAJWA TENA NOVEMBA 11

MSANII wa Muziki wa Kizazi Kipya (bongo fleva), Rashidi Abdallah Makwaro (29), maarufa kama Chid Benz, amefikishwa mahakamani akikabiliwa na mashitaka matatu ikiwemo kukutwa na Dawa za kulevya aina ya Heroin yenye thamani ya Sh. 38,638, bangi ya Sh. 1,720 na vifaa ya kuvutia dawa hizo kijiko na kigae.
Chid Benz amefikishwa  mapema leo saa 3:00 asubuhi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kusomewa mashitaka yake. Saa 7:50 mchana alifikishwa mbele ya...

 

11 years ago

Bongo5

Chidi Benz akamatwa na dawa za kulevya airport

Chidi Benz amekamatwa na dawa za kulevya katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam akiwa anaelekea jijini Mbeya kwenye show ya Instagram Party inayotarajiwa kufanyika kesho. Akizungumza Bongo5 leo msanii Shetta ambaye alikuwa naye pamoja katika safari hiyo ya kuelekea Mbaya, amethibitisha kukamatwa na kwa Chidi akiwa na vitu […]

 

10 years ago

Bongo5

Chidi Benz kurudi tena mahakamani January 15

Hatma ya rapper Chidi Benz kuhusiana na kama ataachia huru au kufungwa jela kutokana na mashtaka matatu yanayomkabili kufuatia kukamatwa na madawa ya kulevya, haikuweza kujulikana Alhamis hii baada ya kupanda tena kizimbani kwenye mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam. Chidi amepangwa kurejea tena mahakamani hapo January 15, 2015. Juzi rapper huyo alikuwa na […]

 

10 years ago

CloudsFM

CHIDI BENZ KUACHIA ALBUM YA PAMOJA NA FID Q

Tasnia ya muziki wa kizazi kipya sasa hivi inasubiria kwa hamu album ya pamoja ya wasanii wakubwa wa hip hop ndani ya Afrika Mashariki, album kati ya Chidi Benz na Fid Q.Sasa hivi Chidi Benz ana zaidi ya wiki uraiani baada ya kukaa zaidi ya siku nne nyuma ya nondo, alisema kuwa bado hawajaanza kurekodi lakini muda si mrefu wataanza kurekodi na anaamini itakuwa ni bonge la albam mashabiki wakae tayari.

 

11 years ago

Bongo5

Chidi Benz apata dhamana baada ya kutimiza masharti

Rapper Rashid Makwiro aka Chidi Benz amepata dhamana baada ya kutimiza masharti ya kesi yake ya kukamatwa na dawa za kulevya. Jana Chidi alipandishwa kizimbani kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam na kusomewa mashtaka matatu ya kukutwa na madawa ya kulevya ambapo alishindwa kutimiza masharti ya dhamana ya shilingi milioni 1 […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani