Ommy Dimpoz kutimiza ahadi ya kuachia album mwezi December
Ni zaidi ya mwaka sasa toka Ommy Dimpoz atoe ahadi ya kuachia album yake ambayo mpaka sasa bado hajaitekeleza, hivyo bado ana deni kwa mashabiki wake. Mr PKP amesema kuwa sio kwamba hakumbuki alichoahidi, bali alikuwa na mpango wa kuitoa album hiyo mapema mwaka huu lakini ilishindikana kutokana na kampeni za uchaguzi. Sasa ameahidi kutoa […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo527 Nov
Picha: Ommy Dimpoz kuachia video ya ‘Tupogo Remix’ Ijumaa hii (Dec. 28)
10 years ago
Bongo513 Nov
Tyga atangaza tarehe ya kuachia album yake mpya ‘The Gold Album’
10 years ago
CloudsFM10 Feb
Picha za Ommy Dimpoz na Wema Sepetu wakiwa kimahaba zilipigwa usiku ‘mnene’,Dimpoz adai hakuwa na fahamu.
Zile picha za mahaba zilizosambaa kwenye mitandao zikimuonyesha Staa wa Bongo Fleva,Ommy Dimpoz na Wema Sepetu wakiwa kitandani zimezidi kuzua utata baada ya Ommy kusema hakujua alipigwa saa ngapi kwani hakuwa na fahamu bali aulizwe Wema.
Ommy amezungumza na Uheard na Soudy Brown alisema kuwa hana maelezo zaidi ya kuzungumza zaidi ya kusema kuwa hajui ni muda upi zilipigwa picha hizo.
Wiki hii picha hizo zilisambaa mitandaoni na kuzua maswali kuwa Ommy Dimpoz ameamua kujiweka kwa Wema baada ya...
11 years ago
Tanzania Daima08 Aug
JK aombwa kutimiza ahadi
WANANCHI wa Jimbo la Ulanga Magharibi mkoani Morogoro, wamemuomba Rais Jakaya Kikwete kutimiza ahadi yake ya uchaguzi za mwaka 2010, ya kuwapatia wilaya mpya kwa mipaka ya kimajimbo. Walisema kuwa...
11 years ago
Uhuru Newspaper31 Jul
Tibaijuka: Nimejipanga kutimiza ahadi zangu
NA MWANDISHI WETU
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka, amesema mikakati aliyojiwekea kwa sasa ni kutimiza ahadi alizowapa wapigakura na kutekeleza Ilani ya Uchanguzi ya CCM ya mwaka 2010.
Aliyasema hayo kwenye ziara ya Rais Jakaya Kikwete mikoa ya kusini mwa Tanzania, ambako walipokewa kwa shangwe na kundi la wananchi kutokana na kufanikiwa kutatua kero nyingi za ardhi zilizokuwa katika maeneo yao.
Utatuzi huo ulihusisha pia kumnyang’anya ardhi mwekezaji...
9 years ago
Habarileo07 Nov
Watakiwa kushikamana, kutimiza ahadi zao
MWANASIASA mkongwe wilayani Mpwapwa, Issack Chibwae amewataka viongozi waliochaguliwa katika uchaguzi mkuu kushikamana na kuhakikisha ahadi walizotoa kwa wanachi zinatekelezwa kwa ukamilifu wake.
11 years ago
Mwananchi01 Jul
KUTIMIZA AHADI: Aveva agoma kujifunga Simba
9 years ago
Bongo509 Nov
Kamikaze atangaza kuachia album ya Rap
![kamikaze](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/kamikaze-300x194.jpg)
Msanii anayeiwakilisha Singida, Cyrill Kamikaze ametangaza kurudi kwenye aina ya muziki aliyokuwa akifanya awali (Rap) baada ya kutoa nyimbo za kuimba mfululizo kwa kipindi kirefu.
Akizungumza katika Kipindi cha Bongo Fleva cha Cloudsfm Jumamosi iliyopita, Kamikaze amesema kuwa kutokana na maoni mengi aliyopata kutoka kwa mashabiki wake, ameamua kuja na album ya Rap itakayokuwa na nyimbo 13.
Alisema kuwa album hiyo itatoka hivi karibuni.
Kamikaze ambaye ameshafanya nyimbo za kuimba kama...
9 years ago
Bongo509 Nov
One The Incredible kuachia album yake mpya
![One Incredible](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2014/11/One-Incredible-300x194.jpg)
Rapper One The Incredible amesema yupo kwenye maandalizi ya kuachia album yake mpya ambayo bado hajaipa jina.
One ameiambia Bongo5 kuwa album hiyo ataifanya iwe bora ili kuhakikisha kuwa mashabiki wake wanapata kitu chenye ubora wa hali ya juu.
“Sasa nina nyimba 18 tayari nimesharekodi na bado ninaendelea kurekodi ndio nianze kupanga ipi itoke na ipi ibaki. Lakini najua na ninajipanga vizuri album iwe kali kila mwenye bahati ya kuwa nayo anufaike na kile nilichokifannya. Na mpaka sasa hivi...