Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Izzo Bizness: Mangwair alikuwa ‘genius’, alikuwa na uwezo wa kuandika na kumaliza kurekodi album nzima siku moja

Albert Mangwair alikuwa ni rapper genius, kwa mujibu wa Izzo Bizness. Akiongea kwenye kipindi cha Chill na Sky, Izzo amesema alifahamiana na Ngwair tangu yuko Mbeya kabla ya kuja kumshirikisha kwenye ngoma yake ‘Ball Player’ wakiwa na Quick Rocka. “Ngwair ni mtu ambaye nilisema angeamua, angekuja kuvunja historia ya muziki labda Tanzania,” anasema Izzo. “Alikuwa […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MC ZIPOMPA NAYE ANUSURIKA AJALINI, ALIKUWA GARI MOJA NA TYSON!

MC maarufu Gladys Chiduo maarufu kwa jina la MC Zipopamba (pichani) amenusirika kifo baada ya gari kupata ajali na kumuua George Tyson. Zipompa ameuambia mtadao huu asubuhi hii kuwa yeye alikuwa kiti cha mbele na Tyson pamoja watu wengine walikuwa viti vya nyuma na kilichomuokoa yeye ni kufunga mkanda, kwani licha gari kupinduka na kuzunguruka mara tatu alipata majeraha kidogo na hali yake inaendelea vyema kwa sasa akiwa...

 

5 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI NCHINI WATHIBITISHA MBOWE ALIKUWA AMELEWA CHAKALI KIASI CHA KUSHINDWA KUTAMKA MANENO SIKU ANAYODAI KUSHAMBULIWA

*Ni baada ya kuzunguka katika maeneo yanayoza vileo saa saba ya usiku
*Pia alikwenda kwa mzazi mwenzie Mbunge wa Viti Maalum Joyce Nkya


Na Said Mwishehe,Michuzi TV.
USHAHIDI wa awali wa Jeshi la Polisi nchini kuhusu madai ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) ambaye pia ni Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni Freeman Mbowe umeonesh kuwa siku hiyo ya tukio Mbowe alikuwa amelewa chakali na alizunguka kwenye kumbi mbalimbali za starehe zinazouza vileo ikiwemo ya...

 

9 years ago

Bongo5

Album ya Adele, 25 yavuja siku moja kabla ya kuachiwa rasmi

Adele-Vogue--e1445253839377

“Hello,” good news! album ya Adele iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu imevuja yote mtandaoni Jumatano hii ikiwa imebaki siku moja tu itoke rasmi, Ijumaa hii.

Adele-Vogue--e1445253839377

Mashabiki wengi wa muimbaji huyo mwenye miaka 27 wameoneshwa kufurahishwa kuipata albamu hiyo mapema. Hata hivyo wapo wanaodai wataisubiri wapate nakala halisi kwa kununua.

Wimbo wa kwanza kutoka kwenye album hiyo ni Hello uliopata mafanikio makubwa.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram...

 

9 years ago

Bongo5

Izzo Bizness awashirikisha Mwana FA na G-Nako

Rapper Izzo Bizness amesema anajipanga kuachia kazi yake mpya aliyowashirikisha Mwana FA pamoja na G-Nako. Izzo ameiambia Story Tatu ya Planet Bongo ya East Africa Radio kuwa anajisikia faraja kufanya kazi na rapper kama FA ambaye amekuwa akifanya vizuri kwenye muziki wake kwa nyakati tofauti. “Ngoma yangu mpya nimewashirikisha G-Nako pamoja na Mwana FA na […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani