Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MC ZIPOMPA NAYE ANUSURIKA AJALINI, ALIKUWA GARI MOJA NA TYSON!

MC maarufu Gladys Chiduo maarufu kwa jina la MC Zipopamba (pichani) amenusirika kifo baada ya gari kupata ajali na kumuua George Tyson. Zipompa ameuambia mtadao huu asubuhi hii kuwa yeye alikuwa kiti cha mbele na Tyson pamoja watu wengine walikuwa viti vya nyuma na kilichomuokoa yeye ni kufunga mkanda, kwani licha gari kupinduka na kuzunguruka mara tatu alipata majeraha kidogo na hali yake inaendelea vyema kwa sasa akiwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Izzo Bizness: Mangwair alikuwa ‘genius’, alikuwa na uwezo wa kuandika na kumaliza kurekodi album nzima siku moja

Albert Mangwair alikuwa ni rapper genius, kwa mujibu wa Izzo Bizness. Akiongea kwenye kipindi cha Chill na Sky, Izzo amesema alifahamiana na Ngwair tangu yuko Mbeya kabla ya kuja kumshirikisha kwenye ngoma yake ‘Ball Player’ wakiwa na Quick Rocka. “Ngwair ni mtu ambaye nilisema angeamua, angekuja kuvunja historia ya muziki labda Tanzania,” anasema Izzo. “Alikuwa […]

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mbowe anusurika kifo ajalini

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amenusurika kifo baada ya gari alilokuwa akisafiria kutoka jijini Mwanza kwenda wilayani Ngara, Kagera kupata ajali. Ajali hiyo ilitokea jana...

 

11 years ago

Mwananchi

Juma Ngasongwa anusurika ajalini

Waziri wa zamani wa Viwanda na Biashara, Dk Juma Ngasongwa (72) amenusurika kufa baada ya kupata ajali ya gari katika eneo la Picha ya Ndege, wilayani Kibaha, Pwani.

 

9 years ago

Mwananchi

Nape Nnauye anusurika kifo ajalini

Mgombea ubunge Jimbo la Mtama kupitia CCM, wilaya na mkoa wa Lindi, Nape Nnauye (38) amenusurika kifo, baada ya gari aliyokuwa akiendesha kuacha barabara na kupinduka, wilayani Kilwa.

 

9 years ago

Habarileo

Kijo-Bisimba anusurika kifo ajalini

MKURUGENZI wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Dk Helen Kijo-Bisimba amenusurika kifo baada ya gari alilokuwa akitembelea kuacha njia na kupinduka jijini Dar es Salaam.

 

9 years ago

Mwananchi

Mgombea ubunge ACT - Wazalendo anusurika ajalini

Mgombea ubunge wa ACT-Wazalendo katika Jimbo la Manyovu mkoani Kigoma, Goodluck Kimali amenusurika kifo baada ya gari alilokuwa akisafiria kupinduka likiwa kwenye msafara wa Kiongozi wa chama hicho, Zitto Kabwe.

 

11 years ago

Michuzi

BREAKING NYUZZZZZ........: GEORGE TYSON HATUNAYE TENA,AFARIKI DUNIA AJALINI MKONI MOROGORO

TAARIFA ZILIZOIFIKIWA GLOBU YA JAMII USIKU HUU,ZINAELEZA KUWA ALIEKUWA MUONGOZAJI WA FILAMU NA VIPINDI MBALI MBALI VYA TELEVISHENI HAPA NCHINI,GEORGE TYSON (PICHANI) AMEFARIKI DUNIA.
GEORGE TYSON AMEFIKWA NA MAUTI HAYO USIKU HUU BAADA YA KUPATA AJALI MBAYA SANA KUTOKANA NA GARI WALIOLOKUWA WAKISAFIRIA KUTOKA MKOANI DODOMA KUJA DAR ES SALAAM,WAKITOKEA KWENYE HAFLA YA KUADHIMISHA MIAKA MIWILI YA KIPINI CHA TELEVISHENI CHA THE MBONI SHOW,KUPINDUKA MARA KADHAA KUTOKANA NA KUPASUKA KWA MIPIRA...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watatu wa familia moja wafa ajalini

WATU watatu wa familia moja wamefariki dunia baada ya pikipiki waliyokuwa wamepanda kugongwa na basi la Kampuni ya Mtei Express katika Kijiji cha Kisasida, nje kidogo ya Manispaa ya Singida....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani