Mgombea ubunge ACT - Wazalendo anusurika ajalini
Mgombea ubunge wa ACT-Wazalendo katika Jimbo la Manyovu mkoani Kigoma, Goodluck Kimali amenusurika kifo baada ya gari alilokuwa akisafiria kupinduka likiwa kwenye msafara wa Kiongozi wa chama hicho, Zitto Kabwe.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPLMGOMBEA UBUNGE KINONDONI ACT-WAZALENDO KWENDA MAHAKAMANI
9 years ago
Mwananchi05 Nov
ACT - Wazalendo yapata mgombea ubunge Arusha Mjini
9 years ago
MichuziMGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KINONDONI WA CHAMA CHA ACT WAZALENDO, KARAMA MASUDI "KALAPINA" AZINDUA KAMPENI ZAKE
9 years ago
VijimamboMGOMBEA UBUNGE JIMBO LA MBAGALA (ACT-WAZALENDO), AHAIDI MAKUBWA KATIKA JIMBO HILO
Mgombea ubunge Jimbo la Mbagala kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Soud Rajabu
Mgombea Ubunge Jimbo la Mbagala kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Soud Rajabu (katikati), akizungumza na wanachama wa chama hicho baada ya kumaliza kuhutubia katika mkutano wa kampeni uliofanyika Mbagala Charambe Mianzini Dar es Salaam jana.
Na Dotto Mwaibale
MGOMBEA ubunge Jimbo la Mbagala kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Soud Rajabu ameahidi endapo atachaguliwa nafasi hiyo atahakikisha anapunguza gharama za huduma...
9 years ago
MichuziMGOMBEA UBUNGE JIMBO LA MBAGALA (ACT-WAZALENDO), AAHIDI MAKUBWA KATIKA JIMBO HILO
Mgombea ubunge Jimbo la Mbagala kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Soud Rajabu Mgombea Ubunge Jimbo la Mbagala kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Soud Rajabu (katikati), akizungumza na wanachama wa chama hicho baada ya kumaliza kuhutubia katika mkutano wa kampeni uliofanyika Mbagala Charambe Mianzini Dar es Salaam jana.
Na Dotto MwaibaleMGOMBEA ubunge Jimbo la Mbagala kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Soud Rajabu ameahidi endapo atachaguliwa nafasi hiyo atahakikisha anapunguza gharama za huduma...
9 years ago
Habarileo03 Sep
Mgombea ACT-Wazalendo Arusha atamba
MGOMBEA Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia chama cha ACT Wazalendo, Estomih Mallah amesema ndiye mgombea mwenye sifa za kuwa mbunge jimboni humo kutokana na kutekeleza nusu ya ahadi alizotoa ndani ya miezi sita.
9 years ago
Mwananchi19 Aug
Mgombea urais aichanganya ACT- Wazalendo
9 years ago
Habarileo06 Nov
ACT-Wazalendo yapata mgombea wake Arusha
CHAMA cha ACT-Wazalendo kimemteua mwanamama Navaroi Mollel kuwa mgombea ubunge wa chama hicho katika Jimbo la Arusha Mjini.
9 years ago
Mwananchi21 Aug
Anna Mghwira mgombea urais ACT-Wazalendo