Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mgombea urais aichanganya ACT- Wazalendo

Mchakato wa kumpata mgombea urais umeendelea kukichanganya Chama cha ACT – Wazalendo na sasa kimelazimika kuanza upya vikao vya kumpata mgombea mwingine atakayepeperusha bendera ya urais kwa tiketi ya chama hicho.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Anna Mghwira mgombea urais ACT-Wazalendo

Hatimaye Chama cha ACT – Wazalendo kimempitisha mwenyekiti wake, Anna Mghwira (56) kuwania urais baada ya mshauri wake, Profesa Kitila Mkumbo aliyekuwa amechukuliwa fomu kukataa kubeba jukumu hilo.

 

9 years ago

Vijimambo

MJUE MGOMBEA URAIS ANNA MGHWIRA KUPITIA CHAMA CHA ACT-WAZALENDO

Anna Mghwira ni Mwenyekiti wa kitaifa wa chama kipya cha siasa, ACT – Wazalendo. Alizaliwa Januari 23, 1959 katika hospitali ya Mkoa wa Singida, Kata ya Mungumaji, Kitongoji cha Irao Manispaa ya Singida Mjini. (Januari mwaka huu alitimiza miaka 56). Baba mzazi wa Anna alikuwa diwani na kiongozi wa Tanu kabla ya CCM hadi mwaka 1985, mama yake alijishughulisha na kilimo na ufugaji na wazazi hawa kwa ujumla walipata watoto tisa, akiwamo Anna.

Mgwira alianza safari ya kielimu katika Shule ya...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mgombea urais kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, apiga kura Singida mjini

IMG_0113

Mgombea urais kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, Anna Mughwira,akihakiki jina lake kwenye ubao wa matangazo muda mfupi kabla hajapiga kura kwenye kituo cha shule ya msingi Kibaoni mjini Singida leo.

IMG_0128

Mgombea urais kupitia ACT- Wazalendo, Anna Mughwira, akipiga kura kuchagua Rais, Mbunge na Diwani katika kituo cha shule ya msingi Kibaoni mjini Singida. Pamoja na mambo mengine, Mughwira ameseme endapo wapiga kura wataamua kuchagua chama ambacho kimenadi sera zake kwenye kampeni, anauhakika...

 

9 years ago

Michuzi

Mgombea Urais Mwanamke pekee kupitia tiketi ya ACT Wazalendo Mhe. Anna MGhwira apiga kura Singida

 Mgombea Urais Mwanamke pekee kupitia tiketi ya ACT Wazalendo Mhe. Anna MGhwira akiangalia jina lake wakati alipokwenda kupiga kura katika kituo cha Kibaoni mjini SingidaMgombea Urais Mwanamke pekee kupitia tiketi ya ACT Wazalendo Mhe. Anna MGhwira akiangalia jina lake wakati alipokwenda kupiga kura katika kituo cha Kibaoni mjini Singida

 

9 years ago

Habarileo

Mgombea ACT-Wazalendo Arusha atamba

MGOMBEA Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia chama cha ACT Wazalendo, Estomih Mallah amesema ndiye mgombea mwenye sifa za kuwa mbunge jimboni humo kutokana na kutekeleza nusu ya ahadi alizotoa ndani ya miezi sita.

 

9 years ago

Habarileo

ACT-Wazalendo yapata mgombea wake Arusha

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimemteua mwanamama Navaroi Mollel kuwa mgombea ubunge wa chama hicho katika Jimbo la Arusha Mjini.

 

9 years ago

Mwananchi

Mgombea ubunge ACT - Wazalendo anusurika ajalini

Mgombea ubunge wa ACT-Wazalendo katika Jimbo la Manyovu mkoani Kigoma, Goodluck Kimali amenusurika kifo baada ya gari alilokuwa akisafiria kupinduka likiwa kwenye msafara wa Kiongozi wa chama hicho, Zitto Kabwe.

 

9 years ago

Mwananchi

ACT - Wazalendo yapata mgombea ubunge Arusha Mjini

Hatimaye Chama cha ACT-Wazalendo mkoani Arusha kimempata mgombea atakayepeperusha bendera yake katika uchaguzi mdogo wa ubunge katika Jimbo la Arusha Mjini.

 

9 years ago

GPL

MGOMBEA UBUNGE KINONDONI ACT-WAZALENDO KWENDA MAHAKAMANI

Aliyekuwa mgombea Ubunge kupitia Chama Cha ACT Wazalendo jimbo la Kinondoni, Kalama Masoud 'Kalapina' (kulia) akizungumza na wanahabari, kushoto kwake ni Afisa Habari wa ACT Wazelendo, Khamis Abdallah. Kalapina akionesha msisitizo wa jambo wakati akiongea na wanahabari (hawapo…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani