Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ACT - Wazalendo yapata mgombea ubunge Arusha Mjini

Hatimaye Chama cha ACT-Wazalendo mkoani Arusha kimempata mgombea atakayepeperusha bendera yake katika uchaguzi mdogo wa ubunge katika Jimbo la Arusha Mjini.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

ACT-Wazalendo yapata mgombea wake Arusha

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimemteua mwanamama Navaroi Mollel kuwa mgombea ubunge wa chama hicho katika Jimbo la Arusha Mjini.

 

10 years ago

Mwananchi

Mgombea ubunge wa ACT Arusha Mjini amwombea kura Lowassa

Wakati waswahili wanasema adui yako mwombee njaa, msemo huo umekuwa tofauti kwa upande wa mgombea ubunge wa ACT - Wazalendo Jimbo la Arusha Mjini, Estomih Malla baada ya jana kupanda jukwaani na kumwombea kura za ndiyo mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa.

 

10 years ago

Mwananchi

Mgombea ubunge ACT - Wazalendo anusurika ajalini

Mgombea ubunge wa ACT-Wazalendo katika Jimbo la Manyovu mkoani Kigoma, Goodluck Kimali amenusurika kifo baada ya gari alilokuwa akisafiria kupinduka likiwa kwenye msafara wa Kiongozi wa chama hicho, Zitto Kabwe.

 

9 years ago

GPL

MGOMBEA UBUNGE KINONDONI ACT-WAZALENDO KWENDA MAHAKAMANI

Aliyekuwa mgombea Ubunge kupitia Chama Cha ACT Wazalendo jimbo la Kinondoni, Kalama Masoud 'Kalapina' (kulia) akizungumza na wanahabari, kushoto kwake ni Afisa Habari wa ACT Wazelendo, Khamis Abdallah. Kalapina akionesha msisitizo wa jambo wakati akiongea na wanahabari (hawapo…

 

10 years ago

Habarileo

Mgombea ACT-Wazalendo Arusha atamba

MGOMBEA Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia chama cha ACT Wazalendo, Estomih Mallah amesema ndiye mgombea mwenye sifa za kuwa mbunge jimboni humo kutokana na kutekeleza nusu ya ahadi alizotoa ndani ya miezi sita.

 

10 years ago

Dewji Blog

Mgombea urais kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, apiga kura Singida mjini

IMG_0113

Mgombea urais kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, Anna Mughwira,akihakiki jina lake kwenye ubao wa matangazo muda mfupi kabla hajapiga kura kwenye kituo cha shule ya msingi Kibaoni mjini Singida leo.

IMG_0128

Mgombea urais kupitia ACT- Wazalendo, Anna Mughwira, akipiga kura kuchagua Rais, Mbunge na Diwani katika kituo cha shule ya msingi Kibaoni mjini Singida. Pamoja na mambo mengine, Mughwira ameseme endapo wapiga kura wataamua kuchagua chama ambacho kimenadi sera zake kwenye kampeni, anauhakika...

 

10 years ago

Michuzi

MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KINONDONI WA CHAMA CHA ACT WAZALENDO, KARAMA MASUDI "KALAPINA" AZINDUA KAMPENI ZAKE

 Mgombea wa ubunge wa jimbo la Kinondoni kwa tiketi ya chama cha ACT Wazalendo Kalapina akikabidhi sera na ilani ya chama cha ACT Wazalendo kwa kiongozi wa chama hicho katika soko la Tandale. Mgombea wa ubunge wa jimbo la Kinondoni kwa tiketi ya Chama cha ACT Wazalendo Kalapina akizungumza na wakazi wa tandale wakati wa kufungua Kampeni za chama chicho jijini Dar es Salaam. Mgombea ubunge jimbo la kawe kupitia chama hicho, Janet Joel Akizungumza na wakazi wa tandale alipopata nafasi ya...

 

10 years ago

Vijimambo

MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA MBAGALA (ACT-WAZALENDO), AHAIDI MAKUBWA KATIKA JIMBO HILO


Mgombea  ubunge Jimbo la Mbagala kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Soud Rajabu


 Mgombea Ubunge Jimbo la Mbagala kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Soud Rajabu (katikati), akizungumza na wanachama wa chama hicho baada ya kumaliza kuhutubia katika mkutano wa kampeni uliofanyika Mbagala Charambe Mianzini Dar es Salaam jana.
Na Dotto Mwaibale
MGOMBEA ubunge Jimbo la Mbagala kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Soud Rajabu ameahidi endapo atachaguliwa nafasi hiyo atahakikisha anapunguza gharama za  huduma...

 

10 years ago

Michuzi

MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA MBAGALA (ACT-WAZALENDO), AAHIDI MAKUBWA KATIKA JIMBO HILO


Mgombea  ubunge Jimbo la Mbagala kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Soud Rajabu Mgombea Ubunge Jimbo la Mbagala kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Soud Rajabu (katikati), akizungumza na wanachama wa chama hicho baada ya kumaliza kuhutubia katika mkutano wa kampeni uliofanyika Mbagala Charambe Mianzini Dar es Salaam jana.

Na Dotto MwaibaleMGOMBEA ubunge Jimbo la Mbagala kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Soud Rajabu ameahidi endapo atachaguliwa nafasi hiyo atahakikisha anapunguza gharama za  huduma...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani