Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mgombea ubunge wa ACT Arusha Mjini amwombea kura Lowassa

Wakati waswahili wanasema adui yako mwombee njaa, msemo huo umekuwa tofauti kwa upande wa mgombea ubunge wa ACT - Wazalendo Jimbo la Arusha Mjini, Estomih Malla baada ya jana kupanda jukwaani na kumwombea kura za ndiyo mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

ACT - Wazalendo yapata mgombea ubunge Arusha Mjini

Hatimaye Chama cha ACT-Wazalendo mkoani Arusha kimempata mgombea atakayepeperusha bendera yake katika uchaguzi mdogo wa ubunge katika Jimbo la Arusha Mjini.

 

9 years ago

Dewji Blog

Mgombea urais kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, apiga kura Singida mjini

IMG_0113

Mgombea urais kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, Anna Mughwira,akihakiki jina lake kwenye ubao wa matangazo muda mfupi kabla hajapiga kura kwenye kituo cha shule ya msingi Kibaoni mjini Singida leo.

IMG_0128

Mgombea urais kupitia ACT- Wazalendo, Anna Mughwira, akipiga kura kuchagua Rais, Mbunge na Diwani katika kituo cha shule ya msingi Kibaoni mjini Singida. Pamoja na mambo mengine, Mughwira ameseme endapo wapiga kura wataamua kuchagua chama ambacho kimenadi sera zake kwenye kampeni, anauhakika...

 

9 years ago

Dewji Blog

Ndesamburo amuombea kura mgombea Ubunge Jimbo la Moshi mjini Jafary Michael

Mbunge wa jimbo la Moshi mjini aliyemaliza muda wake, Philemoni Ndesamburo,akimnadi mgombea Ubunge katika jimbo hilo Jafary Michael (Chadema) katika mkutano wa kampeni uliofanyika jana katika kata ya Ngangamfumuni. Baadhi ya wananchi wakiwa kando ya barabara wakifuatilia mkutano huo. Mgombea Ubunge jimbo la Moshi mjini kupitia Chadema, Jafary Michael akiomba kura wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika kata ya Ngangamfumuni mjini Moshi. Mwenyekiti wa Chadema na mbunge anayemaliza...

 

10 years ago

Dewji Blog

Dosari yajitokeza kura za maoni ubunge jimbo la Iringa mjini, mgombea ataka mchakato usitishwe

IMG_2160

Frank Kibiki ambaye pia ni Mwanahabari wa Magazeti ya Uhuru na Mzalendo wa mkoani Iringa akionyesha walivyokosea jina lake.

IMG_2158

Frank Kibiki ambaye pia ni Mwanahabari wa Magazeti ya Uhuru na Mzalendo wa mkoani Iringa.

Na Mwandishi wetu, Iringa

WAKATI kura za maoni za kutafuta wagombea ubunge katika majimbo yote nchini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) zikipigwa leo, mmoja kati ya wagombea 13 wanaotafuta nafasi hiyo Jimbo la Iringa Mjini, Frank Kibiki anataka zoezi hilo jimboni humo...

 

9 years ago

Vijimambo

UPDATES: MGOMBEA UBUNGE WA CHADEMA KATIKA JIMBO LA SHINYANGA MJINI INASEMEKANA AMETEKWA NA KUNYANG’ANYWA FOMU YA UBUNGE

Kwa taarifa za mwanzo zunasena kuwa mgombea ubunge jimbo la Shinyanga mjini na m/kiti BAVICHA Taifa, ndugu Patrobas Katambi inasemekana ametekwa muda mfupi uliopita na watu wasiojulikana na kunyang'anywa fomu zake za ubunge.
Chanzo chetu kilijaribu kuzungumza na mwenezi wa jimbo hilo ili kuthibitisha tukio hilo lakini pia simu ya mgombea ilikuwa haipatikani.
Chanzo chetu kimeongea na Mbunge Rachel Mashishanga sasa hivi na kuthibitisha tukio hilo.

Endelea kutufuatilia kwa taarifa zaidi

Chanzo:...

 

9 years ago

Mwananchi

Mgombea ubunge ACT - Wazalendo anusurika ajalini

Mgombea ubunge wa ACT-Wazalendo katika Jimbo la Manyovu mkoani Kigoma, Goodluck Kimali amenusurika kifo baada ya gari alilokuwa akisafiria kupinduka likiwa kwenye msafara wa Kiongozi wa chama hicho, Zitto Kabwe.

 

9 years ago

Mwananchi

Polisi yathibitisha mgombea ubunge wa ACT kutekwa

Jeshi la Polisi mkoani Simiyu limethibitisha kutekwa kwa mgombea ubunge Jimbo la Bariadi, kupitia chama cha ACT Wazalendo Masunga Ng’hozo na watu wasiojulikana.

 

9 years ago

GPL

MGOMBEA UBUNGE KINONDONI ACT-WAZALENDO KWENDA MAHAKAMANI

Aliyekuwa mgombea Ubunge kupitia Chama Cha ACT Wazalendo jimbo la Kinondoni, Kalama Masoud 'Kalapina' (kulia) akizungumza na wanahabari, kushoto kwake ni Afisa Habari wa ACT Wazelendo, Khamis Abdallah. Kalapina akionesha msisitizo wa jambo wakati akiongea na wanahabari (hawapo…

 

9 years ago

Habarileo

Mgombea ACT-Wazalendo Arusha atamba

MGOMBEA Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia chama cha ACT Wazalendo, Estomih Mallah amesema ndiye mgombea mwenye sifa za kuwa mbunge jimboni humo kutokana na kutekeleza nusu ya ahadi alizotoa ndani ya miezi sita.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani