Ndesamburo amuombea kura mgombea Ubunge Jimbo la Moshi mjini Jafary Michael
Mbunge wa jimbo la Moshi mjini aliyemaliza muda wake, Philemoni Ndesamburo,akimnadi mgombea Ubunge katika jimbo hilo Jafary Michael (Chadema) katika mkutano wa kampeni uliofanyika jana katika kata ya Ngangamfumuni. Baadhi ya wananchi wakiwa kando ya barabara wakifuatilia mkutano huo. Mgombea Ubunge jimbo la Moshi mjini kupitia Chadema, Jafary Michael akiomba kura wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika kata ya Ngangamfumuni mjini Moshi. Mwenyekiti wa Chadema na mbunge anayemaliza...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziNDESAMBURO AMUOMBEA KURA MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA MOSHI
10 years ago
MichuziMBUNGE NDESAMBURO NA MEYA WA MOSHI JAFARY MICHAEL WAENDELEA NA MIKUTANO KATIKA JIMBO LA MOSHI MJINI.
10 years ago
Dewji Blog16 Apr
Ndesamburo atangaza kutogombea jimbo la Moshi Mjini, amuachia mikoba Meya Jafary Michael
10 years ago
MichuziCHADEMA MOSHI MJINI WAMPITISHA JAFARY MICHAEL KUWANIA UBUNGE WA JIMBO HILO
Mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Kilimanjaro na Mbunge anayemaliza muda wake,Philemoni Ndesamburoakizungumza wakati wa mkutano huo.
Jafary Michael aliye chaguliwa na Chadema kupeperusha Bendera ya chama hicho katika uchaguzi mkuu wa mwezi oktoba katika...
10 years ago
MichuziMBOWE,NDESAMBURO,JAFARY MICHAEL WATIKISA MJI WA MOSHI
10 years ago
VijimamboMBOWE,NDESAMBURO NA JAFARY MICHAEL WATIKISA MJI WA MOSHI
10 years ago
Dewji Blog21 Jun
Mbowe, Ndesamburo na Jafary Michael watikisa mji wa Moshi
Mbunge wa Jimbo la Moshi mjini Philemon Ndesamburo akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Railway.
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Moshi, Jafary Michael akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Railway mjini Moshi. Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe akiwa na Mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Kilimanjaro na Mbunge wa jimbo la Moshi mjini, Philemon Ndesamburo walipokutana wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya...
9 years ago
VijimamboNDESAMBURO ASEMA ALIYEKUWA MEYA WA MANISPAA YA MOSHI ,JAFARY MICHAEL NDIYE ANAWEZA KUVAA VIATU VYAKE
Makamu Mwenyekiti wa Chadema taifa, Zanzibar Said Issa Mohamed akiwahutubia wakazi wa mji wa Moshi waliohudhuria katka mkutano huo.Baadhi ya wakazi wa mji wa mOSHI.Mgombea Ubunge jimbo la Moshi mjini,Jafary Michael akiwa amekaa jirani na...
10 years ago
MichuziMSTAHIKI MEYA WA MANISPAA YA MOSHI ,JAFARY MICHAEL ATOA MSAADA WA KOMPYUTA KWA SHULE YA MSINGI PASUA MJINI MOSHI
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI