SIRI NDOA YA THEA, MIKE KUYUMBA YAVUJA
![](http://api.ning.com:80/files/uX0ODFdMLadsmXnIZbFGHLOVoQ3sOVOm0YVHqrJtmMHwkCPt5k0d6YmCvk*0CUNngQEakAoi5DLTlpudEhgrrjuz6VruG7QP/Thea.jpg?width=650)
Na Waandishi Wetu IMEFICHUKA! Ile ndoa ya wasanii wa filamu za Kibongo, Salome Urassa ‘Thea’ na Michael Sangu ‘Mike’ ambayo imekuwa ikiyumba mara kwa mara chanzo kimedaiwa kilianzia kwenye ufungaji wake.Sosi wetu makini aliyeomba hifadhi ya jina lake alitutonya kuwa, ndoa ya mastaa hao ni ya mseto kwani hakuna aliyekuwa tayari kufuata imani ya mwenzake jambo lililowashangaza wengi. Salome Urassa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Vf77AmMaeXvQuJCgI6x4ysC9r1-pVDOeECZUZsWDvktJlFC0oJ1INvjRQQRCg8ewCdPfPhF2pSbp2EiwLYYJWz-8NLte6tVv/NDOA.jpg?width=650)
NDOA YA THEA, MIKE YASUKWA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ZAWmPnMuulk2aFLrePb--n1S3hhiOF8xvhcAFudtp0bqMGVjFsj8-Gbs1dif060*nqtZE8r8CUq7X-WnnW*bsRKD17s2*3f-/2.jpg?width=650)
NDOA YA THEA, MIKE CHALI TENA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/UZ8UQ2FXhhMVOQmyYHgHkCdhGwRJ*fB3up4khdGclLX4BjMCzDbyQLFSIQERIAm6vq6wpzE9ZCT7g7OyUF28eDHnEHQkQ6IA/thea.jpg?width=650)
THEA, MIKE WARUDIANA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/*whl3J3XpWS3dUVs-VHOhgyPH2Y-0pp-gfZ872zMmu*fJeQoPklvFLagfQHZOlcyWJ*pSJzfqBfHzpqZ9JVM64-O0H9QwaLQ/THEA.jpg?width=650)
MIKE AMBADILISHA JINA THEA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LMZbfjT5Z7PlHTENPveBVoDjBd5GkLwg18ZXaZQYFRBVDS70crETYYwKUrnnA48TgZxB6EL5E01ttuWDx45REkQALVBChjEA/thea.jpg?width=650)
THEA, MIKE SASA MAHABA NIUE!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/zLSzH-96bg-3NV3CW2dbU-Jo2H0lw*HYnOvgVANU2y46FrqMIfEFoFxMI7YO-CwGhY6td-3d4W2sOGC*tosLVL0HtcbH9VZJ/thea.jpg)
THEA: MIKE ALIONA NDANI BAADA YA KUNILIPIA MAHARI
10 years ago
Bongo Movies10 Jan
Mzee wa swaga:JB,Cassie Kabwita,Wastara,Wellu Sengo,Thea na Mike Ndani
Tegemea mzigo huu mpya unaokwenda kwajina la “Mzee wa Swage”kosa la defence...ni goli, Iliyotengenezwa na Shikamoo Mzee na Danija Jerusalem Film.
Wakali kama, JB,Cassie Kabwita,Wastara,Wellu Sengo,Thea na Mike wameshiriki kwenye filamu hii ambayo inatarajiwa kutoka hivi karibuni na itasambazwa na kampuni ya Stesps Entertainment.
Hii sio yakukosa madau!!!
10 years ago
Habarileo15 Jun
‘Kuyumba kwa ndoa kunavuruga maadili’
MIGOGORO ya mara kwa mara na kuyumba kwa ndoa nyingi, kumetajwa kama sababu kubwa inayochangia kuporomoka kwa maadili nchini, hali inayochangia kuongezeka kwa matukio yanayomchukiza Mungu.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/*9fn6zx1i0LH33jqkV7U-Xg5p9s5EWfgv4kWIsMhROpimxtn5e6D7*wy52kLFA-TCs*8R0XYavhDZZ1pHvvx7JF9s00zjgnD/dimond.jpg?width=650)
SIRI YA DIAMOND KUHAMIA KWAKE YAVUJA