THEA, MIKE WARUDIANA

Stori: Gladness Mallya na Hamida Hassan WASANII wawili nyota wa filamu Bongo, Ndumbagwe Misayo ‘Thea’ na Michael Sangu ambao awali walitengana kwa sababu ambazo hazikuwekwa wazi, hatimaye wamerudiana. Thea na Mike katika pozi. Kikizungumza na gazeti hili, chanzo makini kutoka ndani ya familia hiyo kilisema wanandoa hao wamerudiana baada ya kupatanishwa na viongozi wa dini na familia zao, wakitelekeza viapo vyao...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
NDOA YA THEA, MIKE YASUKWA
11 years ago
GPL
MIKE AMBADILISHA JINA THEA
11 years ago
GPL
THEA, MIKE SASA MAHABA NIUE!
10 years ago
GPL
NDOA YA THEA, MIKE CHALI TENA
10 years ago
GPL
SIRI NDOA YA THEA, MIKE KUYUMBA YAVUJA
11 years ago
GPL
THEA: MIKE ALIONA NDANI BAADA YA KUNILIPIA MAHARI
10 years ago
Bongo Movies10 Jan
Mzee wa swaga:JB,Cassie Kabwita,Wastara,Wellu Sengo,Thea na Mike Ndani
Tegemea mzigo huu mpya unaokwenda kwajina la “Mzee wa Swage”kosa la defence...ni goli, Iliyotengenezwa na Shikamoo Mzee na Danija Jerusalem Film.
Wakali kama, JB,Cassie Kabwita,Wastara,Wellu Sengo,Thea na Mike wameshiriki kwenye filamu hii ambayo inatarajiwa kutoka hivi karibuni na itasambazwa na kampuni ya Stesps Entertainment.
Hii sio yakukosa madau!!!
9 years ago
Mtanzania17 Nov
Rick Ross, Lira warudiana
NEW YORK, MAREKANI
MKALI wa hip hop nchini Marekani, Rick Ross na mpenzi wake, Lira Galore, wamerudiana baada ya kuachana kwa muda mrefu.
Mrembo huyo mwishoni mwa wiki iliyopita aliweka picha kwenye akaunti yake ya Instagram, ambayo inaonesha wakiwa pamoja na Rick Ross.
“Kila kitu kipo sawa,” aliandika mrembo huyo kwenye akaunti hiyo. Hata hivyo, mrembo huyo alikanusha uvumi wa kwamba alikuwa anatoka na mpenzi wa zamani wa Amber Rose, Wizkhalifa.
“Amber Rose ni rafiki yangu wa karibu,...
10 years ago
Mtanzania01 Apr
Wiz Khalifa, Amber Rose warudiana
BADI MCHOMOLO NA MTANDAO
MWANAMITINDO maarufu nchini Marekani, Amber Rose amejikuta akirudisha moyo kwa baba mtoto wake, Wiz Khalifa, baada ya kuusilikiza wimbo wa msanii huyo uitwao ‘See You Again’.
Taarifa za kurudiana kwao zinaeleza kwamba Amber Rose baada ya kuusikia wimbo huo ukipigwa kwenye filamu ya Furious 7, alionekana mnyonge akakumbuka maisha walipokuwa wawili baada ya hapo alimpigia simu Wiz Khalifa akamuomba warudiane.
“Sisi ni wazazi japokuwa kulikuwa na mgogoro, lakini...