THEA: MIKE ALIONA NDANI BAADA YA KUNILIPIA MAHARI
![](http://api.ning.com:80/files/zLSzH-96bg-3NV3CW2dbU-Jo2H0lw*HYnOvgVANU2y46FrqMIfEFoFxMI7YO-CwGhY6td-3d4W2sOGC*tosLVL0HtcbH9VZJ/thea.jpg)
TUNAENDELEA na makala haya tuliyoyaanza wiki iliyopita, mwigizaji Salome Urassa ‘Thea’ amefunguka vitu vingi vinavyohusu maisha yake. ENDELEA… Salome Urassa ‘Thea’ Mwandishi: Ulijisikiaje siku ambayo Mike alienda kujitambulisha kwenu rasmi? Thea: Kwanza sikuwa naamini kama ni kweli bali niliamini siku hiyo ambayo Mike alipeleka mahari nyumbani, yaani hata hatukuwa tumekuwa na uhusiano wa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies10 Jan
Mzee wa swaga:JB,Cassie Kabwita,Wastara,Wellu Sengo,Thea na Mike Ndani
Tegemea mzigo huu mpya unaokwenda kwajina la “Mzee wa Swage”kosa la defence...ni goli, Iliyotengenezwa na Shikamoo Mzee na Danija Jerusalem Film.
Wakali kama, JB,Cassie Kabwita,Wastara,Wellu Sengo,Thea na Mike wameshiriki kwenye filamu hii ambayo inatarajiwa kutoka hivi karibuni na itasambazwa na kampuni ya Stesps Entertainment.
Hii sio yakukosa madau!!!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/UZ8UQ2FXhhMVOQmyYHgHkCdhGwRJ*fB3up4khdGclLX4BjMCzDbyQLFSIQERIAm6vq6wpzE9ZCT7g7OyUF28eDHnEHQkQ6IA/thea.jpg?width=650)
THEA, MIKE WARUDIANA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Vf77AmMaeXvQuJCgI6x4ysC9r1-pVDOeECZUZsWDvktJlFC0oJ1INvjRQQRCg8ewCdPfPhF2pSbp2EiwLYYJWz-8NLte6tVv/NDOA.jpg?width=650)
NDOA YA THEA, MIKE YASUKWA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/*whl3J3XpWS3dUVs-VHOhgyPH2Y-0pp-gfZ872zMmu*fJeQoPklvFLagfQHZOlcyWJ*pSJzfqBfHzpqZ9JVM64-O0H9QwaLQ/THEA.jpg?width=650)
MIKE AMBADILISHA JINA THEA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ZAWmPnMuulk2aFLrePb--n1S3hhiOF8xvhcAFudtp0bqMGVjFsj8-Gbs1dif060*nqtZE8r8CUq7X-WnnW*bsRKD17s2*3f-/2.jpg?width=650)
NDOA YA THEA, MIKE CHALI TENA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LMZbfjT5Z7PlHTENPveBVoDjBd5GkLwg18ZXaZQYFRBVDS70crETYYwKUrnnA48TgZxB6EL5E01ttuWDx45REkQALVBChjEA/thea.jpg?width=650)
THEA, MIKE SASA MAHABA NIUE!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/uX0ODFdMLadsmXnIZbFGHLOVoQ3sOVOm0YVHqrJtmMHwkCPt5k0d6YmCvk*0CUNngQEakAoi5DLTlpudEhgrrjuz6VruG7QP/Thea.jpg?width=650)
SIRI NDOA YA THEA, MIKE KUYUMBA YAVUJA
10 years ago
Bongo Movies26 Jan
JB:Baada kufanya kazi na Thea, Wastara na Wellu, pendekeza nani tufanyenae kazi tena?..soma vigezo
Muigizaji na muongozaji wa filamu, Jacob Stephen “JB”aliweka bandiko hili mtandaoni, tumeona sio mbaya kulukuletea hapa na wewe uchangie. Nakuu;
“Wakati naanda mzee wa swaga niliomba mapendekezo mkachagua wengi hatimaye tukawapata Thea,Wastara na Wellu nakubali mapendekezo yenu sana.
Lakini sera ya kampuni ni kujaribu kuwapa nafasi wasanii ambao wana majina lakini sio makubwa ila wana vipaji ili tutengeneze mastaa wengi.
Swali safari hii tumpe nani nafasi ambae unaona anakipaji lakini...
11 years ago
Habarileo30 Jun
Sakata la mahari msibani
BAADA ya vuta nikuvute iliyosababisha uhasama mkubwa baina ya familia mbili mjini hapa wakigombea kuuzika mwili wa mtoto mwenye umri wa mwaka mmoja na nusu, hatimaye familia ya baba mzazi wa marehemu imekubali ‘yaishe “ na kuruhusu familia ya mama mzazi kumzika mtoto huyo.