NDOA YA THEA, MIKE YASUKWA
Stori: Hamida Hassan NDOA ya mastaa wa filamu Bongo, Mike Sangu ‘Mike’ na Ndumbangwe Misayo ‘Thea’ iliripotiwa kuvunjika siku chache zilizopita lakini taarifa zilizotufikia zinadai kuwa, wawili hao muda si mrefu watakuwa mwili mmoja tena. Mike Sangu ‘Mike’ na Ndumbangwe Misayo ‘Thea’. Chanzo chetu cha kuaminika kilichoomba hifadhi ya jina lake kilidai kuwa, uwezekano wa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLNDOA YA THEA, MIKE CHALI TENA
10 years ago
GPLSIRI NDOA YA THEA, MIKE KUYUMBA YAVUJA
11 years ago
GPLTHEA, MIKE WARUDIANA
11 years ago
GPLMIKE AMBADILISHA JINA THEA
11 years ago
GPLTHEA, MIKE SASA MAHABA NIUE!
10 years ago
GPLTHEA: MIKE ALIONA NDANI BAADA YA KUNILIPIA MAHARI
10 years ago
Bongo Movies10 Jan
Mzee wa swaga:JB,Cassie Kabwita,Wastara,Wellu Sengo,Thea na Mike Ndani
Tegemea mzigo huu mpya unaokwenda kwajina la “Mzee wa Swage”kosa la defence...ni goli, Iliyotengenezwa na Shikamoo Mzee na Danija Jerusalem Film.
Wakali kama, JB,Cassie Kabwita,Wastara,Wellu Sengo,Thea na Mike wameshiriki kwenye filamu hii ambayo inatarajiwa kutoka hivi karibuni na itasambazwa na kampuni ya Stesps Entertainment.
Hii sio yakukosa madau!!!
10 years ago
GPLTHEA: NDOA SIYO PETE
10 years ago
GPLTHEA AFURAHIA MAISHA NJE YA NDOA