Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


THEA: NDOA SIYO PETE

Stori: Imelda Mtema
Msanii wa muda mrefu katika filamu Bongo, Salome Urassa maarufu kama Thea,  amejinasibu kuwa kutovaa kwake pete ya ndoa haimaanishi chochote kwa vile kitu hicho siyo muhimu. Msanii wa muda mrefu katika filamu Bongo, Salome Urassa maarufu kama Thea wakati wa kufunga ndoa. Akizungumza na paparazi wetu juzikati, Thea alisema awali alikuwa akivaa pete, lakini bahati mbaya ilipotea na kupotea huko...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

NDOA YA THEA, MIKE YASUKWA

Stori:  Hamida Hassan
NDOA ya mastaa wa filamu Bongo, Mike Sangu ‘Mike’ na Ndumbangwe Misayo ‘Thea’ iliripotiwa kuvunjika siku chache zilizopita lakini taarifa zilizotufikia zinadai kuwa, wawili hao muda si mrefu watakuwa mwili mmoja tena. Mike Sangu ‘Mike’ na Ndumbangwe Misayo ‘Thea’. Chanzo chetu cha kuaminika kilichoomba hifadhi ya jina lake kilidai kuwa, uwezekano wa...

 

10 years ago

GPL

THEA AFURAHIA MAISHA NJE YA NDOA

Brithon Masalu
Kutoka moyoni! Staa wa sinema za Kibongo, Salome Urassa ‘Thea’ amefunguka kuwa anafurahia maisha anayoishi bila ndoa kwani anafanya mambo kwa uhuru na hana msongo tofauti alivyokuwa akiishi kwenye ndoa na aliyekuwa mumewe, Michael Sangu ‘Mike’. Staa wa sinema za Kibongo, Salome Urassa ‘Thea’. Akizungumza na Ijumaa Wikienda kwa njia ya simu wikiendi iliyopita, Thea ambaye...

 

10 years ago

GPL

NDOA YA THEA, MIKE CHALI TENA

Gladness Mallya na Hamida Hassan
Ndoa ya mastaa wa Bongo Movies, Michael Sangu ‘Mike’ na Salome Urassa ‘Thea’ inadaiwa kuanguka chali kwa mara nyingine baada ya mwanadada huyo kurudi kwa wazazi wake kwa muda mrefu sasa.Chanzo makini kilidai kwamba, wawili hao walitengana miezi mitatu iliyopita na Thea kurudi nyumbani kwa mama yake maeneo ya Kinondoni jijini Dar kutokana na kile kilichodaiwa kuwa ni...

 

10 years ago

GPL

SIRI NDOA YA THEA, MIKE KUYUMBA YAVUJA

Na Waandishi Wetu
IMEFICHUKA! Ile ndoa ya wasanii wa filamu za Kibongo, Salome Urassa ‘Thea’ na Michael Sangu ‘Mike’ ambayo imekuwa ikiyumba mara kwa mara chanzo kimedaiwa kilianzia kwenye ufungaji wake.Sosi wetu makini aliyeomba hifadhi ya jina lake alitutonya kuwa, ndoa ya mastaa hao ni ya mseto kwani hakuna aliyekuwa tayari kufuata imani ya mwenzake jambo lililowashangaza wengi. Salome Urassa...

 

10 years ago

Bongo Movies

TETESI: Ndoa ya Thea ya Anguka Chali Tena

Ndoa ya mastaa wa Bongo Movies, Michael Sangu ‘Mike’ na Salome Urassa ‘Thea’ inadaiwa kuanguka chali kwa mara nyingine baada ya mwanadada huyo kurudi kwa wazazi wake kwa muda mrefu sasa.

Chanzo makini kilidai kwamba, wawili hao walitengana miezi mitatu iliyopita na Thea kurudi nyumbani kwa mama yake maeneo ya Kinondoni jijini Dar kutokana na kile kilichodaiwa kuwa ni migogoro ya mara kwa mara.

Baada ya kuzinyaka habari hizo, waandishi wa GPL waliwaendea hewani kwa nyakati tofauti, Mike na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Pete ya ndoa na umuhimu wake

KARIBU katika Safu ya Urafiki na Mahusiano. Ni matumaini yangu umzima wa afya na nawashukuru kwa maoni yenu. Jumamosi ya leo, tutazungumzia suala zima la kuvaa pete, lakini si kwa...

 

10 years ago

GPL

HAPPY AUZA PETE YA NDOA, PESA ALEWEA

Stori: Imelda mtema
Msanii wa filamu Bongo, Happy Nyatawe ametoa kali ya kufungia mwaka kwa kusema kuwa hivi karibuni aliamua kuuza pete yake ya ndoa na pesa aliyopata alienda kulewea pombe. Msanii wa filamu Bongo, Happy Nyatawe. Akipiga stori na Ijumaa juzikati, Happy alisema alifikia uamuzi huo baada ya kuona pete hiyo inabana kidole chake na mumewe amegoma kurejea kutoka nchini Brazil alikoenda kibiashara. “Mimi...

 

11 years ago

GPL

MAI AVISHWA PETE YA UCHUMBA, NDOA UPYA

Stori: Hamida Hassan
MTANGAZAJI ambaye kwa sasa anafanya dili za ujasiriamali, Maimartha Jese ‘Mai’hivi karibuni alivishwa upya pete ya uchumba na ya ndoa baada ya zile za wali kupotea katika mazingira ya kutatanisha. Mtangazaji ambaye kwa sasa anafanya dili za ujasiriamali, Maimartha Jese ‘Mai’ Aliyemfanyia tukio hilo ni mumewe aitwaye Shaa na baada ya vidole vyake kupendeza tena alitupia picha...

 

11 years ago

Bongo5

Kanye West kumtengenezea mwanae North pete ya ndoa, sasa

Katika kuonesha ni kiasi gani anampenda mwanae, North, Kanye West amepanga kumtengenezea pete ya thamani ya kumvisha kwenye kidole cha ndoa, chanda. Kwa mujibu wa mtandao wa HollywoodLife, Kanye anataka kuwa mtu wa kwanza kumvisha pete hiyo kidoleni kwake. Kanye atamvisha mwanae pete hiyo ya almasi wakati huu akiwa na mwaka mmoja tu. “Yupo kwenye […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani