TETESI: Ndoa ya Thea ya Anguka Chali Tena
Ndoa ya mastaa wa Bongo Movies, Michael Sangu ‘Mike’ na Salome Urassa ‘Thea’ inadaiwa kuanguka chali kwa mara nyingine baada ya mwanadada huyo kurudi kwa wazazi wake kwa muda mrefu sasa.
Chanzo makini kilidai kwamba, wawili hao walitengana miezi mitatu iliyopita na Thea kurudi nyumbani kwa mama yake maeneo ya Kinondoni jijini Dar kutokana na kile kilichodaiwa kuwa ni migogoro ya mara kwa mara.
Baada ya kuzinyaka habari hizo, waandishi wa GPL waliwaendea hewani kwa nyakati tofauti, Mike na...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
NDOA YA THEA, MIKE CHALI TENA
10 years ago
Bongo514 Sep
Picha: Beyonce na Jay Z mapenzi tele licha ya tetesi kuwa ndoa yao ipo kwenye mawe tena
11 years ago
GPL
NDOA YA FLORA MBASHA CHALI
11 years ago
GPL
THEA: NDOA SIYO PETE
11 years ago
GPL
NDOA YA THEA, MIKE YASUKWA
10 years ago
GPL
THEA AFURAHIA MAISHA NJE YA NDOA
10 years ago
GPL
SIRI NDOA YA THEA, MIKE KUYUMBA YAVUJA
10 years ago
Bongo Movies26 Jan
JB:Baada kufanya kazi na Thea, Wastara na Wellu, pendekeza nani tufanyenae kazi tena?..soma vigezo
Muigizaji na muongozaji wa filamu, Jacob Stephen “JB”aliweka bandiko hili mtandaoni, tumeona sio mbaya kulukuletea hapa na wewe uchangie. Nakuu;
“Wakati naanda mzee wa swaga niliomba mapendekezo mkachagua wengi hatimaye tukawapata Thea,Wastara na Wellu nakubali mapendekezo yenu sana.
Lakini sera ya kampuni ni kujaribu kuwapa nafasi wasanii ambao wana majina lakini sio makubwa ila wana vipaji ili tutengeneze mastaa wengi.
Swali safari hii tumpe nani nafasi ambae unaona anakipaji lakini...
10 years ago
Bongo Movies28 Apr
Tetesi za Ndoa ya Wema Sepetu Zawa Gumzo Mjini!
Ubuyu Mpya unaoenea kwa siri kwenye mitandao ya kijamii kwa sasa, ni kuhusu ndoa ya super star wema sepetu inayotarajiwa kufungwa ivi karibuni.
Chanzo cha ubuyu kinaeleza kuwa hatua zote muhimu zimeshachukuliwa, kinachosubiriwa tu ni bwaba harusi huyo mtarajiwa kuchukua jiko lake bila kipingamizi chochote. Mpaka sasa ivi bado mume huyo mtarajiwa wa staa huyo hajawekwa wazi kwa kuogopa watu wabaya kumfanyia fitna.
Mpaka sasa management yake inafanya siri kubwa kuhusu tukio hilo muhimu...