THEA AFURAHIA MAISHA NJE YA NDOA
Brithon Masalu Kutoka moyoni! Staa wa sinema za Kibongo, Salome Urassa ‘Thea’ amefunguka kuwa anafurahia maisha anayoishi bila ndoa kwani anafanya mambo kwa uhuru na hana msongo tofauti alivyokuwa akiishi kwenye ndoa na aliyekuwa mumewe, Michael Sangu ‘Mike’. Staa wa sinema za Kibongo, Salome Urassa ‘Thea’. Akizungumza na Ijumaa Wikienda kwa njia ya simu wikiendi iliyopita, Thea ambaye...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Global Publishers23 Dec
Jodie afurahia maisha ya ndoa na mumewe
Joddie akiwa na mpenzi wake David Nnaji .
WANANDOA Joddie ambaye ni mwanamuziki na David Nnaji mwigizaji, wote wakiwa raia wa Nigeria, hivi sasa ‘wametoweka’ katika macho ya vyombo vya habari ambapo wameelekeza nadhari yao katika maisha yao binafsi nyumbani kwao.
Hivi sasa Jodie ambaye ni mjamzito yuko bize akihangaikia masuala ya familia yake huku wakisubiri kuwasili kwa kichanga chao cha kwanza mwaka kesho (2016).
Wawili hao walionekana majuzi katika vyombo vya habari baada ya kutoa picha...
11 years ago
GPLNDOA YA THEA, MIKE YASUKWA
10 years ago
GPLTHEA: NDOA SIYO PETE
10 years ago
GPLNDOA YA THEA, MIKE CHALI TENA
10 years ago
GPLSIRI NDOA YA THEA, MIKE KUYUMBA YAVUJA
10 years ago
Bongo Movies24 Apr
TETESI: Ndoa ya Thea ya Anguka Chali Tena
Ndoa ya mastaa wa Bongo Movies, Michael Sangu ‘Mike’ na Salome Urassa ‘Thea’ inadaiwa kuanguka chali kwa mara nyingine baada ya mwanadada huyo kurudi kwa wazazi wake kwa muda mrefu sasa.
Chanzo makini kilidai kwamba, wawili hao walitengana miezi mitatu iliyopita na Thea kurudi nyumbani kwa mama yake maeneo ya Kinondoni jijini Dar kutokana na kile kilichodaiwa kuwa ni migogoro ya mara kwa mara.
Baada ya kuzinyaka habari hizo, waandishi wa GPL waliwaendea hewani kwa nyakati tofauti, Mike na...
9 years ago
Mtanzania08 Sep
Jose Chameleone afurahia maisha Marekani
BAADA ya wasanii wengi kukosa muda wa kuwa karibu na familia zao, msanii tajiri Afrika Mashariki, Jose Chameleone, ameonyesha
mfano bora kwa kusafiri na familia yake ya watoto watatu na mke, Daniella katika ziara ya onyesho lake jijini New York, nchini Marekani.
Mkali huyo wa wimbo wa ‘Tubonge’, alitumia fursa hiyo kuzunguka mitaa mbalimbali ya jiji hilo huku akifurahi na kupiga picha na familia yake kisha kuzituma katika mitandao yake ya kijamii.
Haya wasanii wetu wakati ni huu wa...
9 years ago
Michuzi10 years ago
Dewji Blog09 Dec
Asia Idarous afurahia tuzo ya maisha ya SFW 2014
“Tuzo ya Life Time Achievement Swahili Fashion Week 2014, ni furaha ya maisha yangu”
Na Andrew Chale
USIKU wa Desemba 7, 2014, imekuwa ya furaha na ya kipekee kwa Mbunifu mkongwe mitindo na mavazi ndani na nje ya Tanzania, Asia Idarous Khamsin ama ‘Mama wa Mitindo Tanzania’, baada ya kuzawadiwa tuzo maalumu ya ‘Life Time Achievement Swahili Fashion Week 2014, kutoka Swahili Fashion Week, amesema tuzo hiyo ni furaha ya Maisha yake na ataendelea kutumia wasaha wa kuinua tasnia ya...