Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Asia Idarous afurahia tuzo ya maisha ya SFW 2014

IMG_4181

 

“Tuzo ya Life Time Achievement Swahili Fashion Week 2014, ni furaha ya maisha yangu”

Na Andrew Chale

USIKU wa Desemba 7, 2014, imekuwa ya furaha na ya kipekee kwa Mbunifu  mkongwe mitindo na mavazi ndani na nje ya Tanzania, Asia Idarous Khamsin ama ‘Mama wa Mitindo Tanzania’, baada ya kuzawadiwa tuzo maalumu  ya  ‘Life Time Achievement Swahili Fashion Week 2014, kutoka Swahili  Fashion Week, amesema tuzo hiyo ni furaha ya Maisha yake na ataendelea kutumia wasaha wa kuinua tasnia ya...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

mamaa wa mitindo asia idarous apata tuzo ya Zakhia Meghji Life Time Achievement 2014

Mwanamitindo Mkongwe hapa nchini na nje ya Mipaka ya Tanzania,Asia Idarous a.k.a Mamaa wa Mitindo (pichani) akiwa na tuzo yake ya "Zakhia Meghji Life Time Achievement 2014" alioshinda jana katika Jukwaa kubwa na maonyesho ya Mitindo la Swahili Fashion Week Tanzania.Asia Idarous ambaye ni Mwanamitindo wa miaka mingi aliweza kunyakua tuzo hiyo baada ya kuwepo kwenye tasnia hiyo ya mitindo kwa zaidi ya miaka 35 na amefanya maonyesho ya mitindo mara 150 ndani ya Tanzania na nje ya mipaka ya...

 

10 years ago

Michuzi

MNUSO WA KUMPONGEZA MAMA WA MITINDO ASIA IDAROUS KHAMSIN KWA KUNYAKUA TUZO YA LIFETIME ACHIEVEMENT AWARD 2014

Mama wa Mitindo Asya Idarous wa Khamsin akipongezwa na wadau kwa kupokea tuzo  ya LIFETIME ACHIEVEMENT AWARD katika kiota cha MOG Bar (Zamani Nyumbani Lounge) jijini Dar es salaam  Mama wa Mitindo Asya Idarous wa Khamsin akipokea tuzo yake ya LIFETIME ACHIEVEMENT AWARD Mama wa Mitindo Asya Idarous wa Khamsin akitoa neno la shukrani kwa Mwenyezi Mungu baada ya kupokea tuzo yake ya LIFETIME ACHIEVEMENT AWARD  Mama wa Mitindo Asya Idarous wa Khamsin akiwa haamini macho yake baada ya kutangazwa...

 

10 years ago

Vijimambo

Mama wa mitindo Asia Idarous Khamsin apata tuzo

Nguli wa mitindo Asia Idarous Khamsin amepata tuzo ya Zakhia Meghji Life Time Achievment 2014

 

11 years ago

Michuzi

Shukurani za Asia Idarous Khamsin kwa kuiunga mkono "Lady in RED" 2014

Asia Idarous akipita kwenye red Carpet Asia Idarous akipita kwenye red carpet

MAMA wa Mitindo nchini na Mkurugenzi wa Fabak Fashions, Asia Idarous Khamsin amewashukuru wadau mbali mbali kwa kuendelea kuliunga mkono onesho la Mitindo la kila mwaka la 'Lady in Red' ambalo kwa mwaka huu limetimiza miaka 10 tokea kuanzishwa kwake huku likiwa la mafanikio kwa kuibua wanamitindo wakubwa hapa nchini.

Akizungumza Dar es salaam, katika ofisi za Fabak zilizopo Msasani jirani na Kwa Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam, Asia Idarous...

 

9 years ago

Mwananchi

Mwandishi MCL ashinda tuzo ya SFW 2015

Mwandishi wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Maimuna Kubegeya ameshinda tuzo ya mwandishi bora wa mitindo kwa mwaka 2015 iliyotolewa na Swahili Fashion Week.

 

11 years ago

GPL

ASIA IDAROUS AWASHUKU WADAU‏

Asia Idarous akipita kwenye red Carpet .wakati wa onyesho hilo. Mbunge wa Bunge la Katiba, Mh. Maria Sarungi  akihojiwa na Deo wa Nivana wa East Afrika Television…

 

11 years ago

Dewji Blog

Asia Idarous atikisa Dunia na Vazi la Taifa

1-Asia-Idarous-akiwa-na-vazi-la-Kitanzania

Asia Idarous akiwa na vazi la Kitanzania.

.. NI BAADA YA SHOO YAKE NCHINI NIGERIA

Na Andrew Chale

MBUNIFU mkongwe wa mitindo nchini, Asia Idarous Khamsin  kufuatia kufanya vizuri hivi karibuni katika  onyesho  kubwa la mavazi ya ubunifu lililokuwa maalum kwa  ajili ya Maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, lililofanyika Abuja, Nigeria, huku asilimia kubwa kwenye jukwaa hilo akitumia vazi lililonakshiwa  alama za bendela ya Tanzania, ‘National colours Asia idarous’s...

 

10 years ago

Vijimambo

Siku ya msanii Kanga designed by asia idarous khamsin

Nguli wa mitindo Asia Idarous Khamsini akionyesha mitindo ya Khanga kweye usiku wa Msanii uliofanyika Mlimani City wiki iliyopita.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Asia Idarous: Muziki wa mwambao asilia una mguso wake

MWANAMITINDO mkongwe na mdau wa muziki wa mwambao asilia, Asia Idarous Khamsin, amesema muziki huo una mguso wake hivyo jamii inatakiwa kuupokea na kuuenzi. Asia ambaye pia ni Mkurugenzi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani