mamaa wa mitindo asia idarous apata tuzo ya Zakhia Meghji Life Time Achievement 2014
![](http://4.bp.blogspot.com/-syN2CLFechA/VIWnt_hmb5I/AAAAAAAG2Cc/E7JMjwGW30w/s72-c/IMG-20141208-WA0006.jpg)
Mwanamitindo Mkongwe hapa nchini na nje ya Mipaka ya Tanzania,Asia Idarous a.k.a Mamaa wa Mitindo (pichani) akiwa na tuzo yake ya "Zakhia Meghji Life Time Achievement 2014" alioshinda jana katika Jukwaa kubwa na maonyesho ya Mitindo la Swahili Fashion Week Tanzania.Asia Idarous ambaye ni Mwanamitindo wa miaka mingi aliweza kunyakua tuzo hiyo baada ya kuwepo kwenye tasnia hiyo ya mitindo kwa zaidi ya miaka 35 na amefanya maonyesho ya mitindo mara 150 ndani ya Tanzania na nje ya mipaka ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-vYRF7gjekqA/VIs_DI5JVmI/AAAAAAAG2yY/DDxyJwwatIw/s72-c/unnamed%2B(6).jpg)
MNUSO WA KUMPONGEZA MAMA WA MITINDO ASIA IDAROUS KHAMSIN KWA KUNYAKUA TUZO YA LIFETIME ACHIEVEMENT AWARD 2014
![](http://1.bp.blogspot.com/-vYRF7gjekqA/VIs_DI5JVmI/AAAAAAAG2yY/DDxyJwwatIw/s1600/unnamed%2B(6).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/--DMLkPe0PvM/VIs_bUgrUNI/AAAAAAAG20s/w8iXY36ZoEI/s1600/unnamed%2B(9).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-em_KXK4SOL4/VIs_SrHRzpI/AAAAAAAG2yg/6jh98y1E4II/s1600/unnamed%2B(10).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-EE3_yHNTlfk/VIs_S9P75kI/AAAAAAAG2ys/6nfjHwwkNEk/s1600/unnamed%2B(11).jpg)
10 years ago
VijimamboMama wa mitindo Asia Idarous Khamsin apata tuzo
![](http://4.bp.blogspot.com/-VQtk8j9RkuA/VIWnu89BDUI/AAAAAAAG2Ck/rsxQOelD9Nw/s640/IMG-20141208-WA0005.jpg)
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2013/12/DSC_1539.jpg)
BIRTHDAY YA MAMAA WA MITINDO, ASIA KHAMSIN IDAROUS YAFANA KWENYE KIOTA CHA NYUMBANI LOUNGE
10 years ago
Dewji Blog09 Dec
Asia Idarous afurahia tuzo ya maisha ya SFW 2014
“Tuzo ya Life Time Achievement Swahili Fashion Week 2014, ni furaha ya maisha yangu”
Na Andrew Chale
USIKU wa Desemba 7, 2014, imekuwa ya furaha na ya kipekee kwa Mbunifu mkongwe mitindo na mavazi ndani na nje ya Tanzania, Asia Idarous Khamsin ama ‘Mama wa Mitindo Tanzania’, baada ya kuzawadiwa tuzo maalumu ya ‘Life Time Achievement Swahili Fashion Week 2014, kutoka Swahili Fashion Week, amesema tuzo hiyo ni furaha ya Maisha yake na ataendelea kutumia wasaha wa kuinua tasnia ya...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-t4pYX9p1pWg/U1mSshirB5I/AAAAAAAFc3w/5Axr9IWL9s4/s72-c/Asia+(kulia)+na+vazi+lake+la+Khanga+katika+moja+ya+maonyesho+yake.jpg)
MAMAA WA MITINGO ASIA IDAROUS KUFANYA ONYESHO LA MIAKA 50, ABUJA, NIGERIA
![](http://3.bp.blogspot.com/-t4pYX9p1pWg/U1mSshirB5I/AAAAAAAFc3w/5Axr9IWL9s4/s1600/Asia+(kulia)+na+vazi+lake+la+Khanga+katika+moja+ya+maonyesho+yake.jpg)
MBUNIFU mkongwe wa mitindo nchini, Asia Idarous Khamsin anatarajiwa kufanya onyesho kubwa la mavazi ya ubunifu katika maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, litakalofanyika Abuja, Nigeria, usiku Aprili 25.
Akizungumza kwa njia ya simu kutoka Abuja, Nigeria, Asia Idarous ambaye pia ni Mkurugenzi wa Fabak Fashions, alisema onyesho lililoandaliwa na Umoja wa watanzania waishio nchini Nigeria, ambapo usiku huo wa Aprili 25, watakutana kwa pamoja na...
9 years ago
MichuziMAMAA WA MITINDO ASYA IDAROUS KHAMSINI KUFANYA ONESHO LA KHANGA PARTY JUMAMOSI AUG 29, 2015, DURHAM, NC
Kwa mara ya kwanza katika historia
![](http://3.bp.blogspot.com/-QE2qB3LDFnk/VUFlR_6gSyI/AAAAAAADljA/XEhtsxr2CGs/s640/vijimamboMedia.png)
ANUANI1104 BROAD STDURHAM NC 27705
Khanga Party ndani ya Durham North CarolinaKiingilio ni $ 20Couple $30Ladies with Khanga outfit $10 B4 11pmMusic By Dj LukeMilango itakua wazi kuanzia 8pm-3am Khanga Fashion show itaanza kuanzia saa 9pm mpaka 10pm baada ya hapo ni Rhumba mpaka saa 3qmKaRiBuNi
10 years ago
Michuzi20 Mar
MAMA WA MITINDO ASIA IDAROUS KUPAMB SIKU YA MWANAMKE DUNIANI ZANZIBAR MACHI 22
![11072283_933753296658934_392071823375109477_n](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/03/11072283_933753296658934_392071823375109477_n.jpg)
Katika tukio hilo, linatarajiwa kuwa pia na shamra shamra ikiwemo za mitindo ya mavazi kutoka kwa gwiji wa mitindo Nchini, Mama Asia Idarous Khamsin atakaye onesha mavazi mbalimbali siku hiyo akiwa sambamba na ...
10 years ago
Dewji Blog20 Mar
Mama wa mitindo Asia Idarous kupamba siku ya Mwanamke Duniani Zanzibar Machi 22
..burudani kutolewa na Baby J, Coconut na Zanzibar One Modern taarab
Na Andrew Chale wa Modewji blog
Machi 22 mwaka huu Kisiwa cha Unguja, Zanzibar kinatarajiwa kuwa na tukio moja kubwa litakalowakutanisha Wanawake mbalimbali na kusheherekea siku ya Mwanamke Dunia, ndani ya ukumbi wa Bwawani Hoteli.
Katika tukio hilo, linatarajiwa kuwa pia na shamra shamra ikiwemo za mitindo ya mavazi kutoka kwa gwiji wa mitindo Nchini, Mama Asia Idarous Khamsin atakaye onesha mavazi mbalimbali siku hiyo ...