Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAMAA WA MITINGO ASIA IDAROUS KUFANYA ONYESHO LA MIAKA 50, ABUJA, NIGERIA

 Na Andrew Chale
MBUNIFU mkongwe wa mitindo nchini, Asia Idarous Khamsin anatarajiwa kufanya onyesho kubwa la mavazi ya ubunifu katika maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, litakalofanyika Abuja, Nigeria,  usiku Aprili 25.
Akizungumza kwa njia ya simu kutoka Abuja, Nigeria,  Asia Idarous ambaye pia ni Mkurugenzi wa Fabak Fashions, alisema onyesho lililoandaliwa na Umoja wa watanzania waishio nchini Nigeria, ambapo usiku huo wa Aprili 25, watakutana kwa pamoja na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

mamaa wa mitindo asia idarous apata tuzo ya Zakhia Meghji Life Time Achievement 2014

Mwanamitindo Mkongwe hapa nchini na nje ya Mipaka ya Tanzania,Asia Idarous a.k.a Mamaa wa Mitindo (pichani) akiwa na tuzo yake ya "Zakhia Meghji Life Time Achievement 2014" alioshinda jana katika Jukwaa kubwa na maonyesho ya Mitindo la Swahili Fashion Week Tanzania.Asia Idarous ambaye ni Mwanamitindo wa miaka mingi aliweza kunyakua tuzo hiyo baada ya kuwepo kwenye tasnia hiyo ya mitindo kwa zaidi ya miaka 35 na amefanya maonyesho ya mitindo mara 150 ndani ya Tanzania na nje ya mipaka ya...

 

11 years ago

GPL

BIRTHDAY YA MAMAA WA MITINDO, ASIA KHAMSIN IDAROUS YAFANA KWENYE KIOTA CHA NYUMBANI LOUNGE‏

Mbunifu Mkongwe wa Mavazi nchini Mamaa wa Mitindo Asia Khamsin Idarous jana alisheherekea siku yake ya kuzaliwa na ndugu, jamaa na marafiki katika mnuso wa nguvu uliofanyika kwenye kiota cha Nyumbani Lounge jijini Dar es Salaam. Zifuatazo ni picha mbalimbali za matukio katika mnuso huo wa nguvu. Mbunifu Mkongwe wa Mavazi nchini Mamaa wa Mitindo Asia Khamsin Idarous, akizungumza machache kabla ya kukata cake kwenye mnuso wake...

 

10 years ago

Michuzi

MAMAA WA MITINDO ASYA IDAROUS KHAMSINI KUFANYA ONESHO LA KHANGA PARTY JUMAMOSI AUG 29, 2015, DURHAM, NC


Kwa mara ya kwanza katika historiainakuletea Khanga Party Khanga Fashion show kutoka kwa mama wa mitindo Asya Idarous Khmasin siku ya Jumamosi Aug 29, 2015 ndani ya kiota THE VAULT AT PALACE
ANUANI1104 BROAD STDURHAM NC 27705
Khanga Party ndani ya Durham North CarolinaKiingilio ni $ 20Couple $30Ladies with Khanga outfit $10 B4 11pmMusic By Dj LukeMilango itakua wazi kuanzia 8pm-3am Khanga Fashion show itaanza kuanzia saa 9pm mpaka 10pm baada ya hapo ni Rhumba mpaka saa 3qmKaRiBuNi 

 

10 years ago

Michuzi

DJ WA NIGERIA KUFANYA ONYESHO NA KUTOA MSAADA KWAJAMII JIJINI DAR ES SALAAM

 Mtengenezaji wa muziki, mtunzi wa nyimbo na DJ raia wa Nigeria anayefanya kazi zake nchini Marekani Bi.Florence Ifeoluwa maarufu kama DJ Cuppy akizungumza na waandishi wa habari katika hoteli ya Slipway jijini Dar  es Salaam.Baadhi ya wa habari wakiwa na Dj Mtengenezaji wa muziki, mtunzi wa nyimbo na DJ raia Nigeria katika hoteli ya Silpway jijini Dar es salaam.DJ Cuppy.
 MTENGENEZAJI wa muziki, mtunzi wa nyimbo na DJ raia wa Nigeria anayefanya kazi zake nchini Marekani Bi.Florence...

 

11 years ago

GPL

ASIA IDAROUS AWASHUKU WADAU‏

Asia Idarous akipita kwenye red Carpet .wakati wa onyesho hilo. Mbunge wa Bunge la Katiba, Mh. Maria Sarungi  akihojiwa na Deo wa Nivana wa East Afrika Television…

 

11 years ago

Dewji Blog

Asia Idarous atikisa Dunia na Vazi la Taifa

1-Asia-Idarous-akiwa-na-vazi-la-Kitanzania

Asia Idarous akiwa na vazi la Kitanzania.

.. NI BAADA YA SHOO YAKE NCHINI NIGERIA

Na Andrew Chale

MBUNIFU mkongwe wa mitindo nchini, Asia Idarous Khamsin  kufuatia kufanya vizuri hivi karibuni katika  onyesho  kubwa la mavazi ya ubunifu lililokuwa maalum kwa  ajili ya Maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, lililofanyika Abuja, Nigeria, huku asilimia kubwa kwenye jukwaa hilo akitumia vazi lililonakshiwa  alama za bendela ya Tanzania, ‘National colours Asia idarous’s...

 

10 years ago

Dewji Blog

Asia Idarous afurahia tuzo ya maisha ya SFW 2014

IMG_4181

 

“Tuzo ya Life Time Achievement Swahili Fashion Week 2014, ni furaha ya maisha yangu”

Na Andrew Chale

USIKU wa Desemba 7, 2014, imekuwa ya furaha na ya kipekee kwa Mbunifu  mkongwe mitindo na mavazi ndani na nje ya Tanzania, Asia Idarous Khamsin ama ‘Mama wa Mitindo Tanzania’, baada ya kuzawadiwa tuzo maalumu  ya  ‘Life Time Achievement Swahili Fashion Week 2014, kutoka Swahili  Fashion Week, amesema tuzo hiyo ni furaha ya Maisha yake na ataendelea kutumia wasaha wa kuinua tasnia ya...

 

11 years ago

Vijimambo

Siku ya msanii Kanga designed by asia idarous khamsin

Nguli wa mitindo Asia Idarous Khamsini akionyesha mitindo ya Khanga kweye usiku wa Msanii uliofanyika Mlimani City wiki iliyopita.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani