Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DJ WA NIGERIA KUFANYA ONYESHO NA KUTOA MSAADA KWAJAMII JIJINI DAR ES SALAAM

 Mtengenezaji wa muziki, mtunzi wa nyimbo na DJ raia wa Nigeria anayefanya kazi zake nchini Marekani Bi.Florence Ifeoluwa maarufu kama DJ Cuppy akizungumza na waandishi wa habari katika hoteli ya Slipway jijini Dar  es Salaam.Baadhi ya wa habari wakiwa na Dj Mtengenezaji wa muziki, mtunzi wa nyimbo na DJ raia Nigeria katika hoteli ya Silpway jijini Dar es salaam.DJ Cuppy.
 MTENGENEZAJI wa muziki, mtunzi wa nyimbo na DJ raia wa Nigeria anayefanya kazi zake nchini Marekani Bi.Florence...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

DJ WA KINAIJERIA KUFANYA ONYESHO NA KUTOA MSAADA KWA JAMII JIJINI DAR ES SALAAM

 Mtengenezaji wa muziki, mtunzi wa nyimbo na DJ raia wa Naijeria anayefanya kazi zake nchini Marekani Bi. Florence Ifeoluwa maarufu kama DJ Cuppy akizungumza na waandishi wa habari katika hoteli ya Slipway jijini Dar

Waandishi wa habari wakiwa kazini

 

11 years ago

Michuzi

MAMAA WA MITINGO ASIA IDAROUS KUFANYA ONYESHO LA MIAKA 50, ABUJA, NIGERIA

 Na Andrew Chale
MBUNIFU mkongwe wa mitindo nchini, Asia Idarous Khamsin anatarajiwa kufanya onyesho kubwa la mavazi ya ubunifu katika maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, litakalofanyika Abuja, Nigeria,  usiku Aprili 25.
Akizungumza kwa njia ya simu kutoka Abuja, Nigeria,  Asia Idarous ambaye pia ni Mkurugenzi wa Fabak Fashions, alisema onyesho lililoandaliwa na Umoja wa watanzania waishio nchini Nigeria, ambapo usiku huo wa Aprili 25, watakutana kwa pamoja na...

 

10 years ago

Michuzi

wafanyakazi wa Hoteli ya Dar es Salaam Serena waadhimisha siku ya mazingira kwa kufanya usafi maeneo ya barabara jijini dar

wafanyakazi wa Hoteli ya Dar es Salaam Serena ambao ni wakereketwa wakubwa wa mazingira, waliadhimisha siku hii asubuhi ya leo kwa kufanya usafi barabara ya Ohio kuzunguka mpaka ufukwe wa bahari ya Hindi.
Akiongea  mara baada ya zoezi hilo la usafi mkurugenzi mkuu wa masoko wa hoteli hiyo ndugu Seraphin Lusala aliwashukuru wafanyakazi wa hoteli hiyo kwa kushiriki katika zoezi hilo la kufanya usafi wa mazingira ili kuonyesha mfano kwa jamii kwamba uchafuzi wa mazingira haukubaliki na...

 

10 years ago

Michuzi

THE MBONI SHOW YAADHIMISHA MIAKA MITATU KWA KUTOA MSAADA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI JIJINI DAR

 Mkurugenzi wa Mboni Show, Mboni Masimba akimkabidhi Mkuu wa Idara ya Uzazi na Magonjwa ya akina mama wa hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dokta Mathew Kallaga (aliyepokea kwa niaba ya uongozi) vifaa mbali mbali vyenye thamani ya Tshs. Milioni saba alivyotoa kwa hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam ikiwa ni maadhimisho ya miaka mitatu ya kipindi hicho. Kila mwaka Kipindi cha Mboni huwa kinaadhimisha kwa kutoa msaada sehemu mbali mbali ikiwa ni mpango wake wa kurudisha...

 

9 years ago

Michuzi

WHO YATOA MSAADA WA DAWA ZA KUTAKASA MAJI JIJINI DAR ES SALAAM LEO

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Usitawi wa Jamii Dk Donan Mmbando  akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani kwa kulishukuru shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) kwa kutoa msaada wa Dawa za kutakasa maji (Water Guard ) leo jiji Dar es Salaam kulia ni Mwakilishi wa shirika la Afya Ulimwenguni hapa Nchini Dk Rufaro Chatora. Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza kwa makini Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Usitawi wa Jamii Dk Donan Mmbando leo jiji Dar es Salaam Mwakilishi wa...

 

10 years ago

Michuzi

KIBAKA ASHUGULIKIWA MARA BAADYA KUTAKA KUFANYA UHARIFU JIJINI DAR ES SALAAM

 Askari wa kaampuni ya G1 Security wakimrekebisha mtuhumiwa wizi ambaye jina lake halikupatikana  mara moja ambaye alikuwa katika harakati za kutaka kufanya uharifu  katika Jengo la PAM RESIDENCE jijini  Dar es salaam. Mtuhumiwa wa uharifu katika jengo la PAM RESIDENCE jijini Dar es Salaam. Mtuhumiwa wa wizi  ambaye jina lake halikupatikana mara moja akihojiwa na Askari wa kaampuni ya G1 Security juu ya jiwe alilokuwa nalo kwenya mfuko  picha na EMMANUEL MASSAKA,GLOBU YA...

 

10 years ago

Michuzi

KIVUKO CHA MV KIGAMBONI CHAANZA KUFANYA KAZI LEO JIJINI DAR ES SALAAM

Kivuko cha MV Kigamboni kimeanza safari zake jioni ya leo baada ya ukarabati mkubwa uliofanywa na Kikosi cha Maji cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli. Kivuko cha MV KIgamboni kikiwa majini kuelekea eneo la Ferry kwa ajili ya kuanza kutoa Huduma ya Usafiri.Abiria wakiingia  kwenye  Kivuko cha MV Kigamboni mara baada ya kuanza kufanya kazi.

 

10 years ago

Vijimambo

STARTIMES YAKABIDHI MSAADA WA CHAKULA SHULE YA MSINGI MAALUMU YA AIRWING JIJINI DAR ES SALAAM

Kutoka kulia ni wafanyakazi wa kampuni ya StarTimes Tanzania, Bi. Elena Liu na Paulina Kaka wakifurahia jambo pamoja na Mwalimu wa Shule ya Msingi ya Airwing, Kitengo cha wanafunzi wenye ulemavu wa akili, Bw. Issa Mkasa wakati wa kukabidhi msaada wa vyakula na mahitaji mengineyo shuleni hapo. Akishuhudia tukio hilo kulia ni Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo, Bi. Fabiola Malisa.Makamu wa Rais wa StarTimes Tanzania, Bi. Zuhura Hanif (mwenye hijab) akikabidhi moja ya msaada wa chakula na mahitaji...

 

9 years ago

Michuzi

EFM NA BENKI YA DTB KUFANYA USAFI DESEMA 9 MWAKA HUU JIJINI DAR ES SALAAM

 Meneja Mawasiliano na Mahusiano wa Efm Radio, Denis Ssebo akizungumza na wandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya wasanii zaidi ya 50 wa Bongo Movie akiwamo Steve Nyerere, Wema Sepetu na Vicent Kigosi (Rey) wataungana na kituo cha redio cha EFM na Benki ya DTB kufanya usafi Desema 9 mwaka huu. Usafi huo utaanzia katika barabara ya Morocco hadi Magomeni, mkutano huo umefanyika leo jijini Dar es Salaam, kushoto ni Mkuu wa Bidhaa na Masoko wa benki ya Diamond Trust Bank (DTB), Sylvester...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani