EFM NA BENKI YA DTB KUFANYA USAFI DESEMA 9 MWAKA HUU JIJINI DAR ES SALAAM
Meneja Mawasiliano na Mahusiano wa Efm Radio, Denis Ssebo akizungumza na wandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya wasanii zaidi ya 50 wa Bongo Movie akiwamo Steve Nyerere, Wema Sepetu na Vicent Kigosi (Rey) wataungana na kituo cha redio cha EFM na Benki ya DTB kufanya usafi Desema 9 mwaka huu. Usafi huo utaanzia katika barabara ya Morocco hadi Magomeni, mkutano huo umefanyika leo jijini Dar es Salaam, kushoto ni Mkuu wa Bidhaa na Masoko wa benki ya Diamond Trust Bank (DTB), Sylvester...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuziwafanyakazi wa Hoteli ya Dar es Salaam Serena waadhimisha siku ya mazingira kwa kufanya usafi maeneo ya barabara jijini dar
Akiongea mara baada ya zoezi hilo la usafi mkurugenzi mkuu wa masoko wa hoteli hiyo ndugu Seraphin Lusala aliwashukuru wafanyakazi wa hoteli hiyo kwa kushiriki katika zoezi hilo la kufanya usafi wa mazingira ili kuonyesha mfano kwa jamii kwamba uchafuzi wa mazingira haukubaliki na...
11 years ago
MichuziWana Njia Panda washiriki kufanya usafi katika Hospitali ya Amana jijini Dar es salaam
Mtangazaji wa Kipindi cha Redio cha Njia Panda kinachorushwa na Clouds FM Dkt. Isack Maro akizungumza na mwandishi wa habari wa Zanzibar Media Bi. Sophia Kingimali wakatika wa zoezi la usafi katika Hospilali ya Amana iliyopo Ilala, jana jijini Dar es Salaam. Wananjiapanda wamejitolea kufanya shughuli za usafi katika Hospitali hiyo ikiwa ni kutoa mchango wao kwa jamii inayowazunguka. Mtangazaji wa Kipindi cha Redio cha Njia Panda kinachorushwa na Clouds FM Dkt. Isack...
9 years ago
MichuziFAINALI YA BSS 2015 KUFANYIKA OKTOBA 9 MWAKA HUU JIJINI DAR ES SALAAM
9 years ago
Dewji Blog09 Dec
Wafanyakazi wa kituo cha mafuta cha Puma cha Uwanja wa Ndege jijini Dar Es Salaam watekeleza agizo la Rais kwa kufanya usafi
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Mafuta cha Puma cha Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Brown Francis akishiriki kufanya usafi katika kituo hicho ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Rais Dk.John Magufuli kuwa maadhimisho ya Siku ya Uhuru 2015 yatumike kwa kufanya usafi nchini kote.
Meneja wa Kituo hicho, Shadrack Mwamaso naye akishiriki kufanya usafi.
Hapa usafi ukiendelea.
Hapa ni kazi usafi ukifanyika.
Ni kama anaongea ‘Ngoja nikazitupe taka taka hizi eneo...
11 years ago
MichuziBENKI YA CRDB KUFANYA MKUTANO MKUU WA MWAKA MEI 10 JIJINI ARUSHA
10 years ago
MichuziBenki ya Diamond Trust (DTB) yatangaza mafanikio yake makubwa kwa nusu mwaka wa 2014
Bwa.Viju alisema...
9 years ago
MichuziMuziki munene wa EFM 93.7 Watikisa Tegeta jijini Dar es salaam
10 years ago
Dewji Blog02 Apr
93.7 Efm Radio yatimiza mwaka mmoja leo kutoa gari kwa mwananchi wa Dar es Salaam
Baadhi ya vijana wa kazi wa Efm Radio wakiwa kwenye pozi ambapo leo watapita mitaani kwa shangwe huku wakitarajia kutoa gari kwa shabiki atakayeshinda katika jiji la Dar es Salaam, Kinondoni, Ilala na Temeke kazi kwako ndio wakati wa kujitokeza kitaa leo kusheherekea na 93.7 efm Dar es Salaam.
“HAPPY BIRTHDAY 93.7 Efm RADIO!
Kwa moyo mkunjufu kabisa
, nina penda kuwapongeza sana 93.7 Efm Radio kwa kutimiza mwaka mmoja tangu...
9 years ago
Michuzi26 Nov
Zoezi la Usafi wa Mazingira Kuwa Endelevu Jijini Dar es Salaam
Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam, Mhe. Said Meck Sadiki amesema zoezi la usafi wa mazingira litakalofanyika siku ya Maadhimisho ya Uhuru wa Tanzania Bara tarehe 9 Desemba, litakuwa ni endelevu kwa mkoa wa Dar es Salaam hata baada ya kumalizika kwa maadhimisho hayo.
Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Awamu ya Tano. Mhe. Dkt John Pombe Joseph Magufuli aliagiza kuwa Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Tanzania Bara mwaka huu yatumike kwa kufanya usafi wa...