Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Muziki munene wa EFM 93.7 Watikisa Tegeta jijini Dar es salaam

SHANGWE za muziki mnene wa 93.7 EFM bado zinaendele. Ijumaa iliyopita ilikuwa zamu ya wakazi wa Tegeta . Burudani ya aina yake ikiongozwa na timu nzima ya EFM ilishushwa ndani ya kimori high way park Tegeta , huku wakazi wa Tegeta wakikutana ana kwa ana na watangazaji na RDJ’s wa 93.7EFM. Burudani ilianza na kabumbu kati ya EFM na Boko beach veteran katika uwanja wa boko beach ambapo EFM waliibuka na ushindi mabao matatu huku Boko beach veteran wakiambulia sifuri. "Muziki mnene bado...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

libeneke la muziki munene wa efm 93.7 lazidi kuchana anga kila kona nchini

 Kituo cha redio kinachokuja juu kwa kasi nchini Tanzania cha EFM 93.7 kimeendelea na road show yake kabambe inayokwenda kwa jina la MUZIKI MUNENE ambapo kila Jumamosi kinachagua kiota kimoja cha maraha sehemu mbalimbali nchini na kwenda kuwaburudisha wasikilizaji wake wanaoongezeka siku hadi siku. Libeneke hilo lilianzia Bagamoyo Jumamosi ya wiki iliyopita, na Jumamosi ya wiki hii walikuwa Kibaha Container, huko huko mkoa wa Pwani. Msemaji wake Dennis Ssebo anasema mambo ni mswano sana...

 

10 years ago

Michuzi

JK AFUNGUA RASMI BARABARA YA MWENGE-TEGETA JIJINI DAR ES SALAAM LEO

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wakati wa ufunguzi rasmi wa barabara ya Mwenge-Tegeta  leo katika eneo la Lugalo njiapanda ya Kawe jijini Dar es salaam. Ujenzi na upanuzi wa barabara ya Mwenge-Tegeta Km 12.9, ni sehemu ya mkakati wa Serikali ya Tanzania wa kupunguza msongamano wa magari katika jiji la Dar es Salaam. Wananchi wakifurahia hotuba ya  Rais Jakaya Mrisho Kikwete wakati wa ufunguzi rasmi wa barabara ya Mwenge-Tegeta  leo katika eneo la Lugalo njiapanda ya Kawe jijini Dar es...

 

9 years ago

Michuzi

EFM NA BENKI YA DTB KUFANYA USAFI DESEMA 9 MWAKA HUU JIJINI DAR ES SALAAM

 Meneja Mawasiliano na Mahusiano wa Efm Radio, Denis Ssebo akizungumza na wandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya wasanii zaidi ya 50 wa Bongo Movie akiwamo Steve Nyerere, Wema Sepetu na Vicent Kigosi (Rey) wataungana na kituo cha redio cha EFM na Benki ya DTB kufanya usafi Desema 9 mwaka huu. Usafi huo utaanzia katika barabara ya Morocco hadi Magomeni, mkutano huo umefanyika leo jijini Dar es Salaam, kushoto ni Mkuu wa Bidhaa na Masoko wa benki ya Diamond Trust Bank (DTB), Sylvester...

 

9 years ago

Michuzi

nyota wa muziki wa dansi na taarabu kutambulisha wimbo wa "amani kwanza' leo mango garden jijini Dar es salaam

Wimbo maalum wa kuhimiza amani kabla na baada ya uchaguzi mkuu, utawekwa rasmi hadharani mbele ya waandishi wa habari Jumanne hii.

 Wimbo huo uliopewa jina la “Amani Kwanza” utapigwa ‘live’ kwa mara ya kwanza mbele ya wana habari ndani ya ukumbi wa nyuma wa Mango Garden Kinondoni jijini Dar es Salaam kuanzia saa 6 mchana. “Amani Kwanza” ni ngoma iliyopigwa katika miondoko ya rhumba ikiwa imeshirikisha nyota wengi wa muziki wa dansi chini ya umoja  wa muda wa wanamuziki wa dansi na...

 

9 years ago

Michuzi

kiwanja kinauzwa tegeta wazo Dar es salaam

 KIWANJA KINAUZWA NUSU HEKARI, KIMEPIMWA, KIPO, TEGETA WAZO, DAR ES SALAAM.  BEI NI TSH 70M, KWA MAWASILIANO PIGA, No.0784-577087 Kisali.

 

11 years ago

Michuzi

DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AKAGUA BARABARA YA MWENGE-TEGETA, MRADI WA MABASI YAENDAYO HARAKA (BRT) PAMOJA MIRADI YA UJENZI WA BARABARA ZA JUU TAZARA FLYOVER NA MAKUTANO YA BARABARA ZA JUU UBUNGO JIJINI DAR ES SALAAM

Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli katikati akiwa na Balozi wa Japan Nchini Masaki Okada kulia wakipita juu ya Daraja la Lugalo mara baada ya kulikagua katika ziara ya Ukaguzi wa Barabara ya Mwenge Tegeta jijini Dar es salaam leo.

 Balozi wa Japan nchini Ndugu Masaki Okada akiwa na Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mheshimiwa Said Meck Sadick wakipanda ngazi za daraja la juu la watembea kwa miguu flyover Ubungo...

 

10 years ago

GPL

MZIKI MNENE WA EFM WATIKISA BAGAMOYO

Mashabiki wa kituo kipya cha EFM 93.7 Radio wakicheza mziki mnene ndani ya Bagamoyo. Mashabiki wakiendelea kupagawa na burudani.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani