Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


libeneke la muziki munene wa efm 93.7 lazidi kuchana anga kila kona nchini

 Kituo cha redio kinachokuja juu kwa kasi nchini Tanzania cha EFM 93.7 kimeendelea na road show yake kabambe inayokwenda kwa jina la MUZIKI MUNENE ambapo kila Jumamosi kinachagua kiota kimoja cha maraha sehemu mbalimbali nchini na kwenda kuwaburudisha wasikilizaji wake wanaoongezeka siku hadi siku. Libeneke hilo lilianzia Bagamoyo Jumamosi ya wiki iliyopita, na Jumamosi ya wiki hii walikuwa Kibaha Container, huko huko mkoa wa Pwani. Msemaji wake Dennis Ssebo anasema mambo ni mswano sana...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Muziki munene wa EFM 93.7 Watikisa Tegeta jijini Dar es salaam

SHANGWE za muziki mnene wa 93.7 EFM bado zinaendele. Ijumaa iliyopita ilikuwa zamu ya wakazi wa Tegeta . Burudani ya aina yake ikiongozwa na timu nzima ya EFM ilishushwa ndani ya kimori high way park Tegeta , huku wakazi wa Tegeta wakikutana ana kwa ana na watangazaji na RDJ’s wa 93.7EFM. Burudani ilianza na kabumbu kati ya EFM na Boko beach veteran katika uwanja wa boko beach ambapo EFM waliibuka na ushindi mabao matatu huku Boko beach veteran wakiambulia sifuri. "Muziki mnene bado...

 

10 years ago

Michuzi

97.3 EFM SASA KILA KONA YA TANZANIA

KATIKAkuhakikisha kuwa msikilizaji wa Efm kupitia kipindi chake cha Joto la Asubuhi anapata taarifa za kutosha na zilizosheheni masuala mbalimbali ya Kijamii, kuanzia Juni 29, Jumatatu, kitakuwa na habari kutoka mikoa mbalimbali nchini katika kipengele cha kona zote.

Msimamizi Mkuu wa Kipindi hicho Dennis Ssebo ameitonya Blog ya Jamii kuwa tofauti na utaratibu wa kuripoti matukio uliozoeleka Joto la asubuhi litakuwa likizimulika na kuzichambua habari hizo zilizoandikwa na wabobezi wa mambo...

 

10 years ago

Michuzi

libeneke la Muziki mnene bar kwa bar la 93.7 EFM ndani ka kibaha

 Wana 93.7 EFM wakipata ytaswira  na mashabiki wa EFM maeneo ya Kibaha kuwashukuru na kuwatunza kuwapa zawadi kwa kusikiliza vipindi vya kituo hicho cha redio kinachotamba nchini,  ikiwa ni maandalizi ya ujio wa libeneke la Muziki mnene bar kwa bar.  Bango la MUZIKI MNENE lilionekana maeneo ya mjini Kibaha, lilowekwa na mmoja wa mashabiki wa EFM Radio 93.7. 

 

10 years ago

Tanzania Daima

Polisi walaaniwa kila kona nchini

WADAU wa Habari nchini wamelaani kitendo cha askari polisi kuwapiga waandishi wa habari waliokuwa kwenye majukumu yao na kuitaka serikali kuchukua hatua stahili. Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), limeitaka serikali...

 

9 years ago

GPL

NAVY KENZO WAZIDI KUCHANA ANGA

Kundi linalofanya kweli kwenye gemu la muziki, Afrika Mashariki la Navy Kenzo. Boniphace Ngumije
KUNDI linalofanya kweli kwenye gemu la muziki, Afrika Mashariki la Navy Kenzo, linaloundwa na wasanii ‘couple’, Aika na Nahreal limezidi kuchana anga baada ya wimbo wao unaoitwa Game kuzidi kufanya vyema kwenye media mbalimbali duniani. Akichezesha taya na Showbiz, Aika alidai kuwa mafanikio wanayoendelea kuyapata...

 

5 years ago

Michuzi

SUKARI YAZIDI KUADIMIKA NCHINI, WANANCHI WAISAKA KILA KONA


Na Said Mwishehe,Michuzi TV

KILIO cha kuadimika kwa sukari nchini kimeendelea kushika kasi kutokana na uhaba mkubwa uliopo na wananchi wanapobahatisha kuipata bei yake ni kubwa kwani kilo moja ya sukari inauzwa hadi Sh.4,000 badala ya Sh.2,600.

Kutokana na kuadimika huko wananchi wa maeno mbalimbali nchini wameendelea kupaza sauti zao kwa Serikali kuona hatua inayoweza kuchukua kuhakikisha sukari inapatikana na kwa bei ambayo itakuwa rahisi kuimudu.

Katika Jiji la Dar es Salaam pamoja na majiji...

 

10 years ago

Dewji Blog

Lowassa aendelea kujipatia umaarufu kila kona kila kundi, Manyara ajizolea udhamini mnono

Lowassa_Babati2

Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa, akiwapungia mkono maelfu ya wana CCM na wakazi wa Mji wa Babati mkoani Manyara, Juni 25, 2015 wakati akitoa shukrani baada ya kupata wana CCM 42,405 walioamdhamini kufuatia kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa na CCM kuwania kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, mwaka huu wa 2015. 9Picha na K-VIS MEDIA).

Lowassa_Babati1

Lowassa_hotuba Manyara

Lowassa_Daniel Opurukwa

Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kituo cha redio cha Efm chamkumbuka mwanamuziki Juma Nature kwa mchango wake katika muziki nchini

Mkuu wa Mawasiliano wa Kituo cha Redio cha EFM, Denis Ssebo (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuhusu tamasha lijulikalo kama Komaa Concert  litalofanyika mwishoni mwa mwezi mei  kwa ajili ya kuadhimisha miaka 16 ya muziki ya msanii Juma Nature ‘maarufu Kiroboto’ namna ya kuonesha kuthamini mchango wake katika muziki wa bongo fleva na kuwakumbusha watanzania juu ya safari ya muziki wa Tanzania kwa ujumla. Kulia ni mwanamuziki huyo, Juma Nature...

 

11 years ago

Michuzi

MAMLKAKA YA USAFIRI WA ANGA TANZANIA (TCAA) NA MAMLAKA YAUSAFIRI WA ANGA NCHINI CHINA (CAAC) WASAINI MKATBA WA USHIRIKIANO WA NDEGE ZINAZOTENGENEZWA CHINA KUTUA KATIKA ANGA LA TANZANIA

   Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga  Tanzania (TCAA) Fadhili  Manongi  na  Mkurugenzi Msaidizi wa  Mamlaka ya Usafiri wa  Anga wa China (CAAC)Li Jian  wapili kutoka (kulia) wakisaini mkataba wa  ushirikiano wa maswala ya Usafiri wa Anga , ambapo  Ndege zinazotengenezwa nchini China  zitaruhusiwa  kutua katika Anga ya Tanzania. Mkataba huo uliosainiwa jijinia Dar es Salaam, utawawezesha   Mamlaka hiyo hapa nchini  kuweza  kujenga  kwa wataalam kuweza kudhibiti Ubora wa Ndege...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani