NAVY KENZO WAZIDI KUCHANA ANGA
![](http://api.ning.com:80/files/Qeusznqd6YlxKXFmgkEi5F4ATStgYxv7skrUpeNRqIwaewQt4f4RhMMCIZZLfID3VT8yZft42*50bXE-KPbnU4Qj5*khr3V2/NAVY.jpg)
Kundi linalofanya kweli kwenye gemu la muziki, Afrika Mashariki la Navy Kenzo. Boniphace Ngumije KUNDI linalofanya kweli kwenye gemu la muziki, Afrika Mashariki la Navy Kenzo, linaloundwa na wasanii ‘couple’, Aika na Nahreal limezidi kuchana anga baada ya wimbo wao unaoitwa Game kuzidi kufanya vyema kwenye media mbalimbali duniani. Akichezesha taya na Showbiz, Aika alidai kuwa mafanikio wanayoendelea kuyapata...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-LekFfiwwIZY/VCoJgBJIwVI/AAAAAAAGmnI/KNoQPUnUPvg/s72-c/unnamed%2B(25).jpg)
libeneke la muziki munene wa efm 93.7 lazidi kuchana anga kila kona nchini
![](http://3.bp.blogspot.com/-LekFfiwwIZY/VCoJgBJIwVI/AAAAAAAGmnI/KNoQPUnUPvg/s1600/unnamed%2B(25).jpg)
9 years ago
Mtanzania01 Oct
Navy Kenzo wagombewa kimataifa
NA SHARIFA MMASI
PRODYUZA na msanii wa Bongo Fleva, Nahreel na Aika Mareale, wanaounda kundi la Navy Kenzo, wamesema wamepokea maombi ya idadi kubwa ya wasanii wa kimataifa wanaotaka kufanya nao kazi.
Nareal alisema kwamba, maombi hayo kutoka kwa wasanii hao ambao hakutaka kuwaweka wazi kwa kuwa bado hawajakamilisha makubaliano yao yametokana na kufanya vizuri kwa video ya wimbo wao wa ‘Game’ waliomshirikisha Vanessa Mdee.
Nahreel aliongeza kwamba, video ya wimbo huo imekuwa ikichezwa katika...
11 years ago
Bongo510 Jul
New Video: Navy Kenzo — Chelewa
10 years ago
Bongo525 Nov
9 years ago
Mtanzania16 Sep
Navy Kenzo gumzo Nigeria
NA CHRISTOPHER MSEKENA
KUNDI la Navy Kenzo linaloundwa na wapenzi, Emmanuel Mkono ‘Nahreel’ na Aika Mareale ‘Aika’ limekuwa gumzo nchini Nigeria kutokana na wimbo wao wa ‘Game’ waliomshirikisha Vanessa Mdee kupigwa mara kwa mara katika redio na televisheni za huko.
Nahreel alisema amekuwa akipokea simu kutoka kwa watangazaji wa vituo mbalimbali vya redio na runinga vya nchini humo kwa ajili ya mahojiano, huku wengine wakimpongeza kwa wimbo huo unaofanya vizuri nchini humo.
“Wanadai ‘audio’...
11 years ago
GPLNAVY KENZO WATINGA GLOBAL TV ONLINE
10 years ago
GPL30 Nov
9 years ago
Bongo503 Oct
Nahreel aitaja siri ya mafanikio ya Navy Kenzo