Navy Kenzo wagombewa kimataifa
NA SHARIFA MMASI
PRODYUZA na msanii wa Bongo Fleva, Nahreel na Aika Mareale, wanaounda kundi la Navy Kenzo, wamesema wamepokea maombi ya idadi kubwa ya wasanii wa kimataifa wanaotaka kufanya nao kazi.
Nareal alisema kwamba, maombi hayo kutoka kwa wasanii hao ambao hakutaka kuwaweka wazi kwa kuwa bado hawajakamilisha makubaliano yao yametokana na kufanya vizuri kwa video ya wimbo wao wa ‘Game’ waliomshirikisha Vanessa Mdee.
Nahreel aliongeza kwamba, video ya wimbo huo imekuwa ikichezwa katika...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo525 Nov
9 years ago
Mtanzania16 Sep
Navy Kenzo gumzo Nigeria
NA CHRISTOPHER MSEKENA
KUNDI la Navy Kenzo linaloundwa na wapenzi, Emmanuel Mkono ‘Nahreel’ na Aika Mareale ‘Aika’ limekuwa gumzo nchini Nigeria kutokana na wimbo wao wa ‘Game’ waliomshirikisha Vanessa Mdee kupigwa mara kwa mara katika redio na televisheni za huko.
Nahreel alisema amekuwa akipokea simu kutoka kwa watangazaji wa vituo mbalimbali vya redio na runinga vya nchini humo kwa ajili ya mahojiano, huku wengine wakimpongeza kwa wimbo huo unaofanya vizuri nchini humo.
“Wanadai ‘audio’...
11 years ago
Bongo510 Jul
New Video: Navy Kenzo — Chelewa
9 years ago
GPLNAVY KENZO WAZIDI KUCHANA ANGA
11 years ago
GPLNAVY KENZO WATINGA GLOBAL TV ONLINE
10 years ago
GPL30 Nov
10 years ago
Bongo531 Mar
New Music: Navy Kenzo Ft Young Dee — Viza