Navy Kenzo gumzo Nigeria
NA CHRISTOPHER MSEKENA
KUNDI la Navy Kenzo linaloundwa na wapenzi, Emmanuel Mkono ‘Nahreel’ na Aika Mareale ‘Aika’ limekuwa gumzo nchini Nigeria kutokana na wimbo wao wa ‘Game’ waliomshirikisha Vanessa Mdee kupigwa mara kwa mara katika redio na televisheni za huko.
Nahreel alisema amekuwa akipokea simu kutoka kwa watangazaji wa vituo mbalimbali vya redio na runinga vya nchini humo kwa ajili ya mahojiano, huku wengine wakimpongeza kwa wimbo huo unaofanya vizuri nchini humo.
“Wanadai ‘audio’...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo511 Nov
Kundi la Navy Kenzo lachaguliwa kuwania tuzo za ‘Top Naija Music Awards 2015’ za Nigeria
Kundi la Navy Kenzo limechaguliwa kuwania kipengele cha Kundi Bora La Muziki katika tuzo za ‘Top Naija Music Awards 2015’ za Nigeria.
Makundi mengine ya Nigeria ambao yanawania kipengele kimoja na Navy Kenzo ni Dupi 2, Connect Music Group (Cmg), Ace Republic, Dp-Kings na Betrose.
Kura zimeanza kupigwa November 8, 2015 na zitafungwa December 31, 2015. Washindi wa tuzo hizo watatangazwa January 2, 2016 na sherehe ya utolewaji wa tuzo itafanyika January 26, 2016 jijini Lagos, Nigeria.
Navy...
9 years ago
Bongo531 Aug
‘Game’ ya Navy Kenzo yazidi kushika chati Nigeria, yakamata namba 1 kwenye Top 10 ya Radio nyingine ya Lagos
11 years ago
Bongo510 Jul
New Video: Navy Kenzo — Chelewa
10 years ago
Bongo525 Nov
9 years ago
Mtanzania01 Oct
Navy Kenzo wagombewa kimataifa
NA SHARIFA MMASI
PRODYUZA na msanii wa Bongo Fleva, Nahreel na Aika Mareale, wanaounda kundi la Navy Kenzo, wamesema wamepokea maombi ya idadi kubwa ya wasanii wa kimataifa wanaotaka kufanya nao kazi.
Nareal alisema kwamba, maombi hayo kutoka kwa wasanii hao ambao hakutaka kuwaweka wazi kwa kuwa bado hawajakamilisha makubaliano yao yametokana na kufanya vizuri kwa video ya wimbo wao wa ‘Game’ waliomshirikisha Vanessa Mdee.
Nahreel aliongeza kwamba, video ya wimbo huo imekuwa ikichezwa katika...
10 years ago
GPL30 Nov
11 years ago
GPLNAVY KENZO WATINGA GLOBAL TV ONLINE
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Qeusznqd6YlxKXFmgkEi5F4ATStgYxv7skrUpeNRqIwaewQt4f4RhMMCIZZLfID3VT8yZft42*50bXE-KPbnU4Qj5*khr3V2/NAVY.jpg)
NAVY KENZO WAZIDI KUCHANA ANGA