Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nahreel aitaja siri ya mafanikio ya Navy Kenzo

Ili msanii aweze kufanya kazi nzuri anahitaji kuwa na timu nzuri na iliyokamilika kwenye kila idara. Ndio maana kundi la Navy Kenzo linaloundwa na couple ya producer Nahreel na Aika wamegundua hitaji la kuwa na timu, na huenda ndio sababu kuna mabadiliko makubwa katika show zao, video zao na muziki wao kwa ujumla kwasababu hivi […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Kufanya kazi nzuri ndio siri ya mafanikio yetu — Navy Kenzo

Wasanii wanaounda kundi la Navy Kenzo, Nahreel na Aika wamesema hawajakutana na changamoto za kunyimwa msaada wa connection kutoka kwa wasanii wenzao kama wasanii wengine wanavyodai kukutana na changamoto hizo. Wakizungumza na Bongo5 kwa pamoja hivi karibuni, Aika alisema uwezo wao pamoja na juhudi, zimefanya wasaidiwe kiurahisi. “Sisi tulifanya kile kinachohitajika,” alisema Aika. “Tulienda the […]

 

9 years ago

Bongo5

Nahreel aeleza maana ya ‘Above In A Minute’ ambayo husikika kwenye nyimbo za Navy Kenzo

Nahreel

Ukisikiliza baadhi ya nyimbo za kundi la Navy Kenzo ikiwemo ‘Game’ kuna maneno wanapenda kuyasema, “Above In A Minute”, lakini inawezekana hujui ni kwasababu gani wanapenda kuyatumia au yana maana gani kwao.

Nahreel

Mbali na nyimbo, hata post zao za mitandao ya kijamii, Nahreel na aika huwa wanaweka hashtag ya #AboveInAMinute kwenye post zao nyingi.

Mwimbaji wa Navy Kenzo ambaye pia ni producer wa The Industry, Emmanuel Mkono maarufu kama Nahreel amesema kuwa “ABOVE IN A MINUTE” ni jina la...

 

9 years ago

Bongo5

Umoja uliopo kati ya Weusi, Navy Kenzo, Vanessa na Jux haukupangwa — Nahreel

Wasanii wa kundi la Weusi, Navy Kenzo pamoja na Vanessa Mdee na Jux wana familia yao ‘Good Music family’ ambayo hushirikiana katika kazi zao mbalimbali za sanaa. Producer wa The Indusrty ambaye pia ni msanii wa kundi la Navy Kenzo, Nahreel amesema kuwa umoja wao huo haukupangwa na wahusika bali ni kitu kilichokuja chenyewe kupitia […]

 

10 years ago

Bongo5

New Music: Navy Kenzo — Moyoni

Wimbo mpya wa kundi la Navy Kenzo unaitwa ‘Moyoni’.

 

9 years ago

Mtanzania

Navy Kenzo gumzo Nigeria

Navy KenzoNA CHRISTOPHER MSEKENA

KUNDI la Navy Kenzo linaloundwa na wapenzi, Emmanuel Mkono ‘Nahreel’ na Aika Mareale ‘Aika’ limekuwa gumzo nchini Nigeria kutokana na wimbo wao wa ‘Game’ waliomshirikisha Vanessa Mdee kupigwa mara kwa mara katika redio na televisheni za huko.

Nahreel alisema amekuwa akipokea simu kutoka kwa watangazaji wa vituo mbalimbali vya redio na runinga vya nchini humo kwa ajili ya mahojiano, huku wengine wakimpongeza kwa wimbo huo unaofanya vizuri nchini humo.

“Wanadai ‘audio’...

 

11 years ago

Bongo5

New Video: Navy Kenzo — Chelewa

Kundi la Navy Kenzo limeachia Video Mpya ya “Chelewa” Video imetaarishwa na Director Enos Olik kutoka Kenya

 

9 years ago

Mtanzania

Navy Kenzo wagombewa kimataifa

navyNA SHARIFA MMASI

PRODYUZA na msanii wa Bongo Fleva, Nahreel na Aika Mareale, wanaounda kundi la Navy Kenzo, wamesema wamepokea maombi ya idadi kubwa ya wasanii wa kimataifa wanaotaka kufanya nao kazi.

Nareal alisema kwamba, maombi hayo kutoka kwa wasanii hao ambao hakutaka kuwaweka wazi kwa kuwa bado hawajakamilisha makubaliano yao yametokana na kufanya vizuri kwa video ya wimbo wao wa ‘Game’ waliomshirikisha Vanessa Mdee.

Nahreel aliongeza kwamba, video ya wimbo huo imekuwa ikichezwa katika...

 

11 years ago

GPL

NAVY KENZO WATINGA GLOBAL TV ONLINE

Wanamuziki wa kundi la Navy Kenzo, Aika na Nahreel wakiwa katika pozi ndani ya Global TV Online. Mtangazaji wa Global TV Online, Pamela Daffa akiwa katika mahojiano na Navy Kenzo (hawapo pichani).…

 

10 years ago

GPL

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani